Mkuu hata mimi ni shuhuda. Nimeendesha peke yangu bila kupumzika kutoka Dar(Segerea) hadi Bukoba(Kanyigo) Km 1542 bila kupumzika na nilitumia masaa 18.
Mkuu hapo umesahau kwamba wazenji wanaimport kutoka bara vitu kama nyanya, mbogamboga, vitanda vinavyotengenezwa pale Buguruni na bia za TBL/SBL. Hawa hawana madini kwa ujumla hatuna cha kupoteza kama huo Muungano utavunjika.
90% ya wazanzibar ni Waislam. Na kama unavyowajua wenzetu, si wastaarabu maana jambo dogo tu wanalifanya kuwa kubwa. Wanataka nchi hii itawaliwe kwa misingi ya sharia. Hivyo mkuu usishangae kuona uislam unakuwa linked na siasa hasa Zanzibar na pwani.
Huyu Gerald J. Guninita ni mtoto wa John Guninita au ni majina tu yanaelekeana? kama atakuwa ni mtoto wa John Guninita naamini hata yeye atakuwa na kichwa kibovu kama cha babake.
Mkapa amesema anashangaa kwa nini Mahalu ameshitakiwa. Na kwa kumbukumbu za haraka ni kwamba Mahalu alivuliwa ubalozi February 2006 yaani siku kama 40 hivi tangu JK alipopata madaraka. Hii imekaaje? inaelekea JK alikuwa na usongo naye. Au hakupewa mgawo wake?
Picha ya 1962 inaonyesha kulikuwa na meli nyingi zinaingia na kutoka hapo bandarini. Picha ya sasa hivi vinaonekana vijahazi tu vinavyotoka Zenji. Huu ni ushahidi tosha kwamba siku za nyuma tulikuwa vizuri kuliko sasa.
Wana JF huyu mzee anachokifanya si kwamba anatusaidia wana CDM, ameweka mguu mmoja ndani ya CDM mwingine ndani ya CCM. Anapima upepo tu ili CDM tukichukua nchi abaki salama yeye,familia yake na mali zake.
Wana JF, Habari zilizopo zinasema kwamba wale walaji wa chips mayai wakae chonjo kwani kuna mayai ya Kisasa yanayotengenezwa na wachina hapa nchini. Angalia picha za mchakato mzima wa jinsi yanavyotengenezwa.
Mkuu Kigamboni ni sehemu ambayo serikali ina mpango wa kupajenga kuwe mji wa kisasa.Angalia usije ukanunua kumbe mtu alishalipwa chake alafu akakuingiza mjini.
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Habari wana JF, jioni ya leo kutakuwa na Mechi kati ya Man U ikipambana na timu ya Mwarabu,Fulham. Wana Man u tuiombee timu yetu ili tuzidi kuiacha Man City........NAWASILISHA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.