Search results

  1. Ben Nyangarya

    Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Kaka Pascal, sikajukuelewa vizuri. Kwamba kwa sababu ya "right to pricavy" media hamruhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yeyote. Je, kujua kwenu kwamba yupo wapi, anafanya nini, hakujaivunja hiyo haki, na mmejuaje bila kumfuatilia? Hamuoni kwa mashaka waliyonayo watanzania juu ya uhuru...
  2. Ben Nyangarya

    Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

    Inabidi kuwa na cha king'amuzi cha ziada (free) kama unataka kuona channels za ndani, ..kwa kweli ni usumbufu kwa mwananchi wa kawaida! startimes, digtek, continental, etc
  3. Ben Nyangarya

    Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

    Kaka, TCRA wanataka TV za FREE zisionyeshwe kwenye ving'amuzi vya kulipia (vikiwemo DSTV, ZUKU, AZAM) isipokuwa TBC peke yake. Sijajua lengo ni nini, na kwa nini TBC tu inaachiwa, na yenyewe ni free?
  4. Ben Nyangarya

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Mbona kwenye hiyo clip sijayasikia haya maneno, ".....badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania"?
  5. Ben Nyangarya

    Marufuku ya nguo fupi, Mlegezo, Kiduku na mitindo kwa ujumla, Nyerere alimkataza Kawawa kusumbua wananchi

    Mwanao anaweza akawa havai mini skirt lakini ni hodari wa kulala chali, sasa itakusaidia nini? - Nimeipenda hii!
  6. Ben Nyangarya

    Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    whatsapp +971 56 147 3121
  7. Ben Nyangarya

    Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    Njoo inbox, anahitajika mfanyakazi lakini Nairobi - Kenya
  8. Ben Nyangarya

    Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Hide whatsapp chat without archive / Without Any App - Solution Exist
  9. Ben Nyangarya

    Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Tofauti ipo kubwa tu. Zichinguze kwa makini utagundua, settings za GB whatsapp ni pana mno na ina features nyingi zaidi, kwa kifupi GB whatsapp ipo juu zaidi!
  10. Ben Nyangarya

    CHADEMA, Taarifa kwa Umma: Kuhusu uchaguzi wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Mbona Kenya na Uganda hawajatoa mgombea wa nafasi ya Spika, au ina maana Tanzania sisi ndiyo tunajua sana, ..au Kenya na Uganda hawajali maslahi ya nchi zao? JIULIZE!
  11. Ben Nyangarya

    Tundu Lissu azungumza kuhusu tukio la kushambuliwa kwake, Amlaumu Rais Magufuli

    Kama ilikuwa uhalifu wa kawaida, na kama muuaji alijianika, ...siku akikamatwa huyo mhalifu, tujulishe!
  12. Ben Nyangarya

    Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Valid where?? Acheni kupotosha umma!! ..au unataka nikanunue kabisa sukari nikupostie cash sale??
  13. Ben Nyangarya

    Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Imenibidi nivuke barabara mwenyewe, niende mini-supermarket mwenyewe, ...kilo 2 za sukari Embakasi ni KES 230.00
  14. Ben Nyangarya

    Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    March, April, ...May 2017, na hiyo ni bei ya ...2kg kipindi hicho!! Bei ya sasa supermarket ni KES 250 per 2kg
  15. Ben Nyangarya

    Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Uko sehemu gani wewe, ....thibitisha uongo wangu! Au unaniambia bei ya Westgate mall?
Back
Top Bottom