Search results

  1. Sema Chilo

    Nimepigiwa Simu nitafute watu 50 kuwakampeni UKAWA

    Kwani nini kimemtokea Zito, slaa lipumba!? Hata ww umeelekea huko
  2. Sema Chilo

    CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

    Siasa nyepesi sana hizo kwani hata walivyo tu wanaelekea ni wanachama wapya
  3. Sema Chilo

    Naomba mwongozo toka Tume ya uchaguzi.

    Rekebisha sio kanunu ni kanuni
  4. Sema Chilo

    Mshahara anaolipwa Mkwasa unaleta picha gani kwa Watanzania?

    Kwa maelezo ya malinzi ni kwamba wamepeleka ombi Hilo la malipo ya mkwasa kuwa alipwe kama mzungu wizarani hivyo wanasubiri jibu
  5. Sema Chilo

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Jamani nani mkuu wa wilaya ya serengeti,?
  6. Sema Chilo

    Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

    Nawaza lini waliyapanga? Full comedy hii serikali
  7. Sema Chilo

    Zitto: Watu wa Dar nawavulia Kofia, Siku 8 bila maji na mpo kimya?

    Mimi sijui kama maji yamekatika njoo kivule tunatumia yakwetu
  8. Sema Chilo

    CHADEMA, kupoteza jimbo la BUKOMBE~2015

    Hivi hawa wabunge wa CCM woteeee wametekeleza na kumaliza ahadi zao? nipe mmoja jina lake anaitwa nani. hata ahadi za rais hazijatimia
  9. Sema Chilo

    Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

    Kwa nyinyi ambao mmeingia CHADEMA kufuata mtu mnahangaika sana lakini sisi tulioingia CHADEMA kwa misingi ya chama na sera za chama hatuyumbishwi na tutakuwa wa mwisho kutoka chamani
  10. Sema Chilo

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Joyce pumzika na WAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WAO
  11. Sema Chilo

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Wapi TCRA? au ndio tenda zao jamani? mbona tunaumizana na viongozi wasio na akili
  12. Sema Chilo

    CHADEMA wanamwogopa Mwigulu Nchemba kuliko kitu chochote

    Sioni ukweli katika hili we gamba
  13. Sema Chilo

    Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!

    ukiona giza nene sana ujue karibu kunapambazuka pia ukiona msitu mkubwa njiani ujue kuna kijiji mbele
  14. Sema Chilo

    CHADEMA: Mkutano wa hadhara leo

    sawa pamoja sana
  15. Sema Chilo

    Usijaribu kununua LUKU kwa kutumia TIGO PESA

    Hayo ni ya kawaida kwa mitandao kuweni wapole
Back
Top Bottom