Search results

  1. M

    Nina kuheshimu sana Mtikila!

    1. Muasisi wa mgombea Binafsi 2. Muasisi wa Utanganyika 3. Ma********* lazima waende 4. Shujaa shupavu asiyeogopa lolote BIG UP Rev. Christopher Mtikila.
  2. M

    Top Richest People in Tanzania

    Duh, my name is Karamagimbi!
  3. M

    Ahadi kumi (10) za mwana TANU na Tanzania yetu ya sasa

    1. Siasa ni kilimo 2. Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa 3.
  4. M

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    magamba wasifike 2015 jama. Hivi huu ujinga kwa nini unaendelea mpaka leo??
  5. M

    Kigoda cha Mwalimu: Prof. Shivji vs Mkapa

    :target::rolleyez:sijui tunakwenda wapi walah
  6. M

    Kigoda cha Mwalimu: Prof. Shivji vs Mkapa

    mkapa naomba pa ukweli uwe unakubali tu. Weka maslahi ya taifa mbele
  7. M

    Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

    Ee Mungu watie nguvu makamanda wetu, ukombozi utimie mapema, wananchi twateseka sana na haya maisha. Teketeza ma-ccm yote, yametutesa sana, alafu mungu, saidia zile kura 71 zipatikane leo jioni. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
  8. M

    Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70

    Sisi zetu dua huku, wenye ubani zidi kupuliza ubani, wa maombi piga sana maombi Pamoja sana mkuu
  9. M

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Fumbo mfumbie mjinga, wenye akili mbona tumeshang'amua siku nyingi nini kinaendelea.
  10. M

    Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

    Please update me, what is the minimum time for a member in CDM, is supposed to be a 'live and active' member before he is allowed to contest for any position? be it MP or Party's
  11. M

    Edward Moringe Sokoine 1938-1984 | Historia na wasifu wake

    Nguvu kazi, kila mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanye kazi. ''Wajibu wa kila Mtanzania, kila familia na kila anayekula ni kujilisha mwenyewe. Si wajibu wa Taifa kumlisha mtu. Unaweza ukasaidiwa unapopatikana na janga. Lakini kama hakuna janga ni wajibu wa kila mtu aweze kujitosheleza...
  12. M

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    habari za kuaminika toka mmc ni kuwa kanumba hatunaye (RIP).
  13. M

    Mtizamo wa mdau fulani fulani...

    . Duh! Ngoja nikalale. Wao wanafikiria kushindwa ni jambo jepesi kihivyo. Walizoea kutupa maumivu hayo wazalendo, ngoja sasa wayapate. Na bado, hiyo ni ishara tu kutoka Kaskazini. Wakatafute waganga na kutafutana mchawi. kwi kwi kwi, kwo kwo kwo, teh teh afadhali nikalale mie
  14. M

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Congratulatons Joshua, mapambano yanaendelea. Jamani majimbo mengine, ambayo bado yanang'ang'ania the tired regime, please learn from the Arumeru constituency. Aluta continua. Nimependa sana ubunifu wa dogo kuanza kazi mara moja akiwa mbunge kwa kutafuta fund na kesho kuanza kuchimba visima, GOD...
  15. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Ee baba, uwasamehe maana hawajui walitendalo hawa watu.
  16. M

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Kwanza tuangalie mustakabali wa Taifa leo, maoni ya mtu kuhusu kesho yanapoteza bites unnecessarily!!
Back
Top Bottom