Search results

  1. Invoice

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hodi humu ndani, Maafisa:cool::cool:
  2. Invoice

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Hahahaha Kuna nini kwa Kitila..?
  3. Invoice

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    1. Ulinzi - Prof Makame 2. Katiba - Simbachawene 3. Michezo - Tarimba 4. Mawasiliano - J. Makamba 5. Tamisemi - Jaffo 6. Viwanda na Biashara - Dr. Kimei 7. Uwekezaji - Hussein Bashe 8. Mambo ya ndani - Alexander Myeti 9. Sera na Bunge - Jenista Mhagama 10. Ardhi - Lukuvi 11. Utawala...
  4. Invoice

    Fimbo ya mbali

    Wadau mwenye audio ya wimbo wa Saida karori (fimbo ya mbali) anisaidie please. Nautafuta sana bila mafanikio. Natanguliza shukrani.
  5. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    hahahahaha..eti hii nayo ni comment inayotolewa na KING OF ALL SOCIAL MEDIA NETWORKS. Above 54yrs old man, Msomi, mtu anaeijua vyema dunia ati.. Comment ya kitooto, yakipuuzi name hafifu sana
  6. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Ninalifamu vizuri in and out asilimia kubwa mambo yake yamekaa kiudalali dalali hususan maswala ya mademu maarufu na kujifanya linafahamu mambo mengi na kufahamiana na watu maarufu. Halina ujanja wowote tofauti na kujipendekeza kwa watu wenye pesa. Na yeye pia aninifahamu vizuri tu sema ndo...
  7. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Above 50years old Man..lakini mambo ya kitoooto..as if you're under 30.. Kazi kujipendekeza kwa watu maarufu kisha unapost kwenye IG..eti business meeting.. hahahahaha naaafwaaaz wakati unakutana nawa sehemu husika wakiwa na mambo yao binafs na kuomba selfie..hahahaaha. eti umaarufu umaarufu...
  8. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Jin Jinga sana hilo linajiona jaja wakati nalifahamu vizuri tu..linapenda sifa sana na hayo matangazo linayopost kwenye IG zake mengi ni ya kujipendekeza linafanya bure na kuambulia ofa za msosi tu..
  9. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Nakufa Nakufahamu IN and out huwezi kunidanganya mimi wadanganye hao majuha unaowadanganya.. Lifestyle yako naifahamu..huna uwezo huo unaosema. Mwenye uwezo hawezi kujisemea lifestyle yake.. Eti futari ya 65k hahaahahahahaha
  10. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Unaona sasa ninayoyasema...? Hii ni sawa nakuonesha cheti cha kuhitinu form four kana kwamba umehitimu peke yako nchi nzima.hahahaahaha ushamba tu.. Wajukuu zako wenyewe hawawezi fanya upuuzi kama huu.. Siku zoote mtu anayejishow off sanaaaa hana lolote.
  11. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    le mutuz tatizo lako ni maneno mengiiiii vitendo sifuri... Huna lolote laiti ungekuwa una pesa the way unavyojishow off dunia nzima ingejua. Yaani kuwa na kimradi cha 5ml basi unajiona booonge la akili kubwa hahahahaaha..unayoyafanya sasa yalishafanywa kitambo sana tena na vijana wa under 30 wa...
  12. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Mungu shukhria sana(kanji's voice).. Babu ungetulia tu utuachie uwanja tucheze wenyewe wajukuu zako... Khaaaa...!
  13. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Hahahaha.. Linapenda mineno mbofumbofu sana hilo lizee.. JPM akitoka madarakani lemutz atakuwa age sawa na umri wa sasa wa EL.. Lkn mawazo aliyonayo sasa ni ya akina Aslay. Ukiona mtu above 50years old anapost nyumba isiyokuwa madirisha na milango(haijakamilika),hana majukumu ya kifamilia na...
  14. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Lingeacha mambo ya kitoto toto na umama umama lingekuwa mbali sana kwasasa.. Yaani yeye maisha anayatazama vais verse kwamba umri unarudi nyuma badala ya kwenda mbele.. Saivi hata wajukuu zake akina Millard Ayo wako mbali kisocial media lkn hawafanyi utoto anao fanya.. (Agemate yake sasa ni...
  15. Invoice

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Haha haha...Huko IG post zake nyingi hazinaga wachangiaji, huwa linatafuta sababu za maksudi na kupost ili watu watoe mapovu. Kwake linafurahi kwelikweli kuona post yake imepata wachangiaji zaidi ya 250.. Wajanja tunalitazama tunasema hiiiiiiiiiiii.....
  16. Invoice

    Dr. Lwaitama apewe uenyekiti CHADEMA na kugombea Urais 2020

    Bora hilo jina la Lwaitama ungelibadilisha kuwa Membe kidongo ungeungwa mkono 80%
  17. Invoice

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Hope mko salama salimini wadau.. Jamani sijawahi kufanya biashara yoyote toka kukuwa kwangu zaidi ya kazi za kuajiriwa. Sasa nina kamtaji ka 3,500,000/= lakini kila nikitafakari kukazungusha kwenye biashara, nachelea sana kujiaminisha ni biashara gani hasa ya kufanya. Hivyo wadau naombeni...
  18. Invoice

    Dodoma: Yaliyojiri Mkutano Mkuu maalum wa CCM, mabadiliko yamepitishwa, Arfi na Machali wahamia CCM

    Katibu mwenezi amepwaya sana kwenye hiyo section.. Nape aliiweza sana
Back
Top Bottom