Search results

  1. Manmaji

    Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

    Wenye kale ka-mchezo ka-kuwapa wale hiyo kitu mbona mtakomaa kichwa!
  2. Manmaji

    Fundi Computer anahitajika

    Nahitaji fundi wa computer maeneo ya Mbezi mwisho,Mbezi ya Kimara.Kama upo tafadhali nitumie PM ili tupeane maelekezo ya jinsi ya kuwasiliana.
  3. Manmaji

    Aliyekwisha pata mpenzi humu jf atujuze

    Mkuu cj21125 mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.
  4. Manmaji

    Nauza Uyoga(Mushroom)

    Muheshimiwa stephot nauhitaji sana huo uyoga,ni ule ambao naweza kutengeneza hata soup!naomba nijue na bei zake tafadhali.
  5. Manmaji

    Nauza Suzuki Vitara 3-Doors

    Mkuu hii gari bado ipo au imeshauzwa?
  6. Manmaji

    Ungekuwa Wewe Ungefanyeje??

    Jamani huu mchezo wa kutoa jicho umeenea nadhani hata kuliko watu wanavyodhania,tatizo ni kuwa ukijifanya unataka kuchukua jumla ujue kabisa hupewi n'go lakini akijua muhuni flani huna hata mpango unapewa kiulaini ile kuwa mkali ni zuga tu utakuta ana mtu wake anamega,sasa wewe Bepali...
  7. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Strawberrynaona wewe ni wale ambao mnataka kujiongezea number of posts humu Jf kwa ku-post hata uzushi mradi the numbers are rising,God bless you and keep it up.
  8. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Akiingia tushtue bwana huku hatumtaki wengine tuko serious asije kutuharibia maisha yetu.
  9. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Maji ya baraka kutoka mto Jordan.
  10. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Dah Smileleo umeniamkia vibaya,sasa avatar yangu mimi na yako unayoonyesha vipaja ipi mbaya?Kama mtu atapenda kwa kuangalia avatar za JF kuna ambao hawatapata wachumba kabisaaa.
  11. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Dah Smileleo umeniamkia vibaya,sasa avatar yangu mimi na yako unayoonyesha vipaja ipi mbaya?Kama mtu atapenda kwa kuangalia avatar za JF kuna ambao hawatapata wachumba kabisaaa.
  12. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Nashukuru kwa msaada wako mkuu siunajua ili ujue kiswahili fasaha inabidi ukieendee darasa mkuu,mie nilikisoma kwasababu ilikuwa compulsory tu lakini sio kama na-kimaind kiviiile know wht i mean?????
  13. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Sasa Smile kama unanitaka si utafute njia ya kuchat na mimi kiliko kumwaga humu hadharani,swala la mimi kula chumvi nyingi lina husiana vipi na kutafuta mke,ndio maana nataka aliekula chumvi kama mimi sihihitaji mapresha ya vijitoto vidogo.
  14. Manmaji

    anatafutwa mume

    Post yangu umeiona ni PM tu chat tunaweza kufikia makubaliano,i can be the one you are looking for.
  15. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Thanks for advice,let me do it right now.
  16. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Why do you say so,may be nimeji-express vibaya,lakini am seriou about this Zion Daughter
  17. Manmaji

    Helo hi

    Warmly welcome mkuu.
  18. Manmaji

    Nataka mke wa kuoa jamani

    Tokea nimeanza sijawhi ku-change ID yangu Zion Daughter .
Back
Top Bottom