Search results

  1. M

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    salaam mkuu, nina swali kidogo linalohusiani na mada hapo juu,miaka kama 6 iliyopita nilipata opersheni ya appendex...kwa maana hiyo mpaka sasa bado ninaalama ya kisu lakini kiafya nipo njema,nina uwezo mkubwa wakufanya shughuri nyingi zinakutumia nguvu. Mwakani namaliza varsity,nina mpango wa...
  2. M

    Kukosa kujiamini

    Kwasasa confidence imepanda kwa kiasi fulani!!!asanteni sana ndugu
  3. M

    Kukosa kujiamini

    Kaka/Dada bangi zipo nyingi sana,nasikia kuna chaArusha,Shinyanga n.k,,sasa nivute ya wapi ???
  4. M

    Kukosa kujiamini

    shusha nondo basi
  5. M

    Kukosa kujiamini

    thanks a lot maadam
  6. M

    Kukosa kujiamini

    unajua kuandika lakini hujui kusoma!
  7. M

    Kukosa kujiamini

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili. Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi i.e elimu,pesa n.k lakini bado sijiamini kabisa!nimejaribu kusoma article mbalimbali za saikolozi{how...
  8. M

    Nitoa bikira kwa dakika moja ya msichana wa chuo . Ni bikira original?

    kabla ya kuanza tendo,ungeileta hapa tuikague...sasa hpo post motam haiwez kusoma tena!
  9. M

    cr7 azawadia kitabu kitakatifu(qur-ani)

    serukamba mkubwa,sas ndo umeandika nini hapo!
  10. M

    Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

    taratibu mkuu..humu jf wanaposema mbeba boksi uwa wanamaanisha wabongo/waafrika wote wanaofanya kazi au kutafuta maisha ughaibuni.kwahyo hakuwa na maana mbaya kwa kutumia neno "wabeba box"
  11. M

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Ahsante kwa taarifa mkuu!!!kozi zao sijazipenda,naoana kuna masomo mengi tu ya kupotezeana muda na kulazimishana SUP!Sasa hiyo PROGRAMMING ya nn sasa kwa muhasibu??????Lazima migawanyiko za fani mbalimbali ueshimiwe bwana.Mtu mmoja huyohuyo asome Programming,account n.k!!!!!unaujua mziki wa C...
  12. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    acha kumtusi kaka lusinde wewe!!!!!unajua maana ya jembe ??????
  13. M

    Pro-LOWASSA's where are you?

    Mkuu Pasco kutokana na maneno yako,inaonesha ukweli uliufahamu siku nyingi sana kama CDM ndio chama cha wazalendo.Swali linakuja,kwanini ulikubali kununuliwa na El Kwa bei chee kabisa badala ya kutumia taaluma yako kuelimisha watu uchafu wa ccm?? Au Pasco unapiga chapuo kwa cdm ili uwe...
  14. M

    Pro-LOWASSA's where are you?

    Pasco alisema atamwambia Mamvi abadili uwamuzi wa kugombea 2015!sasa sijui tayari kumshauri au bado!mkuu Pasco tupe update bana.
  15. M

    Pro-LOWASSA's where are you?

    Akili yako inavyokutuma CDM ni mbowe,zitto,slaa,mnyika na viongozi wengne waandamizi.CDM ni yakila mtu,uwe msomi,maskini,mwanajeshi,magereza,mtumishi wa serikali n.k.Kwahyo hata sisi ni wadau wakubwa wa CDM. PEOPLES.... POWEEER...
  16. M

    Pro-LOWASSA's where are you?

    Wapi Pasco??wapi yule aliyetueleza kwamba Mzee Lowasa yupo German mzima wa afya!! CDM kweli kiboko yao.Naamini mpaka 2014,huyu Mzee kama akigombea urais atakuwa na uwakika wa kula za Monduli tu.
  17. M

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Ndio maana nilisema "tumepuuza kauli.....".Sisi tulisema CDM ndio mkombozi,sasa kauli za huyu mzee ni muflisi kabisa.
  18. M

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Kuna haja gani ya kuwa na Mzee kama Mtei{makapi} kulopoka hovyo hovyo mbele ya mass??Kiongozi/mwanasiasa makini ni yule ambae siku zote kauli zake hazileti mtafaruku kwenye jamii. Mzee katuonesha his true color!!!Nafikiri huyu mzee yupo kwenye CC,watu tumepuuza kauli za udini kutoka kwa...
Back
Top Bottom