Search results

  1. The Angel

    Vipaji maalum si lolote, si chochote

    mkapa,lowasa,kikwete
  2. The Angel

    NIMEKOMA kushobokea vi-offer mbuzi! (My Bad Friday Night)

    Dah. Wakati nasoma thread yako nilijua ni pesa nying nikakuonea huruma. Kumbe ni ushuzi tu. Ahahahahahaaaaaaaaaaa
  3. The Angel

    Enzi ulipokuwa boarding

    Tarehe 1 april, 1996 imenikumbusha mbali.tuliwapiga form 1 wakakimbilia porini mmoja akatenguka mkono.Kilichofuatia kilikua kizaa zaa.nakumbuka lile parade la kutambuana pale mazengo.room yetu ya G5 ilikaa wiki nzima bila kula kwa kuogopa kufukuzwa shule.
  4. The Angel

    Nilipomtafuta alikuwa bize nimekata kamba anataka tuonane

    Wanawake siku hizi ni wajanja sana.Anakua na wanaume kama saba hivi then anachagua.kigezo chao cha kwanza kwenye kuchagua hua ni uwezo wa mtu kifedha.Akiona yule mwenye hela kama haeleweki eleweki hivi hamuachii, anaendelea kula pesa yake huku anashikilia upande mwingine ambao unaonekana kua na...
  5. The Angel

    Nisahihi kwa mzazi kuendelea kumbana sana msichana ambaye tayari umeshamtolea mahari?

    Wana JF Mimi ni member mpya wa hili jukwaa but am interested with advice na michango mbalimbali ya kimawazo inayotolewa kwenye hili jukwaa. In short kuna binti mmoja nilimpenda na nilimjua kwa kumuona pale nyumbani kwao.Kilichonivutia zaidi kwake ni kua huyu binti anaonekana ni binti...
  6. The Angel

    Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

    sijawahi kusikia mtu akimsifia JK.Always kumlaumu kwa maamuzi yake.Why???????????????
Back
Top Bottom