Search results

  1. Z

    Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Hata JK alizijua ila mfumo hauna mpango wa kuzishughulikia. Zitaendelea kuwepo kama ccm itaendelea kuwepo.
  2. Z

    Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Haihitaji akili kubwa kupambanua hoja za akili ndogo. Hivi shughuli mbalimbali zilisimama Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Zanzibar kwa sababu ya picha za kutengeneza kwenye computa?
  3. Z

    Arfi kuondoka CCM

    Arfi ni msaliti, kwa hiyo hanabudi kusalitiwa. Muosha huoshwa.
  4. Z

    Arfi kuondoka CCM

    Na wengine wajifunze, ccm ni wataalamu wa kurubuni, kuahidi na kutotekeleza. Wengi wataachwa kwenye mataa.
  5. Z

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    SIASA 'Si Hasa'. Hivi mchezaji wa timu pinzania akijiunga na timu yako utaendelea kupambana naye?
  6. Z

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    'Dr Slaa kutimka Chadema?' Hilo ni swali ambalo jibu lake ni "HAPANA'
  7. Z

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hivi huyu atakuwa ni wa ngapi ndani ya CCM kuchukua fomu?
  8. Z

    Kiama kingine kwa wafanyakazi Serikalini

    Inaelekea hujaelewa. Hii inawahusu waajiri na si watumishi kama ulivyotafsiri.
  9. Z

    Matumizi ya neno 'albinism au albino' katika kiswahili ni aibu na ni kudidimiza kiswahili

    Ndugu wanajamii; maneno albinism au albino ni maneno ya Kiingereza ambayo yanalazimishwa kuingingizwa katika Kiswahili wakati kuna maneno ya Kiswahili yanayojitosheleza. Mtu mwenye ulemavu wa ngozi kwa Kiswahili sanifu anaitwa 'zeruzeru' na 'albinism' ni 'uzeruzeru'. Iweje ubandue neno la...
  10. Z

    Kada CCM atinga na chopa ya Ndesa mkutanoni Moshi Moshi

    Kaskazini ni uelewa zaidi kuliko fedha.
  11. Z

    Jimbo la Singida Mjini, nani atusemee kero zetu bungeni?

    Mlichagua wenyewe na mkipenda endeleeni kuchagua hivyo hivyo. Msitulalamikie kwa maamuzi yenu mabovu, BADILIKENI.
  12. Z

    Wananchi zaidi ya 10000 wa Arusha na mikoa ya karibu kumiminika Munduli

    Wanaojua kusoma alama za nyakati hawatajisumbua kumzuia Lowassa kwani ni kupoteza muda. Anafaa, anaweza na anahitajika sana kuwa raisi. Raisi siyo kuchekacheka, kupenda kusifiwa na kuteua washikaji kwenye sekta muhimu.
  13. Z

    Spika Makinda ahairisha bunge ghafla baada ya muongozo wa Mh Mnyaa.

    Kumlinganisha Mpwa na Lissu ni sawa na kulinganisha Yanga na Barcelona. Lissu yuko juu mno.
  14. Z

    Muswada wa ajira kuwaenzi "locals"

    I don't hate foreigners but I hate the way they perceive and treat us. On the other hand I hate the government for respecting foreigners and fail to protect the citizens.
  15. Z

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    I don't hate Kenyans but I hate the way they perceive and treat Tanzanians.
  16. Z

    Utata Wagubika Kura ya Maoni

    Itakuwa 'kula ya Manyani' na siyo kura ya maoni.
  17. Z

    Kinana afunika Karatu, maelfu wajitokeza kumsikiliza, Awaumbua CHADEMA

    Karatu hawadanganyiki NG'O! Nendeni kwingine.
  18. Z

    Tunduma: Sehemu iliyotengwa kujengwa Kituo cha Afya, Pamejengwa Ofisi ya CCM

    Aina hiyo ya ujinga inawezekana baadhi ya maeneo, lakini siyo Tunduma. Wasome alama za nyakati.
  19. Z

    Kambi za mafunzo Arusha...ukweli ni upi?

    Mimi nafahamu habari ya kambi za Moshi. Kumbe hata Arusha nako zipo!
Back
Top Bottom