Search results

  1. Amanda187

    I need someone who will love me

    We una Miaka mingapi...usikute umemwacha mama Chanja kujaliwa kutafuta do go dogo hapa hehehe napika tu
  2. Amanda187

    Mwanamke kumwambia mwanaume amempenda je ni kujidhalilisha

    Kuwa rafiki wa karibu kwanza ....umjue vizuri sio kukurupuka na kasema unampenda maana kumpenda mtu ni jambo pana ....na unapokuwa karibu nae utajua kama unampenda kweli au la na Kama ni ndio ni rahisi kumwambia..mawazo yangu tu
  3. Amanda187

    Kuhusu kurudia mitihani kidato cha nne.

    Habari za kazi,Shule,kulala nk Jamaniiiiiiiiii naombeni msaada kuhusu namna ya kupata centre ya kurudia mitihani aw kidato cha nne(wale wa division 0).....Nimeenda makongo nikaambiwa elfu kumi na Ada laki nne na nusu,nikaomba namba ya kituo nikaambiwa mpaka nitakapolipa Ada ....nikaenda necta...
  4. Amanda187

    Changamkia hiyo Sponsor

    APPLICATION FOR POSTGRADUATE SPONSORSHIP Written by Administrator Wednesday, 11 April 2012 14:36 The Ministry of Health and Social Welfare invite applications for sponsorship from candidates intending to pursue Postgraduate...
  5. Amanda187

    Mwenzi asiyeelewa!

    ]Ukweli mtupu, sio kila uonacho wewe sawa, na wenzako lazima wakione sawa...nice point :cool2:........ Ni kweli sio kila nionacho mimi ni sahihi.....Lakini issue hapa sio nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi,bali swala ni kupeana taarifa pale wazo la tofauti linapojitokeza ili liwekwe mezani...
  6. Amanda187

    Mwenzi asiyeelewa!

    UNAWEZA KUWA WEWE NDIO SABABU YA HUYO NDUGU KUFANYA HAYO ANAYOYAFANYA ...... Mimi kuwa sababu sidhani kwani ukweli ni kuwa tunakaa na kupanga mipango kamili ya mwaka,lakini anaibuka na tendo wala sio mpango au wazo bali kitu kilichokamilika na kukitenda bila kukileta kwa ajili ya mjadala au...
  7. Amanda187

    Mwenzi asiyeelewa!

    Habari za Ijumaa,Naomba niwaulize wenzangu,ivi unafanyaje unapokuwa na mwenza wako ambaye haelewi,yaani ulimwengu uko huku na yeye yuko huku?halafu hashauriki kwa maana anajiona yuko sahihi,hana mipango dhabiti,anapanga kutokana na wenzake wanavyopanga,anaweza akaamka kitandani bila mpango...
Back
Top Bottom