Search results

  1. apprux

    Toyota surf for sale

    TOYOTA HILIX SURF Model: SSR-X Condition: Very Good condition-Used Drive Type: 4wheel drive Engine: Diesel: 2LT Passengers: 5 seats Doors: 5 Interior: Gray Exterior: Deep green Mileage: 238,425 Transmission: Automatic Year: 1996 BEI: MIL 9 Call 0712350385
  2. apprux

    Toyota surf sokoni

    bei million nane mkuu, unaweza kuja kuiona anytime kama unataka
  3. apprux

    Toyota surf sokoni

    Wadau TOYOTA surf iko sokoni, 8.0 million, Iko in very good condition, Engine diesel(2L), Transmission automatic, call 0712350385 or niPM
  4. apprux

    Unataka kukuza biashara yako??? Bure!!!!

    We ni mfanyabiashara? Una biashara yako ambayo unatamani kuikuza? Unataka kuitangaza ijulikane zaidi? Or Una huduma yoyote unayotoa unataka uitangaze mtandaoni?? Or We ni mjasiriamali mwenye kutaka kuanzisha biashara lakini huna enough budget for matangazo??? Or Una chochote kile ambacho...
  5. apprux

    Do you want to start online business?

    If you want to start online business or you want to transform your business to online or you want to add online business to your business? and you do not know how? contact us we will help you all the way.....call 0712350285 visit Welcome to Apprux Corporation
  6. apprux

    Do you need a website????

    Welcome to Apprux Corporation
  7. apprux

    Ushawah kuiona hii website

    Welcome to Apprux Corporation
  8. apprux

    Chadema someni apa

    Na wao wana mbinu zao but sio excuse ya sisi kushindwa kwasababu tunawakilisha matumaini ya wengi....ukweli ni kwamba siku chadema ikifa wengi hawatakuwa sawa
  9. apprux

    Chadema someni apa

    You have a right kufikiria unavyotaka but i am hoping someone will notice the wise in it
  10. apprux

    Chadema someni apa

    Mimi sio mfuasi wa chama chochote tanzania, you can not blame me but vyama vyote havisimamii slogan zao, zinafata siasa za upepo....All in all like everybody else nataka mabadiliko katika serekali, and nahisi chadema nao wanataka ichi, so mara nying najikuta nawaombea mema lakini kamwe sitaki...
  11. apprux

    William Malecela kuburuzwa mahakamani

    Le mutuz mutu ya watu......now naanza kuhisi watu wakiwa na stress zao wanakuja kumpumzikia uyu jamaa...ye yupo always and ata uandike ujinga lazima ajibu hahahaha
  12. apprux

    Urais, Halima, Nassari na Kigoma

    Dah.....i used to thought wewe ndo tumaini la watanzania and the big reason because ulikuwa mwanasiasa bora chadema ambako wengi ni wanaharakati....ivi did it ever occur to your mind ukute wenzako nassari and halima wamekana kutoyasema ayo kukitunza chama????.....as u said siasa za urais...
  13. apprux

    Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

    Kusema uongo sio jambo zuri hata kidogo, inaonyesha kutojiamini kwa mbunge wetu huyo, kwani wapo viongozi wengi wenye elimu ya kawaida na ni watendaji wazuri... hiyo taarifa yake ya elimu ina utata tupu, hiyo A level ya mwaka mmoja 1982 hadi 1983 imenichosha zaidi.
  14. apprux

    Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

    Kusema uongo sio jambo zuri hata kidogo, inaonyesha kutojiamini kwa mbunge wetu huyo, kwani wapo viongozi wengi wenye elimu ya kawaida na ni watendaji wazuri... hiyo taarifa yake ya elimu ina utata tupu, hiyo A level ya mwaka mmoja 1982 hadi 1983 imenichosha zaidi.
  15. apprux

    Ole Medeye jiandae kuachia jimbo

    hoja yako ni nzuri, hao waarusha wenyewe wameanza kubadilika, arumeru magharibi ina miundo mbinu mibovu sana, kuanzia sanawari, ilboru, mianzini, sakina, ngaramtoni n.k. huwez kuamini ni maeneo yaliyo karibu na mjini. na hakika chadema watachukua jimbo hili 2015, wajitahidi sana kulinda kura zao...
  16. apprux

    Ushindi wa nasari,siasa vyuoni na mtazamo wa kimagamba

    hoja yako ni nzuri...vijana ni taifa la leo na si vinginevyo, magamba hawana chao 2015, vijana wa sasa sio wale wazamani, wamechoshwa na ahadi hewa na ugumu wa maisha, ajira ndio kbsaaaa, nani atachagua magamba??? Bukanga, nassari kasoma degree ya sociology...
  17. apprux

    Looking for best website designers for your company or businesss????

    Want to have a world class website today? Get an instant quote here http://www.apprux.com ...Packages starting from 400,000 Tshs only
  18. apprux

    Nape amjibu Lowassa kuhusu Ajira...!

    i have no problem with nape because kiukweli anachojaribu ndio wengi tunachojaribu sema tu yuko upande tofauti, then the rest ni siasa tu ila itafika muda utapata respect yako unayodeserve...ila tukiwa wote upande mmoja tutaonekana hatuna tija......ukweli ni kwamba kama kuna bomu linalosubiriwa...
  19. apprux

    Kushindwa kwa sera za CCM ndio chanzo cha umaskini wa Watanzania!

    kukosekana mtu anayesimamia sera ndio tatizo nahisi....na ukwel hamna chama tanzania chenye sera inayoeleweka, vyote inategemea na mahitaji ya muda na mahali
  20. apprux

    Mbuge wa jimbo la Muheza ashikiliwa Takukuru kwa rushwa

    stori zile zile mwisho wake naujua
Back
Top Bottom