Search results

  1. M

    Tuliosoma duce mnamkumbuka lecturer wa history mr machangu

    Huyu jamaa alikuwa hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr mselemu -huyu dr akikuwa kilaza sijawahi kuona .hebu tujikumbushe
  2. M

    Kwanini wasanii wa Bongo wabovu stejini?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda utumbuizaji wa wasanii wetu stejini hasa wa bongo fleva na kwaya.kwa kweli wanaboa sana na kutia kinyaa _kinachofanyika ni ***** mtupu 1.wengi hawawezi kuimba live.diamond,rose muhando,jay,suma lee wote wachovu hawawezi kuimba live huishia kufanya maigizo tu...
  3. M

    CWT yaanza kusambaza ujumbe wa simu (sms) za mgomo kwa walimu nchi nzima

    Walimu wana bahati mbaya sana kwa kuwa wanachama wa cwt.cwt viongozi wake asilimia kubwa ya shughuli zao ni vikaovikao tu visivyokuwa na tija kwa walimu.mwl ukienda kwao hakuna msaada unaopata kwao.sasahivi wamesisimka na kukulupuka wanadai eti mgomo-lakini muda si mrefu utasikia wamesitisha...
  4. M

    Wabunge wa upinzani wasijione 'supermen'

    Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na...
  5. M

    Kwa matokeo haya, am proud to be product of galanos

    Galanos shule ya ajabu sana wakati mi nasoma pale kipindi yupo kinala kulikuwa hakunj walimu wa kutosha lakini watu walikuwa wanafaulu sana tena watu walikuwj wanafaulu hata masomo ambayn hayana walimu kabisa
  6. M

    Msaada kununua desktop

    Habar wana jf naombeni msaada nataka kununua desk top used nifahamisheni yafuatayo maana mi siyo mtaalamu kabisg wa mambo haya 1.ni mambo gani ya juangalia ili upate mashine nzuri_mambo ya ram,hd ,pentium nayapatapata kwa mbali sana nahitaji kujuzwa zaidi 2.ntapata maeneo gani mjini dsm...
  7. M

    Mawaziri na wabadhirifu wataendelea kupeta tu Tanzania ni kisiwa cha amani

    Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama kawaida.kikwete pinda na kiongozi mwingine yeyote ripoti hizi haziwagusi wala hayayawaumi wanaangalia...
  8. M

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Mimi alipoanza kusema nilibadilisha chanel anaongea pumba tu halafu alikuwa anachekacheka tu kule nyuma na january makamba
  9. M

    Msaada nataka kununua pikipiki

    Nilikuwa namaanisha model type brand name nimeshataja hata prof huwa anakosea.haukumbuki daktari alimfanyia mtu op kichwani badala yd mguuni
  10. M

    Msaada nataka kununua pikipiki

    ni ukweli usiopingika jf unapata taarifa sahihi za kila kitu pale unapohitaji.nimekuja jukwaa hili 5 tech ili nipate abc nataka kununua pikipiki iliyotumika.ni zile honda nyekundu zenye kikapu mbele sijajua brand name yake lakini nadhani ni cc 90.mimi nipo mkoani Ntazipata maeneo gani dar na bei...
  11. M

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    Pipa chini huyo ni malaya tu-wanawake wako wengi sana tena wazuri wanaojiheshindmu.dump her she is just a silly stunt
  12. M

    Arusha: Kwanini wakazi wa jirani na Msikiti wa Bondeni wengi hawaipendi CHADEMA?

    Elimu inapokuwa ndogo utaichukia chadema.
  13. M

    Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

    Huyu mbunge ni janga la kitaifa sijui alipataje ubunge
  14. M

    TANESCO: Rationing is back!

    Nimekuwa nikifuatilia yaliyojiri kikao cha kamati ya nishati na tanesco. Mhe Zitto alithubutu kutoa agizo standby generator liondolewe nyumbani kwa wiliam mhando ili naye ajue adha ya umeme.naungana nae mia kwa mia viongozi wetu wamejifanya miungu watu hawajui hata tone la uchungu wa matatizo...
  15. M

    TANESCO: Rationing is back!

    Ningekuwa mimi mdo rais natimua viongozi wote wa tanesco na kuweka uongozi mpya.haiwezekani shirika ambalo halina mpinzani na linalotoa huduma inayotakiwa kila mahali lijiendeshe kihasa.tanesco wakikusanya tu madeni wanayodai matatizo yameisha Its a shame
  16. M

    CCM ina serikali sikivu

    Nilikuwa napata shida sana kuelewa kauli za pinda bungeni kuwa serikali ni sikivu.baada ya kubangua bongo sana nimeelewa kumbe maana yake inasikia tu tena kwa umakini mkubwa ila haina uwezo wa kushugulikia.
  17. M

    Baba kwanini sisi maskini....?

    siku mwanangu akiniuliza baba kwanini sisi maskini ntamwambia kwa sababu ya chama cha mapinduzi.ntamwambia akitoka shetani kwa ubaya kinachofuatia ni chama cha mapinduzi.tena ntamwambia ktk maisga yake yote anapolala na kuamka asisahau kukiombea kifo chama cha mapinduzi.that will be my answer to...
  18. M

    Ama kweli Serikali inatesa sana walimu wapya

    Walimu wapya tangu waajiriwe hawapata mshahara wa mwezi wa pili na posho zao wamepata za siku tatu tu ambazo ni pungufu ya 150000.cha ajabu wakurugenzi wa wilaya hawana majibu walimu wakiomba ruhusa wakakae nyumbani mpaka mshahara uanze kutoka wananyimwa.mimi nachojiuliza utamuambiaje mtu aanze...
  19. M

    Msaada kununua pikipiki

    kwendea kazini shamba na kuchukulia mizigo ya dukani
  20. M

    Msaada kukopa nmb

    Wana jf nataka kukopa nmb mil tatu-basic yangu ni 422000 take home ni 371000 .je riba ni kiasi gani na kila mwezi ntakatwa shilingi ngapi kwa miezi 36!najua watu wa benki mpo jf
Back
Top Bottom