Search results

  1. K

    Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    we mshamba Pemba na Unguja ipo kabla ya tanganyika yako upo
  2. K

    Uandikishaji Daftari la Wapiga Kura Aibu Tupu

    kuna uchaguzi tanzania ni ujambazi mtupu wa CCM na tume yake ya uchaguzi. hizi ni njama zipepagwa makusudi na NEC wakishirikiana na CCM.
  3. K

    CCM na Serikali za Mitaa wanaandaa wizi wa kura Oct 2010

    sasa ushahidi gani na hawa TUME YA UCHAGUZI WOTE NI CCM.
  4. K

    Uchaguzi mkuu TZ 2010: UPDATES

    Kikwete hahitaji kura ya yoyote si anaye Lewis M. Makame
  5. K

    Kwa Nini CCM Inashinda Chaguzi "Kwa Kishindo"?

    Sababu kuu ya ushidi wa CCM ni Ujinga wa waTZ ikiwa nyinyi munaojifanya ni wasomi ni wajinga itakuwa waTZ wasio soma. CCM haishindi, inatangazwa tu na Mkereketwa Lewis M. Makame na R.R. Kiravu hii yote ni mi CCM mikereketwa
  6. K

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    wimbo huu unatoka kanisani tizama kitabu cha nyimbo na sala
  7. K

    CCM haina mpinzani!

    Hakuna lolote nguvu waliyonao CCM ni Tume ya Uchaguzi na kama kweli wanajiamini basi nakuomba washauri tume ya uchaguzi isiwe ya CCM watupu. Ama kusema upinzani hawana nguvu hiyo ni kweli kwasababu bila ya kutumiya nguvu za umma wasahau kushinda uchaguzi kwa kupitiya yume ya uchaguzi ya CCM.
  8. K

    Tafakari ya 9 Disemba: Leo ni siku ya Uhuru

    SASA HUU NI UHURU WA TANGANYIKA AU waTANZANIA??
  9. K

    Hakuna haja ya Uchaguzi 2010!

    Hapana maana yoyote kufanya Uchaguzi kwa hapa Tanzania NEC haitoruhusu kuwa na uchaguzi huru na waki NEC ipo kwa ajili ya CCM tu sasa yanini kufanya uchaguzi ni just kuwapa CCM mwanya wa kutesa watu tu.
  10. K

    Tunahitaji chama kipya?

    Endeleeni na porojo baada ya kula chips na kuku wa KFC. madamu NEC au tume ya uchaguzi ni CCM hata watanzania wote waipigie kura Chadema basi mshindi ni CCM. Na huyo Mrema munaemsifu hawa CCM wenyewe bado walikuwa wamelala 95 ndio maana wakawaruhusu kupata kura nyingi lakini walipo amka sasa...
  11. K

    Tunahitaji chama kipya?

    Hata mukaanzisha chama gani sijuwi lakini serikali hamupati tanzania. Ikiwa nyinyi ndio wasomi lakini bado CCM hamujaijuwa au sijuwi munababaisha tu. CCM Haina Shida Ya KURA ya mtu YOYOTE wao wanatume ya U C H A G U Z I B A S I ikiwa mutaweza kufahamu hapo basi chama chengine...
  12. K

    Chadema wafungua kesi ya kikatiba kupinga uandikishaji

    bro, kakwambia nani kama wakaazi wote wamepewa ID au wewe ndio uliozitowa sasa watu makelele yote hayo wanayopiga kwamba hawapewi ID zina tolewa kwa ubaguzi tu kama wewe ni CCM utapewa mpizani hakuna. alooo!!! basi kama hujuwi hii ndio mbini ya kuiba kura ukisha kuwazuiya kuandikisha basi...
  13. K

    Chadema wafungua kesi ya kikatiba kupinga uandikishaji

    Sasa huyu anayetowa hivi zan ID si ndio huyo huyo CCM ??? sasa si ndio maana hawapewi wale wote wanao onekana kuwa ni wapinzani. bro nafikiri ama unababaisha watu ama huwajuwi CCM na hata ukenda Mahakamani ni kupoteza wakati maana hata hiyo mahakama utakutana tena na Mi CCM tu huko.
  14. K

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    ni njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. K

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uandikishwaji wapigakura waleta vituko Richard Makore Zoezi la uandikishwaji wapiga kura jijini Dar es Salaam jana lilijawa na vitimbi baada ya mjumbe wa CCM tawi la Mkunduge kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi na wafuasi wa CUF kwa madai ya kutaka kujiandikisha sehemu asiyostahili...
  16. K

    Kuna umuhimu wa mimi kupiga kura tena?

    Kwa Tanzania hakuna muhimu wowote wa kupiga kura ni kupoteza wakani Nec ama tume ya uchaguzi ya taifa (i mean ya CCM ) ndio inayochaguwa nani awe raisi nani awe mbunge kwa matakwa ya CCM kuna majimbo mengine hata kura ya mbunge mwenyewe haionekani. bro usipoteze wakati wako bure kwa usanii wa CCM.
  17. K

    CCM hata wakiweka ng'ombe, aweza kushinda!

    Hakuna chama chochote kinaweza kuishinda tume ya uchaguzi ya CCM (NEC) labda watanzania wote wasimame kwa umaoja wao kupiga vita
  18. K

    Duni: Kuandikisha Wapiga Kura Idd ni Kuvunja Katiba!

    watanganyika kazi yao ni mbege na wezi tu
  19. K

    Augustine Lyatonga Mrema: Mpiganaji!

    wote ni wezi tu. huyu ni pandikizi tu anakula mshara kotoka CCM ile awavuruge wapinzani.
Back
Top Bottom