Search results

  1. Fred-el Suárez

    Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

    Naaam, Xiaomi inafanya vema sana...naielewa nikiwa kama mtumishi mzuri wa simu zao.
  2. Fred-el Suárez

    Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    tatizo letu weng tunapenda kusikiliza beat na mziki unavoenda na sio mashairi ama mistari hasa zaidi ujumbe uliomo ndani. Tuzo hizi mara nyingi huwa haziendi kwa haki..."zinachakachuliwa tu". on the other side hyu jamaa anapata tuzo zote hizo cause watu weng wanampenda kwa ajili ya haya;- 1...
  3. Fred-el Suárez

    hadithi ya kichina iliyosikitisha!!

    Hadithi yakusikitisha ya kichina: 朣楢琴执㝧执瑩浻牡楧㩮㔱硰执㝧执獧浻牡楧敬瑦&#28720...
  4. Fred-el Suárez

    Kisa cha madenge

    hahahaaaa........madenge amepinda haki ya nani
  5. Fred-el Suárez

    Neighbours

    end of free internet.....damn it!!!!
  6. Fred-el Suárez

    yesu na shetan katika makutano

    shetan alikutana na Yesu jangwan akamwambia "Yesu kama ww ni mwana wa Mungu geuza jiwe hili liwe mkate" Yesu akamjib "una chai ama soda hapo au unanisumbua? acha ujinga wako ww.
  7. Fred-el Suárez

    Sijui kama ndoa hii iliendelea?

    Mumealirudi nyumbani ghafla akamkuta mkewe amelala na kijana mmoja kitandani kwake akamuuliza: " Mamb gan haya mke wangu?" Mke akamjibu "Huyu kijana nlimkuta sokoni anaomba chakula nikamleta hapa nyumbani nikampa kile ulichobakiza asbh hakuwa viatu nikampa vile ambavyo huvai..... nguo zake...
  8. Fred-el Suárez

    Naitwa John ila kazini....

    Majambazi walivamia mji mmoja, yakawakuta mke na mme. Majambazi yakaanza kuwahoji kama ifuatavyo:- Majambazi: wewe mwanamke unaitwa nani? Mke: Naitwa Elizabeth Jambazi mmoja: wewe tumekusamehe maana jina lako linafanana na la mama yangu. Mke: Asante sana. Majambazi: Wewe mwanaume unaitwa...
  9. Fred-el Suárez

    Ujinga Ni.........

    Ujinga Ni............ 1.Ujinga ni Kumenya pili pili. 2.Ujinga ni kuuliza Konda yupo wapi wakati umepanda piki piki. 3.Ujinga ni Kupiga Kandambili Kiwi. 4.Ujinga ni kesema Rose muhando Malaya cz anajua hadi utamu wa yesu. 5.Ujinga ni Kumwambia Dereva wa Boda Boda akuekee Mzigo Kwenye...
  10. Fred-el Suárez

    Chezea muhaya veve.....!!!!!!!!!

    unataka nyingine sio ngoja basi nitupie
  11. Fred-el Suárez

    Chezea muhaya veve.....!!!!!!!!!

    hii ni kiboko sasa
  12. Fred-el Suárez

    Valentine kenya

    akuone tu unavuna kwa jirani, mbona patachimbika
  13. Fred-el Suárez

    Valentine kenya

    Man : Habari ya nyina wa Kamau Woman : *sneers* Mzuri. Wapi Maua? Man : Ati maua? Woman : *Slap* Kwani nimesema OMO? Man : Sasa ni nini nyina wa Kamau? ... Woman : Nimekuuliza wapi maua! Man : Eeee ... Nimesahau. Woman : *Slap* Wapi? Hapa nje! *Slap* Umesahau wapi? Man : Wuuui. Sasa ni nini? Si...
  14. Fred-el Suárez

    Dope

    Two young guys appear in court after being arrested for smoking dope. The judge says, 'You seem like nice young men, and I'd like to give you a second chance instead of jail time. I want you to go out this weekend and try to convince others of the evils of drug use. I'll see you back in court...
  15. Fred-el Suárez

    Misemo ya Mpoki jamani!

    hata uwe nahodha hodari namna gani huwezi endesha meli kwenye swimming pool
  16. Fred-el Suárez

    Unasemaje kuhusu mgomo wa madaktari?

    Nyie watanzania nao muna matatizo wkt mwingine, mnawakataza madaktari wasigome ili iweje? Mtawalipa nyie hayo malimbikizo? Imagine we unayekataza mgomo ndo ungekuwa daktari ungefanyaje? Fikirien. Aaaggrh....
  17. Fred-el Suárez

    Tamaa ya ngono noumer!!

    Hyo ni kaz kweli, mapenz hayana control wakati mwingne
  18. Fred-el Suárez

    Tamaa ya ngono noumer!!

    Dogo wa A-level alikuwa anapenda mademu kinyamaa lakini gundu. Ikawa tabu kwake. Juzi usiku kamatokea Malaika akamwambia amuombe anachotaka ataampa. Dogo akamwambia anataka demu. Malaika akamwambia "Kama ni muislamu nitakupa Latifa wa form 2B, kama mkiristo nitakupa Suzy wa Form 3A na...
  19. Fred-el Suárez

    Zuzu

    ilishatolewa humu JF hayo ni makombo kaka
Back
Top Bottom