NUKUU YA ASKOFU ZAKARIA KAKOBE: Leo tumeanza kuona misingi ya amani ya nchi yetu ikitikiswa, MWISHO WA KUNUKUU. Nauliza kuna sababu ya kuishi pekeyako? Sawa tufanye ilikua ni Bahatimbaya kwa manafunzi kupigwa risasi, Tujiulize labda Dhumuni ilikua apigwe nani,Eneo gani, Kwakosa lipi, Je kulikua...
Hahahaaaaaaaa Wana lumumba wameanza kutoa povuuuu! Leo mnaukimbia uzalendoo Na usema ukweli mkiwa nyie wapenzi wa mungu? Wapinzani ni washetani Natumaini Amphreyeee Mwendo kasi atakua wa kwanza kuaibika! Amekalili kupiga kelele kwa dakika Za TVI A k A Underlisence Ya BTC Brand. Sasa hapo hayupo...
Kanyimbo haka uwa kananichekesha nakumbuka nikiwa na umri wa miaka saba wengi wakiimba mimi nilikua napindisha maneno kanaimbwa iv. Chama chetu cha mapinuzi cha jengwa uchi chama ooooh chama cha jengwa uchi kweli na leo kinatokea mtansamehe na mafua jaman mwingine aendeleeeee
Wakati vifo vinatokea Lisu alikua na wadhifa gan. We Domo zege acha ku kuropoka Yamekushinda Ya Lipuli unaamia kwenye sheria Mavichwa maji mengine bana Ukiwa unaropoka weka na akiba ya manenoooooo
Thats it waka Vote Na kumpata Rais. Umeskia wewe Kichwa Mpira Uliyeweka iyo post. kama ni wa opposition unataka akwambie nini, Kweli Tanzania tuna kazi na Ma taburarasa kamanyie Shem on uuuuuuuuuu kilaza wa Nyinyiem
Kelele wewe mchumia tumbo Na Nyinyiem yako Fyoko Fyoko Kama we una akili prove hapa kwenye uzi watu wakujue we mwanaume Lissu ameshindwa kesi ngapi Dhid ya serikali? alafu ujue nan amebwatuka na nani ame prove felia kilaza mkubwa wewe. Rud Bush Brother mji unahitaji waliosoma hiki sio kipind cha...
Tena usirudie chadema si chama cha mashangingi sasa ilo neno la kindaki ndaki umelitoa wapi? we ni shangingi wa Nyinyiem Pandikizi la chama. stay tune mbwa wenye njaa 2020 wajiandae kula nyama ya sumu. Kuna usemi unaosema mwanaume lijali uumia kwaajili ya familia yake lakini mwanaume fala...
Iv mawaziri Wa Tanzania elimuzao zinawasaidia kweli? mbona wanatumia woga na kuingiza ujasiri wa Bandia kwenye kusimamia majukumu yao. Sikia kama hili la ndalichako tena akiwa kama waziri wa elimu na kuwahutubia watendaji wa secta husika wakiwa wamevalia Bedge bila aibu. Eti uhakiki juu ya vyuo...
Jamani ukweli ni kwamba ajira kwenye utawala huu hakuna au?
Mawaziri husika si waseme tuwaelewe. mbona kwenye sera zenu mliposema hapa kazi tu tuliwaelewa. Tinga tinga Mungu anakuona lakini.
kweli kunawatu wanamioyo ya kike yan mkeo analia, hata wewe! mlizoe vya kunyonga eeeeeeh! kazi september Mosi wacha kiwakeeeeeeeeeeeee. kwani we unacholilia kitugani hadi unafikia umri huo na usomi uliokuanao ujui maana ya maandamano ya Amani! Nani amekwambia Chadema wanataka kufanya maandamano...
Hu
huo ni mche
Huo ni mchezo uliochezwa ili kitwanga asihojiwe juu ya keso ya lugumi. Msiishi kama hamna akili. Akitenguliwa nafasi yake wapinzani mta muhoji nani? Lema shitukeni mkihamka mmeliwaaaa. Ilipangwa na imetokea.
NEMC Tunawaomba muitazame iyo sheria kwa umakin. kwakua inaonekana kama mnaialalisha kwa malipo nakutoa kibali cha Mil 10, tambuen kunawatu wanaweza fanya ivo na hamuwez kuwapeleka popote kwakua sheria itawabana nyie na sisi tukaendelea kuteseka. kuna watu wanafanya sherehe ad ya milion 150 sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.