Search results

  1. J

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mbona hizi channel za mpira cku za mechi hazionyeshi.
  2. J

    Fungua Pattern Za Simu Ya Kichina Au Copy Ilioshindikana

    Nina ka itel it 1353 Nimefanya njia zote kamegoma,zaidi inakuja menu ya test hamna kuboot.
  3. J

    Land Rover Discovery 4 - Mega thread

    vp mkuu hiyo mazda verisa yako,bado iko vizuri?nini mapungufu yake maana na mimi nataka nikakanunue.
  4. J

    Watumishi wa serikali kutengewa mabilioni kwa ajili ya michezo ni aibu kwa serikali makini

    Kwanza miaka ya cku izi hiyo shimiwi wanaoshiriki sio watumishi,bora shimisemita wanaotudai vitambulisho vya bima kuhakiki.
  5. J

    TRA na thamani ya magari

    Vp kuhusu magari aina ya mazda.nimeiona moja verisa.naomba maelezo kwa wanaoyafaham.kabla sijakurupuka,maana sioni watu wakiyaagiza sana.
  6. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nauliza nimeiona gari aina ya mazda verisa.vp itanifaa?naishi mkoa wa mby.naomba ushauri mnaojua magari.
  7. J

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kyela ivi sasa wananchi wamekusanyana maeneo ya bomani ccm kwa chadema kwa ajili ya kusikiliza matokeo ya ubunge ambayo yana utata mpaka sasa.
  8. J

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa kyela mjini mji umetulia hauna watu,barabara nyeupe maduka yote yamefungwa,kila mtu yupo kituoni.kweli watu wameelimika.
  9. J

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa kyela mjini hali ni shwari,kila mtu kaenda kupiga kura.hamna duka wala kibanda kilicho wazi,hakuna gari ya abiria yoyote inayoingia wala kutoka.njia ni nyeupe,mji ni mweupe.kweli watu wameamua.
  10. J

    Rungwe yazizima ni mapokezi makubwa ya Edward Lowassa

    huku kyela ndio ataanza lakini mji una shamlashamla sana.uwanja umejaa saaaana
  11. J

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    uwanja umebadilishwa na sasa nipo uwanja wa takoshiri huu umati kwa mkesha wa kumpokea mheshimiwa ni hatari.watu ni wengi usiku huu hatari,burudani inaandaliwa ya kufa mtu.mweli njia nyeupe ikulu.haijawai tokea watu kuchizika hivi.
  12. J

    blackberry curve 8900 battery with a red line

    Yangu ndo haiwaki kabisa.ina display logo ya blackberry tu.mpaka kunakucha.na mm naomba msaada wa ushauri.
  13. J

    Blackberry 8900 inanizingua msaada tafadhali

    Imekua na tatizo.haiwaki.ukiweka betri tu inakua on kwa kuonyesha lile neno blackberry na mstari chini unaojaa bila ya kufika mwisho.msaada wa ushaul
  14. J

    Makampuni ya simu yazidi kuyafanya maisha yetu sie maskini kuwa magumu

    Mitandao mengine.kuna mb 50 unapata na sms na kuendelea
  15. J

    Makampuni ya simu yazidi kuyafanya maisha yetu sie maskini kuwa magumu

    Duu,same to me,that kind of display msj.nahama ili niweze kumudu uwezo wangu.
  16. J

    Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Muhimu ni kumuona daktali wa karibu,ili upate tiba inaitwa kusafisha meno(scalling).na kupata ushauri mwingne
  17. J

    Uc browser 8.4

    Poa nashukuru iko ok
  18. J

    Uc browser 8.4

    Wadau msaada kwenye hii uc browser ya simu.ambayo ni varsion mpya mbona haionyeshi picha full screen kama ile ya 8.2?msaada kama kuna njia ya kuset.
  19. J

    Kuhusu DELL

    So niachane nazo.maana niliuliza.ingenirahisishia kazi.CPU iko chini sasa kuinaina kuweka modem au flash,inanipa shida sn.ila kwenye screen ingekua mzuka sana.
  20. J

    Kuhusu DELL

    Tofauti na USB ya printer.kuna port zingne ambazo hata nikiweka flash hai respond.
Back
Top Bottom