Search results

  1. Loy MX

    Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

    nimepita jioni kwa shida sana, nilitumia masaa manne toka bwawani mpaka mikese. na hakuna ajali ila nasikia ni manbo ya mwenge
  2. Loy MX

    Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Acha ngada.. Mbona Lissu kaelezea vizuri tu au umesoma kichwa cha habari tu?
  3. Loy MX

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Smartphone 5.5' display Network 4G Dual SIM RAM 2GB Memory 16GB or above Brand yoyote Budget 200K .... Nichek inbox .. Napatikana Dar es salaam
  4. Loy MX

    Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Umenikumbusha mbali sana.. Safari ya PTA mpaka Durban kwa Intercape
  5. Loy MX

    Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

    Punguza kutumia maji ya chumvi unaposafisha sehemu hizo....
  6. Loy MX

    Kuna watu machizi kweli! Kwa akili hizi tutapona kweli?

    Duuuh kwa hiyo real niggaz wana spid ya NZI... Sekunde kadhaa washamaliza??
  7. Loy MX

    Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Usisahau wale wanaovaa ma wigi miez mitatu...
  8. Loy MX

    Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    Usishangae kusikia yuko mtaani baada ya siku kadhaa tu
  9. Loy MX

    Pombe ni hatari kwa uchumi

    Usifananishe pombe na mambo ya kijinga aisee
  10. Loy MX

    Naomba Msaada: Tatizo la uume kulegea wakati wa kufanya mapenzi

    Au ukute jamaa anagegeda sana sabuni kila muda wa kuoga ?
  11. Loy MX

    Hii shoo kasimamia Young D ama?

    ulisikia kwa nani??
  12. Loy MX

    Makontena yaliyopotea Bandarini: Polisi ilihusika?

    hivi meli moja ina uwezo wa kubeba makontena mangapi??
  13. Loy MX

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    +27 73 857 5925 Mshana hebu niunge huko
  14. Loy MX

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Rais wangu ni Lowasa .... hata amseme vip...
  15. Loy MX

    Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    nyumban kwake kondom ya nini huyu kaliwa kavu kavu
  16. Loy MX

    Aina za rangi za "pichu" za mwanamke na maana zake kwa mwanaume

    duuuh sasa kumbe nyekundu ni hakiliki .... na rangi ya kinalika ni ipi?? na zile za kisasa ni chupi au kamba.
  17. Loy MX

    Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    hii imenishtua hata mimi maana ukikaa kuangalia movie na mwanamke huwezi kuangalia movie ya kivita au action ya aina yoyote ... sijui ni movie ya aina gani walikuwa wanaangalia hawa.. kama wewe ndo jamaa umepigwa exile ya miezi 6 na kazi yako ni bao la mkono then unaweza ukaua mtu.. Sio mwanamke...
  18. Loy MX

    Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    kwa style hii sidhani kama ulipitiwa kaaah yaan uko kwenye uchumba afu kumbe unampikia jamaa mwingine....
  19. Loy MX

    Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    huu sometime unakuwaga ni ujinga, yaani mtu unanyimwa tena kwa masharti ya miezi 6 na ukute jamaa kakazana kupiga bao la mkono huko afu anakuja mtu from nowhere anakumegea tu tena bila hata ya nguvu.. kirahisi rahisi tu ... walah ndoa zina shughuli..
Back
Top Bottom