Search results

  1. Chillipo

    Kwa kasi hii nani wa kuizuia cdm

    Kwa kasi ambayo Chadema wanakwenda nayo hakuna wa kuwazuia kwan jinsi wananchi wanavyowakubali sijapata kuona kwan wakati wa Operation ya M4C n Vua Gamba vaa Gwanda nilikuwepo Mtwara ndugu wa Kusini wenyewe wamekili haijawahi kutokea wingi wa Watu kama waliokuwepo siku ya Mkutano huu.Nadhan...
  2. Chillipo

    Zitto rudi Kigoma mjini tujenge CHADEMA yetu 2015 tuchukue jimbo

    Tukupitia Jukwaa la great thinkers napenda kumuomba sana Mh Zitto arudishe nguvu zake kigoma mjini kwan tumechoka kuona jimbo la Kigoma Mjini likinyakuliwa na CCM kila msimu hadi tunamkumbuka Yuda wetu Dr. Kabourou natumaini kama tukijipanga tunaweza kulirudisha mikononi kwan kama yunaweza...
  3. Chillipo

    ..... Wadau hii kauli ya Nchimbi mwaichukuliaje..??

    Udini utatumaliza busara na hekima muhimu sana kuzingatiwa
  4. Chillipo

    Gazeti Al-Nuur lifungiwe

    Nadhan hoja sio Gazeti hilo ila Ukristo Vs Muslim society,Moderator ondoa hoja hii imejaaa Udini na Chuki Binafsi
  5. Chillipo

    Dhamira ya gazeti la tanzania daima ni nin hasa katika hili nan kawatuma

    Nan aliyekumbia Kuwa Mwenyeji wa eneo ndio kujua kila kilichomo sehemu husika ukweli utabaki kuwa ukweli Edson sina nia mbaya na Tanzania Daima ila natoa kilichomo bila kujali ni mwenyeji au mgeni kana nan hajui kuwa Wanahabari wetu wanatabia za kushea habari so kama ni gabbage zote zinakuwa...
  6. Chillipo

    Picha ya jana imenifanya niwachukie wahariri.

    unataka aeleze nini tena ni kwamba katika gazeti la jana Tanzania Daima front Page picha iliyopewa namba mbili ni tukio lilotokea Morogoro last year sasa mtu unajiuliza mhariri na siri gani kuiweka picha hiyo katika vurugu za zanzibar au nani kamtuma kufanya hivyo kwan picha hiyo imeandikiwa...
  7. Chillipo

  8. Chillipo

    Dhamira ya gazeti la tanzania daima ni nin hasa katika hili nan kawatuma

    Katika Gazeti la Jana la Tanzania Daima lilikuwa na maelezo kuhusu vurugu zilizotokea huko Zanzibar pamoja na picha mchanganyiko wa vurugu hizo lakin cha kustua na kuhuzunisha ni kufanya mambo kinyume na taaluma ya uandishi wa habari kwa kuweka picha ambayo haikutokea huko zanzibar je mnafanya...
  9. Chillipo

    Natafuta kazi ya kuuza duka!

    Kuuliza ni kutaka kujua kufahamu Kabila lako, asili yako umri wako,jinsia yako na uwezo wa kufanya kwako ni vyema so ni vyema ukajibu mapema Kaka binafsi nina Duka la Jumla mitaa ya Pugu kajiungen ninahitaji mtu wa kumsaidia muuzaji wa duka ie main duties ni kupakia na kutoa mizigo dukan...
  10. Chillipo

  11. Chillipo

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    mbunge wa Sumbawanga mjini Kanda ya Sumbawanga ndugu Aeshi Hilal amevuliwa rasmi ubunge na Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga baada ya Judge Miller kuamua kwamba uchaguz haukuwa huru na wa haki ::... PEOPLESSSSSS POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR Source nipo live ndan ya viwanja vya mahakama
  12. Chillipo

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Mbunge wa Sumbawanga mjini Kanda ya Sumbawanga ndugu Aeshi Hilal amevuliwa rasmi ubunge na Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga baada ya Judge Miller kuamua kwamba uchaguz haukuwa huru na wa haki ::... PEOPLESSSSSS POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
  13. Chillipo

    Carina Inauzwa Nauli yake Kidogo tu

    karibu unataka kutokea kwangu karibu javin Benz la kwako usiote kupaaa bila mabawa
  14. Chillipo

    Vigogo wengine kutimkia chadema

    Tuwachukue hao vijana wa Magamba kwa taadhari sana isje kuwa matatizo kwan waweza kuwa mapandikizi katika chama
  15. Chillipo

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha (UVCCM ), James Ole Milya ametangaza kujiengua katika chama chake source Mwananchi news paper
  16. Chillipo

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Kama ndio basi full kubakana kama unamduuuuu hana stimu na wala a respond kwa Mabao
  17. Chillipo

    Mwenye gazeti la mwananchi la leo tar 12

    Kama ngumu pita hapo ofisin kwao Manzese utapata full details
  18. Chillipo

    Carina Inauzwa Nauli yake Kidogo tu

    Carina Si ya Mwaka 2001, imetembea Km 91,000.00 Bei yake Tzs 9.0m ila maongezi yapo waweza kunipata pia thru 0767 385893
Back
Top Bottom