Search results

  1. O

    Please Assist: Nahitaji Mkopo wa Shilingi miliioni 3 za kitnzania

    Asanteni sana kwa kupokea ombi langu na ushauri wenu mzuri. Labda niseme hivi; 1. Suala la umeme na matatizo yake nilishalifikiria na kulichukulia hatua, nimeshanunua Generator litakaloweza kukidhi mahitaji ya biashara husika. 2. Suala la kwanini nililipia pango na kufanya yote haya kabla ya...
  2. O

    Please Assist: Nahitaji Mkopo wa Shilingi miliioni 3 za kitnzania

    Mimi ni msichana wa makamo. Nataka kujikwamua kimaisha kwa juhudi zangu mwenyewe na sio kutegemea mwili wangu kwa urembo/uzuri ndio viniinue. Nina elimu kiasi nataka kujiajiri. Nimefikiria kufanya biashara ya Samaki Sato na Sangara kutoka mwanza, nimeshafanya survey na nimeshalipia kodi ya...
  3. O

    Fideline Iranga amekuwaje?

    this is Cruel! Usimwambie mwenzio hivi banaa.
  4. O

    Fideline Iranga amekuwaje?

    Ujuzo wango unaishia hapo kwani alikuwa akiuguzwa jirani na kwetu, siwezi toa ushuhuda wa kile alichougua. Ila tu ni one of the "chronic diseases" kama sikosei, as aliumwa "chronically" in a long term. Namuombea heri na afuate ushauri wangu. Sio ushauri wa hao marafikize wanaomdanganya...
  5. O

    Fideline Iranga amekuwaje?

    Its her, Aliugua almost mwaka mzima 2011, akawa anauguzwa kwa nduguze Mbezii. Tena alikuwa mkorofi na msumbufu sana, waliomuuguza kweli walipata mtihani. Sasa kaweza simama tena, madai DIET. Si kweli! Ushauri wa bure kwako FIde. Mungu kakupa Second Chance katika maisha yako, ishi siku zako...
  6. O

    Zamaradi wa Leo Tena........

    yani unavyosema kwa uhakika???? Kama we ndo ulipandikiza mbegu ya ruge kwenye tumbo ya zamaradi!!! Mtakujaga shitakiwa nyie.:thinking:
Back
Top Bottom