Search results

  1. L

    Yuko wapi Deus Malya?

    Jamani wana JF huyu kijana Deus anajishughulisha na nini baada ya kushinda rufaa yake?
  2. L

    Kitanzi kwa wafanyakazi nchini: Pensheni sasa mpaka ufikie miaka 55

    Mbona hueleweki? Unapoleta uzi uwe na mantiki sio unabwabwaja tu.
  3. L

    Kafulila atishia: Nikishindwa kesi nitahamia chama kingine

    Nakumbuka nilishaleta uzi hapa jamvini nikamshauri aombe msamaha arudi kundin hata kama ni kupoteza ubunge lkn nyota yake ya kisiasa izidi kung'ara. Akikataa ni ubishi wake,atakua kama Shitambala wa mbeya!
  4. L

    Naomba kujua kuhusu Kilindi Tanga

    Mkuu kilindi kuko poa lkn bei ya chakula ipo juu sana pale wilayani Songe. Usafiri wa dar to kilindi upo ni Tsh.17,000/= maji ni ya kisima yana chumvi,umeme upo wilayani na miji iliyopo kando ya barabara itokayo Handeni to Songe, guest zipo nyingi hata za buku 2. Wenyeji ni Wazigua, Wanguu...
  5. L

    Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

    Mbatia anachekesha! Heri uzae mtoto mjanja mwizi kuliko mtoto mjinga anaetoa siri za ndani wezi waje waibe. Tafakari!!
  6. L

    Kwako Kafulila David Kafulila

    Mh.Kafulila,ulikimbia kwa makamanda wa CDM ukaenda kwa mamluki wa Magamba. Natabiri utaporomoka kisiasa hata kupotea kabisa. Nakushauri rudi CDM omba msamaha hata kama ni kupoteza ubunge lkn nyota yako kisiasa itang'ara zaidi ukiwa na makamanda wa ukweli. Kafulila zingatia hili!
  7. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Mkuu mh. Selasin namheshimu sana hata 2010 nilimpigia kampen na niliwashauri waliokuwa wananisapoti kura wampe Selasin. Ninachotaka kufanya 2015 ni kutimiza haki yangu kikatiba na sio usaliti, ndo maana kuna periodic election. Hata CDM ikimpa tena mh. 30 ridhaa au mwingine yeyote mm sina fuvu...
  8. L

    Ndugu Mkenda,tangu zao la kahawa lianze kuyumba kwa maana ya ukame na bei duni katikati ya miaka ya 1990 rombo imechoka sana kiuchumi. Mkakati wangu ni kufanya migomba kuwa zao la biashara,kwa sasa kuna jamaa wa Poland nazungumza nao tufungue kiwanda cha mikeka kwa kutumia marawa ya migomba...
  9. L

    CV yangu ni; Masters of Community development- Kenyatta vasity Nairobi 2010, Postgraduate diploma of Rural development-Dodoma Inst.of dev.planing 2008. Bachelor of PSPA- The Open vasity of Tz. 2007,Diploma in Animal Health [DAH]- Kabete-Uganda 2005.
  10. L

  11. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Ndugu Mkenda,tangu zao la kahawa lianze kuyumba kwa maana ya ukame na bei duni katikati ya miaka ya 1990 rombo imechoka sana kiuchumi. Mkakati wangu ni kufanya migomba kuwa zao la biashara,kwa sasa kuna jamaa wa Poland nazungumza nao tufungue kiwanda cha mikeka kwa kutumia marawa ya migomba...
  12. L

  13. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Mkuu mh. Selasin namheshimu sana hata 2010 nilimpigia kampen na niliwashauri waliokuwa wananisapoti kura wampe Selasin. Ninachotaka kufanya 2015 ni kutimiza haki yangu kikatiba na sio usaliti, ndo maana kuna periodic election. Hata CDM ikimpa tena mh. 30 ridhaa au mwingine yeyote mm sina fuvu...
  14. L

    Jimbo la longido 2015 kwa chadema

    Pamoja sana. Tangaza nia nitakuja kukusapoti kwa nina mahusiano mazuri sana na jamii ya kimasai nimekua nao karibu ktk wilaya za Kiteto, Simanjiro, Monduli, Handeni na Kilindi-Tanga. M4C FWOREVER.
  15. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    mkuu haina shida hata Ben kuna kipindi niliongea nae akaonesha hisia za k ugombea. Lakin kinachoitajika ninamna gani ya kuifanya mpya Rombo yenye matumaini kiuchumi na kijamii.
  16. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Ndugu yangu sio nalazimishwa ila wananikubali kwa mambo ambayo nimeyafanya ya kijamii ndo maana 2005 nikiwa na umri wa miaka 22 walinishauri nigombee lkn nikawa bado nipo shule.
  17. L

    mkuu nimekuwa kwenye siasa tangu 1995 nikiwa darasa la tano kama shabiki wa CDM na mwaka 2005 nikawa mwanachama rasmi wa CDM. Kwa hiyo kama mwana siasa nipo kwa miaka 17.
  18. L

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Ndugu yangu sio nalazimishwa ila wananikubali kwa mambo ambayo nimeyafanya ya kijamii ndo maana 2005 nikiwa na umri wa miaka 22 walinishauri nigombee lkn nikawa bado nipo shule.
  19. L

    mkuu wazee watatu sijifagilii,ila nikuambie tu kwamba mm ni muumini wa demokrasia pana. Kama CDM kitanipa ridhaa nitawatumikia kama la nitamsapoti alieteuliwa kwa manufaa ya wana Rombo na chama kuepusha mpasuko usiokuwa na maslahi.
  20. L

Back
Top Bottom