Search results

  1. M

    Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    Kodi ndio jambo la msingi na muhimu katika sakata hili. Kodi ikilipwa hili jambo litatoweka vinywani mwa watu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    Mmmh...!!!!
  3. M

    Sitta alalamika: Tabora wabunge wote ni wa CCM lakini haina hata barabara moja ya lami

    Huyo mama hana cha kupoteza kwa sababu ubunge wake hajautolea jasho ni wa kupewa tuu..!!!Lakini asijisahau sana kwa sababu siku za wabunge wa viti maalum ZINAHESABIKA.
  4. M

    Hussein Bashe azidi kupigilia msumari wa ncha 20 kwenye jeneza la CCM...

    Big up bro..! Umeshtukia dili mapema..SEMA KWELI KAKA,NA HIYO KWELI ITAKUWEKA HURU.
  5. M

    Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    NGUVU YA UMMA KAZINI...Safi sana yaani yeye kuwa mkuu wa mkoa tu anajiona kama Mungu mtu..Lazima ajifunze namna ya kuongea na watu hasa wasomi..
  6. M

    Utulivu bungeni

  7. M

    Utulivu bungeni

    Mwambie huyo,coz anakurupuka tu na kutufanya wengine hatufuatilii mijadala ya bunge..WABUNGE WALIOTOLEWA BUNGENI NI WAPIGANIA HAKI ZA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI MASLAHI YA VYAMA.
  8. M

    Utulivu bungeni

    Duuuuuh...! Anyway huo ni mtazamo wako tu.
  9. M

    Kwa hili, Rage hastahili kuitwa mheshimiwa!

    Rage ni kama garasa kwenye mchezo wa karata.Tupa kuleee......!!!!
  10. M

    Askofu amkaanga Makinda

  11. M

    Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

    Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano anadhalilisha na kulitia aibu bunge letu tukufu kwa kuibeba na kuipendelea serikali bungeni waziwazi.Serikali ijayo impe uwaziri ili tujue moja.
  12. M

    Natafuta mpenzi [msichana mzuri}

    Kaza buti kaka,utampata tu huyo umtakaye.
  13. M

    Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

    Wahenga walisema,"nyani haoni kundule".Sishangazwi na huyu kijana wa chuo kikuu kutojua lugha ya kigeni yaani kiingerza kwa sababu kwanza ni kutokana na mfumo mbovu wa ufundishaji lugha husika katika shule zetu nyingi hapa Tanzania,lakini pili elimu ya mtu haiwezi kupimwa kwa kutojua lugha ya...
  14. M

    MBEYA mjini wana matatizo gani

    Ama kweli ukistaajabun ya Musa utayaona ya Firauni,si hakika kwamba elimu ya mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini haitoshi kuwasilisha matatizo ya wakazi wa jiji hilo kwenye chombo cha maamuzi ya nchi(Bunge).Kama hoja ni elimu basi,WATANZANIA tuna matatizo nasema hivyo kwa sababu wakati fulani mkuu wa...
  15. M

    Rais kwenda kwenye msiba wa msanii je ni sahii?

    Tena kama hiyo haitoshi,binafsi nilitegemea kumuona Rais akiwa ameambatana na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo katika shughuli nzima ya mazishi ya marehemu Sajuki,lakini hali haikuwa hivyo.Katika picha nyingi zilizoripotiwa kwenye vyombo vingi vya habari waziri husika haonekani,isipokuwa tu...
  16. M

    Mkazi Mtwara atishia gesi kutoonekana

    Mmmmhhh...!!!! KUDADADEKI..Hiii ndo Tanzania.
  17. M

    Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

    Mwanamke gani huyo wa kuliongoza Taifa hili? Kama huyo anayeongoza mhimili mmoja tu wa Serikali AMETEPETA,huyo atakayepewa nchi itakuwaje?
  18. M

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Maneno yakishatamkwa hayarudi tena kinywani.Hakika ujumbe umefika kwa wahusika na umepokelewa.
Back
Top Bottom