Search results

  1. P

    Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

    Mhmmm kazi kweli kweli elimu ni muhimu Sana kwa watoto wetu kwani wasomi tulio nao wamesomeshwa na.............. Kwaiyo lazima waongee kama wanavyotakiwa.
  2. P

    Kigwangalla: Hali ya utalii ni mbaya, tutapoteza 75% ya mapato ya utalii sababu ya Corona

    Inaitajika mimkakati madbubuti kuhusu namna gani tutaelezea Dunia kuwa Tanzania ni salama kuhusu Corona, pia ikiwezekana wapunguze tozo za Kuingia mbugani pia kuwepo na mkutano na wadau WA utalii, na ni jinsi gani ya kuwavutia watalii, na pia kutangaza utalii ni kutoka nje ya Tanzania, Kuna watu...
  3. P

    #COVID-19: Tuwajibishane

    Rejea kwenye Maandiko yako ulikuwa unaunga mkono watu kuendelea kufanya kazi, na kudai Corona ingelipita, Nikakwambia (muda utaongea). Ila sishangai maneno yako kwani wewe ni moja ya wandishi wa Habari wasio jitambua.
  4. P

    Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Muda utaongea tuu?? Usichanganye mambo ya kitabibu na shetani mbona wagonjwa awajapelekwa nyumba za ibada kuombewa.
  5. P

    Wanasoka wasema Kura zao wanampa Magufuli

    Baadhi ya wasanii na wanamichezo WA Tz awajitambui ndo maana watabakia kushabikia watu ambao wamewadanganya wtz Miaka yote hiyo kinachoitajika na mabadiliko haijakishi Nani anaingia ikulu, watanzania tuwe na uwezo WA kubadilisha System bila kupangiwa na mtu yeyote kama ilivyo sasa, kwani ccm...
  6. P

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Kazi kweli kweli!! Ushoga ulikuwepo na utaendelea kuwepo cha msingi ni kila mtu awe na msimamo wa anachokiamini.
  7. P

    maisha ya ramadhani singano "messi"

    Wachezaji wetu awajitambui kuwa hiyo ndo ajira yao na pia wanatumika kunufaisha wengine. Wanapenda kuonekana kwenye magazeti ndo raha yao kuwa gumzo mitaani ila wasijue maisha ya mbeleni yakoje.
  8. P

    Simba mfalme wa nyika na mapori yote

    Chui amwambii kitu Simba ila Tiger ni mkubwa kuliko Simba na wanyama wote mbele ya Black Mamba(Koboko) wanatimuaga mbio ila Chatu ni chakula kwa Chui na Simba.
  9. P

    Simba mfalme wa nyika na mapori yote

    Huwa likitokea kundi la tembo likapita karibu na walipo simba huwa wanawapisha wapite kwaiyo tukiongelea ule ubabe tembo ni mwisho. Ila tafuta kwenye YouTube (HONEY BADGER VS LION) utajua kuwa kuna wanyama wabishi.
  10. P

    Simba mfalme wa nyika na mapori yote

    Simba kwa tembo mkubwa lazima alaze na 40kph
  11. P

    Wakati Magufuli na CCM wakiandelea na blah blaaah za fly over, angalia wa Kenya

    Hapa kwetu Tz siasa ndo muhimu kuliko maendeleo kazi kwelikweli.
  12. P

    Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

    Hv hawa wajomba awanaga kazi za kufanya nini na ponda ndo mdudu gani! Ninatafuta wafanyakazi wasiopungua 2000 kwa ajili ya mifugo yangu huku kibaha kwaiyo nawaitaji hao raia wa ponda
  13. P

    "Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

    Chezea magwanda eheeeee bashiri utaumiaaaaa
  14. P

    TBC acheni hila

    Uwago wa ccm ndo utawapeleka kuzimu kwani wanafikiri watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwalimu kwisha habari Yao kwani tayari wameshachimba kaburi ni muda tu wa sala tunasubiri tuwapumzishe!
  15. P

    Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Hili kabila kwao kumwaga damu ni kawaida ndi wanaongoza kwa ukatili katika jamii haswa kwa watoto na wanawake alafu utakuta anajisifu kuwa ameba fundisho kwa mtoto!!!
  16. P

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi Sofia na ulevi wa madaraka

    Huyo mama zimemtoka ajui kuwa hiyo ni ukandamizaji wa haki za binadamu kwani kuvaa nguo fupi ndo nini! Viongozi wetu wakilala na kuota mandoto yao bila aibu anayafanya ndo sheria!
  17. P

    Ndolanga ni janga

    Huyo ndo yule aliyeuza loliondo kwa familia ya mfalme!!!
  18. P

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Kutokana n'a umri wangu wa 65yrs hata skafu sijawai mwona nayo!!!
Back
Top Bottom