Search results

  1. PetCash

    Ninajivunia wewe uliyeweza kusimama imara baada ya kupewa mimba na kutelekezwa na mtu uliyempenda

    Yeah we salute them, Kuna watu watasema kuwa wamezingua, lakini tutofautishe haiba na mahusiano yenu na majukumu ya kulea. Hata kama msichana anazingua, sio sababu ya kumnyima matunzo mtoto wako mwenyewe. And yes Mungu hapendi, lakini hamhukumu mtoto ambaye hana hatia. And the kid has needs still...
  2. PetCash

    Yamenishinda nimerudi kwetu. Napachukia

    I remember going through this. Nilikaa kwa ndugu, nilipograduate akaanza kusema sasa unafanya nini hapa na chuo umemaliza? Hapo nilishajaribu michongo kibao ikabuma (Though mingine ilikuwa tu inanifunza maisha - no regrets). Bahasha nishatembeza sehemu za kutosha. Basi nikarudi zangu kwa wazazi...
  3. PetCash

    Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    1) Unaweza kuona kuwa huu ni ushuhuda mkubwa na ni funzo ila, utakua unakosea sana. Huyo msichana alikuwa ni mdogo na alikuwa anataka mtu wa kuwa naye kwa kipindi. Fikiri hata serikali ingejua ingekupiga 30! 2)Hata kama alikuwa serious mwanzoni na ndoa. Inawezekana down the road aliona vitu...
  4. PetCash

    Mwanamke baada ya kukaa naye kwa miaka miwili leo ndiyo kanipa ukweli

    Yani hapa tunajadili mtoto wa form 2 - form 4 (Yes a kid and apparently a student ambaye akikupa tu tayari una kesi ya 30 years?). Sa nyingine tufikiri tu kidogo, maana na wewe utakuja kuwa na mtoto wa kike. Hapo ukimpa mimba unamruka futi 100 akahangaike na wazazi na ndugu zake. Mi nampa...
  5. PetCash

    Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

    If in any way you happen to see this through. Rafiki yangu, nakuahidi, Haitakuwa mwisho wa 'depression' . This will no way be your happy ending. a) Kwenye vita anayesaliti kikosi anakuwa mhaini na kuna laana zinaambatana naye. You are married to your wife and by your choice. Kipindi hiki ni...
  6. PetCash

    Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Huyo atakua naye ni mhusika kwa namna moja ama nyingine mkuu, Hakuna mwanaume anayeweza tetea laana kama hiyo
  7. PetCash

    Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Yes, primarily hili suala ni letu wanaume moja kwa moja. Ila mtoa mada kwa kuzingalia jamii, viashiria, vianzilishi na vichangiaji (support), na pia kwa kuangalia position/ role ya wanawake kwenye hili ndio maana akaanzisha mada. Maana mwanamke ana mchango mkubwa sana sana kwenye malezi...
  8. PetCash

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    It's highly unlikely kuwa ataacha, and it will hard for you to find out (Though not impossible). I know it's hard for you as well. Talk to someone who is not close to the family. After sometimes utasahau and if he is nice to you, you'll love again. If you don't deal with it, you are pushing him...
  9. PetCash

    Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

    Exactly how my advice would've been. Katika vyote alivyovitaja only viwili ndo vinahusika na tabia ya mke. And both of them he can do without. Achague tako tu kwa kweli
  10. PetCash

    Anaomba turudiane, nampenda lakini nafsi inakataa

    Sasa hapo uliwekwa ndani kwa kosa lipi? Naona story yako haina nyama (content ) za kutosha. Kuna kosa kutokuwa na hela?
  11. PetCash

    Je, ananipenda huyu mwanamke?

    What can we say? Make the most of the mornings and the nights for they already have good wishes on them. Mwache aombee asubuhi zako na usiku wako, we fanya mambo mengine kama vile kusoma? Hasa hasa kwa hizo nyakati anazoombea...
  12. PetCash

    Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

    Over at your neighbors garden the grass is always greener... a) Kuna mkuu keshakuambia, wanakutreat vizuri kwa sababu ya maneno anayokusemea mkeo kwao. Mkeo ana picha nzuri ya kwako na hiyo ndio anayoionesha kwao. (This proves beyond doubt she is a good wife). b) Umesema mkeo anakufukuza jikoni...
  13. PetCash

    Ndoa imenishinda. I need prayers

    If you think that will break it up then u r new to these things. Oh! wait your marriage is still young. ADVICE: tafuta pesa. Coz if she finds that n ur a broke ass ningga then its done
  14. PetCash

    Dah! Kuna mambo yanatia hasira jamani

    Kuna mshkaji wangu mmoja tulisoma wote. Katika harakati za kutafuta maisha tukawa tumepotezana kidogo. Jirani kidogo na nnapoishi kuna jamaa tumezoeana anaishi na familia. Na hasa mazoea yalianza kwa sababu mke wake huwa kwenye shughuli za utafiti huwa tumewahi kukutana mara kadhaa (Ila...
  15. PetCash

    Naombeni ushauri jamani

    Tulia hapo, uolewe taratiibu... Papara zinaharibu mambo
  16. PetCash

    Hivi mbona wanawake siwaelewi?

    Two things 1) She is not that into u 2) Anataka kama unahitaji mzigo basi uubebe moja kwa moja. Yani wengine watakula kimasihara, ila wewe utakula kwa jasho. USHaURI : Komaa na nia yako, but huyo ni wa kimasihara zaidi
  17. PetCash

    Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

    mfate42 Mkeo hana tatizo, mpe hela aache kukopakopa hovyo. Mshauri awe anakuomba hela. Na wewe tafuta mcheps, ukitegemea kupewa na mkeo kila cku mbona stress zitakuua? Kwa sababu imagine unalala na utamu pembeni hadi asubuhi na hupewi. Ungekuwa umetanua mchepukoni kidogo unakoroma zako wala...
  18. PetCash

    Baba mkwe kumbadilisha jina mtoto wangu

    Sasa unazalisha vipi na hela tu ya mahari huna????? Tulia tu apo maamuzi yao ni ya mwisho maana si mkeo yule. Na wala si mchumba pia coz hujatoa mahari. Huna unachodai. Hata kimila huyo mtoto si wako
  19. PetCash

    Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

    Kabla ya kukushauri, tuanze kukuasess wewe kama mama wa house. Inavyoonesha huyo dada yuko vizuri kwenye majukumu ya nyumbani kuliko wewe. Sisemi hivi kwa sababu ulipika mboga chukuchuku mbaya hapana. Nazungumzia challenge anazokupa dada kila mara kama mwanamke. Hapo ni kwamba yeye keshaona...
  20. PetCash

    Nimsaidieje huyu binti?

    Binti hana makosa wala hahitaji msaada. Wewe ndio unahitaji msaada kujielewa. a) Ulikuwa humtaki sasa ulivyorudi ulianza kumchokonoa wa kazi gani??? b) Ulivunja bikra yake ili nani aje aendeleze ulipoishia? c) Nadhani kwa sasa hivi ni kitu cha kawaida kukuta mkeo alishapita vituo kadhaa kabla ya...
Back
Top Bottom