Search results

  1. N

    Watu wengi wanaishi na wenza ambao hawakuwaza kuwa nao

    Ni vigumu sana kupanga kitu na kikaenda kama kilivyopangwa; 1. Mfano wengi wanaishi na wenza ambao hata hawajawahi kuwawaza, pili walio wengi pia tunaishi kwa plan 2. Baada ya ile ya kwanza kushindikana hususani katika maisha na elimu. Pia binadamu wote tuna makosa sijaona hata mmoja anaeleza...
  2. N

    Kila anayetafuta mke/mume kigezo kazi kwanini?

    Kila anaetafuta mke au mume anasema awe na kazi ya kuajiriwa au mfanya biashara. Swali una uhakika ubavu wako anafanya kazi au biashara. kwasababu kinacho olewa ni shughuli ya mtu na sio mke au mume. Pili siku shughuli hiyo ikitoweka itakuwaje, mwambie Mungu akupe abavu wako bila kujua kazi...
  3. N

    Kwa waoaji na waolewaji

    umewaza mbali sana kwakuwa yote mema au mabayapo kwaajili ya binadamu mungu atusaidie
  4. N

    Mke/ Mme wa kwanza ni wa Majaribio

    kiukweli mna mawazo mema nenda katafiti pia umri sahihi wa kuoa na kuolewa pia huenda ukawa msaada kwa wanandoa
  5. N

    Fungua uone

    Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2. Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada nina watoto2 alie tayari ani pm kwamaelezo zaidi. Karibu
  6. N

    Natafuta mume mwema

    mbona hajitangazi ameweka waz jinsi alivyo kwamaana kwamba kama unavutiwa na maelezo hayo m pm. na hakuna kibao mahali kinaonesha mume mwema kumbe anaweza kupata hapa. ukisema kanisani ndo kuna wachawi, makahaba, majambazi sasa wapi kumbe popote mungu yupo.
  7. N

    Single mums and dads come this way

    kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha...
  8. N

    Single mums and dads come this way

    kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha...
  9. N

    Natafuta mke

    vigezo hivyo vinatosha ila tu sio mke wa pili,
  10. N

    Natafuta mke

    natafuta mke miaka 25-32. nina miaka 33, kimo 158, nina watoto 2, elimu chuo. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa pm, sina mke din mkristo.
  11. N

    Majina ya wasaliti toka Zanzibar yatajwa

    unajua ndugu zangu watanzania ni lazima. tuangalie na kufikiri sana. msimamo wa kila mmoja kwenye katiba ni kutetea maslahi yake. nawaunga mkono wote kwa mawazo yao ila ningependa wawe na msimamo wa serikali 1. serilikali 2, inashida katika utawala, serikali 3 nan anasimamia serikali ya 3. kwan...
  12. N

    Natafuta mume

    sifa zingine ninazo isipokuwa mm sio mrefu ni fut 5.5 na ni mkristo si mwisilamu pia nimewahi kuoa na nina watoto 2.
  13. N

    Maisha ya ndoa yangu na changamoto zake

    Namshukuru sana mungu kwa kunipa nafasi ya kuongea nanyi kwa maandishi. Mimi ni mwanaume miaka 33, nina watoto 2, elimu yangu ni chuo. Mwaka 2004 nilianza kazi kama Mwalimu, mwaka 2005 nikaoa. Maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana kwani kabla ya kuoana huwa kuna makubaliano mnafanya makubaliano...
  14. N

    Hadithi ya kusisimua: Nchi ya wachawi-1

    na hadithi nzuri, lkn nashukuri saaaana kwan ndan yake yapo yakujifunza.
  15. N

    Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

    kila mmoja ametoa mchango wake vizuri, ila kuna mambo mengi ambayo mtu anakutana nayo mwisho anaamua kwenda sehemu nyingine. ukiso jf kuanzia mwanzo unakuta kunaripo za watu wamewasiliana na kwa sasa wanaishi mume mke na watoto. mmoja anasema mtaani wapo wakali sawa kabisa kuna tofaut kubwa sana...
  16. N

    Nisaidieni jamani

    dada pole saaana. ila mungu ndo mwenye majibu kukuoesha hayo kuna maana saaana katika maisha yako. pata muda wa kuongea na mungu kwa kumaanisha utajibiwa tu kama anafaa ama la. ila muondoe kabisa unapoomba ilg mungu akuoneshe mwenyewe apendavyo.
  17. N

    Maisha

    Mwaka 2004 nilianza kazi nikiwa mwl wa shule ya msingi na 2005 nikaoa kwa ndoa ya kikristo kanisani. Kabla ya mke wangu kuwanae tayari nilikuwa na mtoto 1 na mke wangu pia nikazaa nae mtoto mmoja. Tuliishi vizuri sana na mke wangu kabla ya mwaka 2007 kuanza kurubuniwa na wanaume wengine...
  18. N

    NATAFUTA mke

    mm ni mwanaume miaka 32, elimu ya chuo, nina mtoto mmoja, kwa umbo ni mnene wastani kimo cm 154, ni mweusi kisura. natafuta mke umri miaka 23-31 dini yoyote, elimu kuanzia kidato cha nn, awe na kazi kaajiriwa au kujiajiri sawa ila asiwe na mawazo yasiyo leta tija kwa familia. kwa aliye na nia...
  19. N

    Mabenki na mikopo ya biashara kwa wahitimu

    kaka umewaza na kuwazua, nimeona ufaafu wa mawazo yako yaliyoshiba umakini mkubwa kwa hoja nzito zinazojieleza zenyewe. Sipend sana kusema serikali bali sisi wenyeme kwanza.. Ni vema mawazo kama haya tungeanza kwa kuyatumia kwa watu binafsi wenye uwezo wa kusaidia vijana ili maendeleo yake yawe...
  20. N

    Natafuta mume miaka 54-58

    masharti yanaonesha ure money oriented. Ili jukwaa linapoteza dhima yake taratibu. Mwisho mawazo ya fb yote yatakuwa humu
Back
Top Bottom