Search results

  1. H

    Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Wangekuwa wanafuatlia mambo kabla ya kutoa hitimisho ingewasaidia sana. Tatizo la upungufu wa dola ni la dunia nzima. Hakuna cha kumsifia mtu hapa
  2. H

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Pugu Sec School 1989 Mwl. Wajimila a.k.a Cobra alikuwa balaa sana
  3. H

    Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Nilikuwa Dodoma mwaka 1991 nakumbuka Wimpy kwenye juice na something jamboree
  4. H

    Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

    Mimi nasubiria Bagamoyo Historical marathon nikimbie 10km mwisho wa mwezi huu. Karibuni Bagamoyo
  5. H

    Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

    Bado tunaendelea na mazoezi kama kawaida. Ni kama routine ya kula chakula tu
  6. H

    Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Nilivyoona uzi ni wa tarehe ya januari nikajua comments za kutosha. kumbe patupu
  7. H

    Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Mara nyingi muuaji hata ajifiche vipi mambo huwa hadharani tu. Inaweza kuwa miaka kadhaa lakini itajulikana tu
  8. H

    Control number huwa inaisha muda wake wa matumizi?

    Inategemea ni ya taasisi gani. DAWASA inakaa mwezi mzima
  9. H

    Vitu vya kuepuka na vile vya kufanya ili kupunguza athari za vidonda vya tumbo

    Vipi kuhusu vile vimelea vinavyoitwa H pylori?
  10. H

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Si ana mdahalo wa kimataifa leo ataenda saa ngapi? Au utafanyika usiku?
  11. H

    Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM

    Utabiri unakaribia hatua ya juu kabisa
  12. H

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hapo kwenye mawakala ndio pana umuhimu mkubwa sana. Baada ya sarakasi ya kuwaengua wapinzani sasa sarakasi kubwa kabisa ni kuhujumu kwenye mawakala. Umakini unahitajika sana
  13. H

    Rais Magufuli amteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi wa TIC

    Huyu Jimbo analotaka ni Masasi. Tusikilizie tarehe 14 watakapochukua fomu
  14. H

    Wengi wataikumbuka CHADEMA huku wakilia na kusaga meno, CCM ina wenyewe

    Umeandika ukweli haswa. Makubaliano waliyoingia wakati wanawarubuni imeshapauka. Sasa wajibebe wenyewe
  15. H

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya 9 na Wakuu wa Mikoa, Thobias Andengenye awa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mwanri astaafu

    Hivi hizi nafasi za uteuzi zina umri maalum wa kustaafu? Ni umri gani huo? Na hii inawahusu mawaziri pia? Naomba kuelimishwa
  16. H

    1980 to 1990+ njooni hapa tukutane

    Mimi nimekumbuka sana hiyo MSURE siku za jumapili tunarudi Pugu sekondari toka kuwatembelea ndugu mjini. Nakumbuka ile kona yake ya kulala pale airport ilikuwa burudani. Bila kusahau SHELLA BEACH.
  17. H

    Usizidharau ishara hizi 8 za ugonjwa wa kisukari

    Mimi nina mwaka wa 20 na sukari. Nazingatia medical checks za mara kwa mara, mlo sahihi na mazoezi ya kutosha. Kila nikipima nipo normal tu
  18. H

    Waziri Mkuu Majaliwa: Corona imepungua Dar na Wagonjwa waliolazwa Wamepungua

    Kwa hiyo muda si mrefu tunafunga hospitali zote zilizoteuliwa kwa ajili ya corona. Mungu anatupenda sana sana hata kipimo hakipo
  19. H

    Sukari si bidhaa ya lazma kwa binadamu, athari zake kiafya ni mbaya, ni kiuchumi tu ndo inasound

    Ni kweli sukari inaleta uteja kama madawa ya kulevya. Lakini ukizoea bila sukari ni poa tu maisha yanasonga
  20. H

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Dah! Ukisoma hilo andiko unapata simanzi iliyopitiliza. Unaishia kusema malipo ni hapa hapa duniani. Waliofanya hivyo walivyofanya utafikiri wana hati ya kuishi milele na milele.
Back
Top Bottom