Search results

  1. T

    Stories za wachumba wa Jamiiforums

    Pole dada ,kwa changamoto ulizokutana nazo nimepata darasa kutoka kwako, pia mi msichana nimejifunza vitu ,unapatikana mkoa gani
  2. T

    Nani mwenye kampuni ya tshirts na caps printing

    Njema,nipo dar na nazifanya hizo kazi kwa bei nafuu
  3. T

    KESI ya Ubunge Ubungo, Hawa Ng'humbi atia mpira kwapani, Mnyika; kazi inaendelea

    Npo mahakamani majaji na wakili wa pande zote mbili wameshakaa tayari wanaanza kusikiliza
  4. T

    Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    kiongozi bora hajibu maswali kwa jazba ila wewe unawajibu watu vibaya,unaulizwa swali na mtu binafsi unajibu mbona chadema wameshindwa kuwa makini Baba jiamini,kuwa makini na ufikirie sio unakurupuka yawezekana kutokana na kauli zako zimekokosesha embu badilika usikurupuke.
  5. T

    Nahitaji kuprint ti-shirts pcs 3000

    Nazifanya kazi hizo,na pia nauza tshit za aina zote nakutumia email sasa na nipo dar
  6. T

    kwa walioomba kazi ya muda ya sensa

    Kutoa majina ya waliopata nafasi za sensa itakuwa ni ijumaa trh 3/8 kwenye ofisi za kata
  7. T

    Yaliyojili jioni hii mahakamani kati ya Mnyika vs Hawa Ngh'umbi

    kwa ushaidi huo anaoutoa inaonyesha shaidi ajiamini vilevile ni aibu sana kwa shaidi wa nne kukataa kutoa ushaid inaonyesha jinsi mshitaki alivyokuwa anatafutiza mashaidi mwisho wa siku wamemtolea nje,na kuamua kufunga kesi.
Back
Top Bottom