Search results

  1. S

    Serikali Songea yatoa ufafanuzi wa madai ya kufungwa zahanati tatu kwa kukosa watumishi

    MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema amestushwa na taarifa zilizosambazwa jana Mei 20,2018 na Kituo cha Habari cha ITV,zinazohusu kufungwa kwa zahanati tatu katika wilaya hiyo kwa kukosa watumishi. Akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea,Mgema amesema Kituo hicho...
  2. S

    Madiwani Shinyanga wapinga mradi wa mashoga na machangudoa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA MADIWANI WA CHADEMA HALMASHAURI YA MANISPAA SHINYANGA. KUPINGA AZIMIO LA KURUHUSU SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA RAFIKI SDO KUFANYA SHUGHULI ZAKE KWA "MASHOGA" NA "MACHANGUDOA" KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA. Mapema wiki iliyopita, wananchi wa Mkoa wa...
  3. S

    Mhandisi wa Ujenzi Songea atumbuliwe jipu kwa unadhirifu wa milioni 38.1

    NA STEPHANO MANGO, SONGEA BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma limemfukuza kazi Mhandisi wa Idara ya ujenzi Daud Basililo kwasababu ya uzembe na ubadhilifu na kutokuwa makini katika kusimamia miradi mbalimbali ya ujenzi na kuisababishia Halmashauri hiyo hasara ya...
  4. S

    Mbunge wa Madaba Joseph Mhagama awaasa waandishi wa habari

    WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WAASWA NA STEPHANO MANGO, MADABA MBUNGE wa Jimbo jipya la Madaba mkoani Ruvuma, Joseph Mhagama amewataka Waandishi wa habari katika mkoa huo, kusaidia kutangaza na kuandika fursa mbalimbali zilizopo katika halmashauri hiyo hatua ambayo itasaidia kuvutia watu...
  5. S

    Huyu ndio Dr. Emmanuel Nchimbi ninayemfahamu

    dkt nchimbi anatosha kuwa spika
  6. S

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Nimefuatilia kwa Umakini mkubwa mchakato wa kinyang'anyiro cha uspika, nimejiridhisha pasipo shaka kuwa kati ya ya makada wote wa ccm waliochukua na kurudisha fomu ya uspika, dkt nchimbi anatosha kuwa spika
  7. S

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Nimefuatilia kwa Umakini mkubwa mchakato wa kinyang'anyiro cha uspika, nimejiridhisha pasipo shaka kuwa kati ya ya makada wote wa ccm waliochukua na kurudisha fomu ya uspika, dkt nchimbi anatosha kuwa spika
  8. S

    Regina Lowassa kuwaombea kura wagombea wa UKAWA Songea kesho

    NA STEPHANO MANGO, SONGEA MKE wa mgombea Urais kupitia umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) Regina Lowassa anatarajia kuhutubia maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Songea na vitongoji vyake kesho(leo) kwenye kiwanja cha wazi kilichopo kata ya Bombambili Katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea...
  9. S

    Jenista Mhagama: Nimetekeleza ahadi zangu Peramiho, naombeni mnichague tena

    NA STEPHANO MANGO, SONGEA JIMBO la Peramiho linaundwa na kata 16 zenye tarafa mbili za Ruvuma na Mhukuru ni miongoni mwa majimbo tisa ya uchaguzi yalipopo mkoani Ruvuma ambayo yanaendelea na harakati za kampeni za kuomba kura kwa wananchi wake ili kuunda Serikali ya Awamu ya tano Jimbo hilo...
  10. S

    Kada wa ccm nestory mwanja apania kuleta mabadiliko mapya maposeni

    NA STEPHANO MANGO, SONGEA KATA ya Maposeni ina vijiji viwili vya Mdunduaro na Kijiji cha Maposeni ni miongoni mwa kata 16 za jimbo la uchaguzi la Peramiho lililopo katika Wilaya ya Songea Vijijini ambalo linagombewa na Jenista Mhagama kupitia chama cha Mapinduzi na kwamba Kata hiyo kwa...
  11. S

