Search results

  1. R

    Shemeji ananitaka Kimapenzi

    baba zina na nchumba unae bado unakaa kwa brother? Sasa ukikataa akimwambia kaka yako unamtaka? Hebu hama ujitegemee usijevunja undugu
  2. R

    Shemeji ananitaka Kimapenzi

    Swala ni tabia ya mtu , kama ni kabila basi wahaya wanaongoza kwa kugona hata ndugu kwa ndugu wa karibu
  3. R

    Shemeji ananitaka Kimapenzi

    ndugu yangu kama unataka kuvunja undugu konga!!!!
  4. R

    Mke wa bosi na bosi wangu!

    Mumewe ni over65-70yrs na mama ni kama 40-45yrs na hawana mtoto,mke wa kwanza alifari kwa ajali ya gari lakini pia hakua amezaa,wapo watoto wa3 wa ndugu zake lakini kila mmoja anakaa kwake ila tunao ofisini
  5. R

    Mke wa bosi na bosi wangu!

    Hio inaonekana hivyo! Ukweli nipo ktk mazingira magumu sana,ni kitu natenda sio kwa ridhaa yangu!
  6. R

    Mke wa bosi na bosi wangu!

    Ndugu yangu fanya kazi kwa wahindi ndo utajua yanayotendeka! Yanayonikuta usidhani napenda bali nachojali ni kipato,ndo mana nilsema najihisi nabakwa! Na kutumwa ilikua ni mbinu za kuninasa nami nilinasika!
  7. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Naupokea kwa dhati ushauri wako kuhusu uchangamfu,hilo linaweza kua tatizo linalochangia kuzoeleka mno.Personality naona si tatizo! Ahsante sana
  8. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Hivi nikae hapa nijisifu hapa ili iwaje? Hakuna anijuaye hapa! Nimesema hunitaka na kua hali hio hunipa wakati mgumu si kama nafurahia hali hio! Na nimejileza wazi kua inanipa hali mbaya wakati huu ambapo nimeamua kua na m1 ambae nataka tuoane,nimejieleza hadi maumbile yangu ambayo awali nilikua...
  9. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Hapa umenifungua macho,nashukuru sana kwahilo,kitabia ni kweli ndivyo nlivyo,kua mchangamfu muda mwingi,labda niwe na tatizo tena liwe kubwa,inawezekana hilo nalo linachangia! Ahsante sana Mama Isaac
  10. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    TheOne,Sijawahia kua UDOM kamwe! Mimi ni CBE NA IFM,kutoka moyoni mwangu nikuapie nliyoyasema humu ni masahibu ya kweli kabisa!! Simlazimishi mtu kuamini wala siko katafuta sifa wakati hatufahamiani na mtu yeyete humu,nnachotaka ni kupata mwanga hili janga la kutakwa ovyo ntaliepukaje! Binafsi...
  11. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Ndomana mi najishangaa kutakwa ovyo hadi nakosa amani moyoni!
  12. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Matatizo ndi haya ya kutakwa hovyo! Hiloo balaa la kwa mhindi tena ndo nalina baya zaidi kwangu! Hapo ni kibarua ndo bado kinaniweka vinginevyo sio kwa kupenda kutoka moyoni!
  13. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Huko kwa muhindi sijakamua nduguze kabisa,hilo zali nalo sijui ntaliepukaje!!!
  14. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Nikushukuru sana kwa uhauri wako mzuri,kwakua nafsi yangu nimeamua kutulia,naamini ntafanikiwa kwani sikushawishiwa ni maamuzi yangu. Mimi huwashangaa watu kuhangaika kutafuta wasichana wakati mimi nahangaikia kuwakwepa! Nimepokea ushauri wako
  15. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Nashangaa mie nimejieleza yanayonisibu natukanwa eti m.....ge!! Ishaala mungu aniepushilie mbali
  16. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Duh. Yamekua hayo tena?
  17. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Hapo nimekupata,ni kwel Nikijiendekeza hata koa sitooa kabisa!
  18. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Nakushukuru kwa kutaka kunipa ushauri ila kujipiga picha itakua ngumu,naogopa usije ukakapenda nawe uniongezee adha nnayopata sasa
  19. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Nilikua nawakamua mashemeji enzi hizo sijaamua kuoa,sasa nimeamua kumuoa huyu alafu nimkanue dada yake na mdogo wake! Kuna kunogewa,penzi jaljifichi! Nakufa kiume
  20. R

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    Hawa ndugu wa mtarajiwa sijatembea nao ila hivyo vishawshi vyake ni balaa! Kama nlivyosema nimeamua kutulia,vinginevyo nigeshatembea nao wote
Back
Top Bottom