Hi.
Boresha majina kwenye app yako, mfano jina 'Danieli' limeandikwa 'Danielii', jina 'Ruthu' limeandikwa 'Ruthuu', na kadhalika.
Pitia uone na majina mengine yaliyoongezewa herufi mbele yake uyarekebishe.
Otherwise, app ni nzuri sana.
Habari wana-JF.
Nimesoma maoni ya watu wengi kuhusu huyu kijana.
Nikakumbuka kuna kujana kama huyu aliteseka sana na UKIMWI akafikia hatua kama ya huyu kijana.
Lakini hakukata tamaa, wala hakuharakisha kunywa sumu.
Huyu hapa kwenye picha.
Kukata tamaa, kunywa sumu, kukimbilia kufa, n.k. ni...
Hebu rekebisha hapo ulipoandika kuwa hakuna mtu aliyefufuliwa baada ya Yesu kuwafufua aliowafufua.
Soma hapa..
Matendo ya Mitume 20: 07 - 12... inasema...
7 Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye...
Huo nilioandika ni mfano mmoja tu wa uwezo wa Obama kufanya 'upuuzi'.
Wewe umeandika kuwa Obama hawezi kufanya upuuzi...!!!
Sasa nikaona nikuonyeshe mfano mmoja tu wa upuuzi ambao huyo unayemtetea ameshaufanya saaana tu...
Sasa naamini unaweza kuelewa kuwa Obama anaweza saaana tu kufanya upuuzi.....
Obama anaweza kufanya lolote lile.
Kama ameweza kufanya mambo ya 'kipuuzi' kuliko marais wote wa marekani waliopita, atashindwa nini kufanya hili..??
Aliweza 'kulazimishia' sera zake za ushoga kwa mataifa yanayohitaji misaada kutoka marekani.
Hakuna rais yeyote wa marekani aliyewahi kufanya huo...
umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili.
Yaani wewe ni 'zaidi' ya Obama....
Kumbuka kashfa kama hizi ni kubwa.
Wakati uleeee... wa 'watergate' jamaa walikanusha hivi hivi,... lakini baadaye......!!!!!
Ushauri:
Muamini Bwana Yesu Kristo ili uokolewe sasa.
Ukishaokoka, dumu kwenye wokovu maisha yako yote, na Yesu Kristo atakulinda dhidi ya mapepo na mashetani yote hayo.
Dumu katika wokovu, jifunze sana Neno la Mungu ili uwe na msingi mzuri na silaha zote za kupambana na mapepo na mashetani...
Serikali itoe haki, na almost instantly, hakutakuwa na raia wema wanaochukua sheria mikononi.
Lakini kama kawaida, serikali imefumba macho...... raia wema wananyanyaswa kama vile ni wakimbizi kwenye nchi yao.
Halafu hujajibu swali langu nililouliza kuwa raia mwema na wahalifu, kwa maoni yako wewee, ni nani anayeanza kuchukua sheria mikononi?
Mfano, jambazi anakuvamia nyumbani kwako usiku, je jambazi huyo yuko sahihi kisheria za Tanzania??
Na kama amevunja sheria, kwa nini vyombo husika havianzi na...
Serikali isingetengeneza mazingira niliyoyaandika hapo juu... hata uite mtu mwizi... kusingekua na raia yeyote anayechukua sheria mikononi.
Sasa, serikali na vyombo vyake vya dola, vimetengeneza mazingira hayo, halafu wanalaumiwa raia...!!!
Kama kawaida ya nchi yetu hii, raia mwema ndio...
Yaani wewe hauko tofauti sana na police na viongozi wa serikali.
Katika mifano hiyo mitatu, ni nani aliyeanza kuchukua sheria mikononi...?? Wewe uliyeshambuliwa, au wahalifu waliokushambulia...??
Hivi sheria za Tanzania zinaruhusu mwizi kukuibia, mfugaji kukuhujumu mazao yako, n.k...?? Mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.