Search results

  1. N

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, Bwana Novatus Makunga aanza kilimo cha pilipili

    siasa ni mfumo wa kila siku wa maisha hivyo kuacha mpaka siku zako ya kuishi duniani zitakapo-expiry
  2. N

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, Bwana Novatus Makunga aanza kilimo cha pilipili

    mkuu sijawahi kunyanyaswa pale nilienda kama chief news editor kwa mkataba wa miaka miwili ulipomalizika sikutaka kuendelea hivyo nikarudi katika project za kilimo ambazo zilikuwa zinalegalega kwa kukosa usimamizi wa karibu
  3. N

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, Bwana Novatus Makunga aanza kilimo cha pilipili

    mkuu ni ni mita 50 kutoka mto ruvu na pembeni kuna project kubwa ya mradi wa umwagiliaji imeanza kujengwa
  4. N

    Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

    Habari za siku tele,hongera kwa kuendelea kumantain akaunti yako JF kutokea Jambofurumd
  5. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    ha Ni mtazamo wako na una haki kabisa kufikiri hivyo,kwa kuwa unataka majibu ambayo yatakufurahisha na katika mtego huo wala sitaingia,nitakupa majibu ya vitu ambavyo vipo
  6. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    kwa bahati mbaya wote pia mnaegemea katika siasa,kama mngekuja na facts vizuri kabisa ningeingia katika kutoa ufafanuzi,lakini katika hilo wala hakuna haja ya mimi kutoa ufafanuzi lakini kwa mashambulizi binafsi nitaongea
  7. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    nakupa assignment,hapo juu nimeeleza katika vitu navyozingatia ni kufuata majukumu yangu pamoja na sheria,sasa katika masuala ya ugawaji wa misaada kama chakula hautoke kichwani kwa mtu bali kuna muongozo wa seriakli,hivyo utafute katika malumbano haya sitaingia,niwatakie kazi njema nashukuru...
  8. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Sawa,unakumbuka mara ya kwanza ulipost kitu gani,ulinishtumu nimeua mradi wa High Level na ukazungumza kuwa zilianzishwa na aliyenitangulia dk norman sigalla,hata nikikijibu kwa kuwa umeshafikia majibu kuwa sina la kujivunia,nakubali,uzuri wananchi niliokuwa nao ndiyo wanafahamu lakini mwisho...
  9. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Fuatilia majibu yangu yote,sijajitumbukiza kabisa katika suala hilo,na wala nisingeingia humo kama kusingekuwepo na mashambulizi binafsi.Wengi mnaanzisha uzi humo halafu mnatoka na kuanza mashambulizi binafsi,nina akili timamu na nina fahamu masuala mengi kwa upana zaidi na unavyofikiri,kuna...
  10. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Tujikite katika hoja,suala la kejeli haliwezi kutusaidia,katiba mpya inakuja,kama mawazo yako kwamba nafasi hizi zitafutwa wala hakutakuwa na tatizo nchi hii inashughuli nyingi za kufanya ambazo ukijituma unaweza ukaendesha maisha yako vizuri tu kwa hilo wala sina pressure wala wasiwasi ndugu yangu
  11. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Sawa chamsingi ni hoja kujibiwa kwa hoja,siyo hoja kujibiwa kwa kejeli ama matusi,kama unaona kuna sehemu sipo sahihi toa hoja,nipo tayari kuitolea maelezo kwa ufasaha,mimi nipo hai nafahamu kwa undani,kama upo mbali nipo tayari kukupa taarifa yoyote unayohitaji
  12. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Sasa hivi wananchi wanahudumiwa vizuri sana wilayani Hai,taratibu za kuibua miradi ya maendeleo zinasimamiwa ipasavyo kuanzia ngazi ya chini kabisa ya vijiji,mikutano ya vjiji ambayo ilikuwa haifanyiki kwa zaidi ya miaka mitatu imeanza sasa kufanyika,kero ambazo zilikuwa zinawakwaza kama za...
  13. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    malemo huko sipo kabisa,nipo katika kufafanua person attach ambazo hazina mnazifanya na hazina sababu yoyote ile na ambazo zote za kubuni na zote zina majibu sahihi
  14. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Taarifa ya miradi ya A level Secondary School ambapo kwa kukusahihisha siyo kwa kila kata bali ni sekondari tano tu,bahati nzuri mimi nimeanza ya kwangu ya sita pale ng'uni na ipo katika hatua ya mwisho kukamilika,taarifa kamili itawasilishwa katika kikao cha dharura cha baraza la madiwani...
  15. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    "No research no right to speak" - Mao Tse Tung
  16. N

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    Inawezekana viwango vya ujinga vikatofautiana lakini Amina karibu sana wilayani Hai
  17. N

    DC wa Hai (Novatus Makunga) chanzo cha migogoro hai

    PIPOO Naomba nitangulie kwa kukuomba uwe mkweli si vyema na siyo vizuri kuzusha mambo yasiyokuwepo.Mimi nipo katika mtandao na nimekuwa wazi kujibu hoja mbalimbali ni vyema ungeanza kuniuliza baadhi ya masuala ambayo labda unayafahamu juu juu sana.Kuhusu hoja zako ulizoa ebu nianze kukujibu...
  18. N

    Novatus Makunga mkuu wa wilaya ya Hai anatumia msafara?

    nimefanya kazi ya uandshi wa habari kwa miaka zaidi ya kumi na tano sijawahi kutukana chama chochote cha siasa,chadema nimewafanyika kazi mara kibao,cuf kuanzia nccr mageuzi,nguzo kubwa kwangu nini sera yako jukwaani siyo vijembe ama madongo,chunguza kabla ya kukurupukai.
Back
Top Bottom