Search results

  1. Mozila

    Spika Ndugai kakosea lakini pia hajakosea

    Kwanza alipongeza huo mkopo wa UVIKO 19 siku Mama anauweka hadharani alafu ghafla anauponda, pili kutokuwa na uelewa wa Mambo ya kitaalamu alafu unakwenda kuyazungumza hadharani bila consultation na wataalam
  2. Mozila

    Spika Ndugai kakosea lakini pia hajakosea

    Katika hili suala la Job naona alichokosea ni nadharia ya mambo ya kitaalamu (uchumi na mikopo) ambayo kama mkuu wa mhimili alipaswa apate ushauri wa wataalam kabla hajatoa maoni yake public, lakini hajakosea kupishana na Rais kwa kuwa tu wanavaa wote kijani. Zile habari za "fikra za mkiti...
  3. Mozila

    Jiwe la Msingi la reli mpya ya SGR Dar-Moro kuwekwa tarehe 12 Aprili 2017 na Rais John Magufuli

    Nina mashaka na hii miradi hasa ya ujenzi na rais huyu na bashite wake kuna kitu hapa. Naona magu ataondoka akiwa tajiri kuliko waliopita
  4. Mozila

    Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

    Mnafiki mkubwa ww huna mapenzi na ccm
  5. Mozila

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Mi naona siku si nyingi mkoa utakuwa na RC mwingine baada ya bashite kujitumbua au kutumbuliwa hvo wana DSM tumshauri rais asije rudia ya bashite. kama tunavyojua DSM ina changamoto nyingi sna ambapo Bashite hakuweza hata kujua kiwanja alichopewa juzi juzi ni Mali ya Emma. Hvo basi tupendekeze...
  6. Mozila

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Waswahili tuna msemo mwenyeji njoo mgeni apone nilidhani kwa ziara hii ya mfalme wa Morocco ingekuwa nafuu kwa wana Kagera na rais wetu angetumia nafasi hiyo kuomba kitu kwa wana Kagera lkn imekua tofauti magufuli kaomba kujengewa msikiti DSM na uwanja wa mpira DODOMA. Rais Magufuli...
  7. Mozila

    Nape Nnauye, akana Serikali ya Awamu ya tano kuzuia Bunge Kuoneshwa Live

    Usahihi wake upo wap acheni kujipendekeza TBC wanaonesha bunge kuanzia saa nne usiku hadi saa tano ambapo saa tano wanarudia taarifa ya habari. Kama TBC wanaonesha bunge kwa dakika 60 na muda wa kuchangia kwa mbunge ni dakika 10 bas tutaona wabunge sita tu wakichangia wakati ni zaidi ya wabunge...
  8. Mozila

    Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    isije ikawa kama yale makontena 9 kusema ya wizi yamekwepa kodi kumbe kodi zimelipwa taaluma ya waandishi wetu na wahariri wao ni za kuangaliwa upya kama madereva wameambiwa wakasome tena basi na hawa waandishi wakasome upya
  9. Mozila

    Hapa Kazi Tuu: Abdulrahman Kinana yuko wapi?

    jamani watz mbona siasa zimeisha kazi ya kinana na kwa kila aliyekuwa kiongozi ccm kazi ilikuwa Moja tu ccm ishinde magufuli aingie ikulu na ikafanywa vizuri kbs. msemaji wa chama taifa ni nape.
  10. Mozila

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

    yule jamaa ambaye ni naibu katibu mkuu CDM znz na pia ni kaimu katibu mkuu CDM taifa salum mwalimu yuko wap? bara haonekani ,znz haonekani au na yeye ni team Dr slaa au kashakubali ushindi kwa ccm au hakukatiwa ile keki ya bil 19 ???? Tusaidiane jaman kujua huyu dogo kafichwa wap
  11. Mozila

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Wametoa simu na power bank kwa watu 1800????? acheni porojo
  12. Mozila

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    mgombea wa urais ccm ni magufuli sio jk jaman
  13. Mozila

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    hawana hoja za kumkabili magufuli. wataisoma namba
  14. Mozila

    Hivi Ali Kiba alistahili kuchukua tuzo 5 za KTMA?

    Kwa usahihi, Ali kiba kachukua tuzo NNE jaman
  15. Mozila

    Naomba kujua maana ya mtumbuizaji bora wa mwaka

    ndugu ya ngoswe mwachie ngoswe
  16. Mozila

    Awamu Nne za utawala na Sera ya Ufisadi.

    au ndo yule JK wa pili?
  17. Mozila

    Awamu Nne za utawala na Sera ya Ufisadi.

    Napenda niwajulie hali waungwana. Nchi yet sasa inaenda kumaliza awamu ya NNE ya utawala chini ya mh jakaya na kuikaribisha awamu ya tano ya (________ ). Katika awamu ya kwanza chini ya julius, Ufisadi/fisadi Ni wakuogopwa kama ukoma. Awamu ya pili ya mzee mwinyi, Ufisadi/fisadi Ni Ruksaa...
  18. Mozila

    Biashara: Kuna laini tatu za wakala za Tigo pesa, m pesa, na airtel money

    Zipo laini tatu za wakala za tigo pesa, mpesa, na airtel money kwa gharama nafuu. Kwa zote tatu ni 1.3million Kwa mawasiliano zaidi 0769 825082
  19. Mozila

    Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    kaka naona unachanganya vyombo na mamlaka yake kamati ya bunge ilikuwa ni kamati ya uchunguz hvo ilipaswa kusikiliza pande zote ila ndo wameamua kuupotosha umma
Back
Top Bottom