    Mgombea ubunge wa CCM Peramiho awatangazia neema wananchi

    MGOMBEA UBUNGE WA CCM PERAMIHO AWATANGAZIA NEEMA WANANCHI NA STEPHANO MANGO,PERAMIHO MGOMBEA ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM jimbo la Peramiho Jenista Mhagama amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa mwakilishi wao kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. S

    Mwanafunzi wa darasa la tano amuua mwanafunzi mwenzake

    MWANAFUNZI wa darasa la 5 katika shule ya msingi Mahela iliyopo eneo la Ruhuwiko Mbinga mjini Frank Hyera (15) amefariki dunia baada ya kupigwa na jiwe kichwani na mwanfunzi mwenzake. Akizungumza na MANGOKWETU jana ofisin kwake Kamanda wa polisi mkoa wwa Ruvuma Mihayo Msikhela alisema kuwa...
  13. S

    Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph Songea ajinyonga

    MWANAFUNZI wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la songea Mkoani Ruvuma Emmanuel Peter Lunguya (25) amekutwa chumbani kwake amekufa naada ya kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu zilizokuwa zimefungwa kwenye kenchi la paa ndani ya chumba alichokuwa amepanga. Habari zilizopatikana...
  14. S

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    KUFUATIA vuguvugu la kisiasa ambalo limeendelea kushika kasi na kutishia hali ya amani katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma, kutokana na wananchi kuutaka uongozi husika wa chama hicho wilayani humo utangaze matokeo ya nafasi ya ubunge uchaguzi kura za...
  15. S

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    UCHAGUZI wa kura za maoni nafasi ya ubunge na madiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoani Ruvuma umemalizika kwa matokeo ya awali, mkuu wa mkoa wa Kirimanjaro Leonidas Gama amewabwaga makada wenzake 7 kwa kupata kura 6287 wakati aliyekuwa waziri wa mazingira Dokta Thereza Uviza amepata kura...
  16. S

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    WAZIRI wa sera na uratibu wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jenista Mhagama amepita bila kupingwa kwa sasabu wakati wa mchakato wa kuchukua fomu za kuomba uongozi ndani ya chama wagombea wenzake wawili waliojitokeza kuwania nafasi hiyo mmoja fomu ilisahiniwa na mtu mwingine ambaye si...
  17. S

    Mussa Ndomba kada wa CHADEMA anayejitosa ubunge jimbo la Songea mjini 2015

    STEPHANO MANGO,SONGEA JIMBO la Songea Mjini lipo katika wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma linajumla ya kata 21 za kiutawala na kwamba Halmashauri ya Manispaa ya Songea ni miongoni mwa Halmashauri 6 zinazounda Mkoa wa Ruvuma na kwamba Halmashauri hiyo ipo kati ya nyuzi 9010 hadi 11035 kusini...
  18. S

    Kilichowaliza wananchi wa Songea dhidi ya Dk. Nchimbi ni hiki

    JUNI 22 ni siku ya historia kwa wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea ikiwa ni siku moja nyuma baada ya mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kufika Songea na kudhaminiwa na wanachama wa chama cha mapinduzi (Ccm) mkoa wa Ruvuma zaidi ya elfu 52, Mbunge wa Jimbo la...
  19. S

    Dkt. Emmanuel Nchimbi kutogombea tena Ubunge jimbo la Songea Mjini

    NA STEPHANO MANGO,SONGEA MBUNGE wa Jimbo la Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimbi amewaacha njia panda wapiga kura wake baada ya kuwaeleza taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Ccm kwa kipindi cha miaka 10 katika jimbo hilo na kuwaambia huenda kuwa hata gombea tena katika Jimbo hilo...
  20. S

    Kada wa CHADEMA amvaa mwenyekiti wa CCM Ruvuma

    NA STEPHANO MANGO, NYASA KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Mathayo Patrick Kaimaima ametangaza nia na kuchukua fomu ya kugombea Udiwani katika kata ya Chiwanda Wilayani Nyasa ambayo kwa sasa inaongozwa na Diwani wa Chama cha Mapinduzi(CCM)...
Back
Top Bottom