*TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI*
Kesho tarehe 26 Machi 2019, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe atazungumza na waandishi wa habari.
Muda: Saa tano kamili asubuhi
Mahali: Makao Makuu ya Chama Kijitonyama Dar es salaam.
Waandishi wote mnakaribishwa.
Ado Shaibu, Katibu wa...
Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe kwa Viongozi wa Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Ndugu zangu mliokuwa viongozi wa matawi, kata, majimbo na wilaya wa wilaya ya Mkoani, ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Pemba kwa kumuunga mkono Maalim...
KUADHIMISHWA SIKU YA WANAWAKE LAZIMA KUIBUE FIKRA ZITAZOMFUNGUA MWANAMKE MINYONYORO:
Historia:
Sikukuu ya kwanza ya Wanawake, inayoitwa "Siku ya Wanawake wa Taifa," ilifanyika Februari 28, 1909, huko New York, iliyoandaliwa na Chama cha Socialist of America kwa maoni ya Theresa Malkiel. Ingawa...
Prof. Kabudi Mwalimu wangu, sasa amezoeleka kila hotuba zake anajaribu kutumia mistari ya Biblia kwaajilia ya kuhalalisha upotoshaji wake.
Mwalimu wangu naomba nikukumbushe kuwa soma mistari hii ya Luka, njia unayotumia kutunyamazisha basi tukikaa kimya hata mawe yataongea, ni wakati sasa...
SIASA, FURSA NA HESHIMA
"Mwenezi kuna nini unapata ACT?"
"Wanakupa nini?"
Maswali hayo na mengine mengi ya namna hiyo ninakutana nayo mara kwa mara kutoka kwa vinywa vya wenzangu, hasa vijana. Wengine huenda mbali zaidi: "Mwenezi ni mtu mkubwa Bwana! Tugawane hivyo wanavyokupa ACT" Katika dunia...
Na Zitto Kabwe.
Maamuzi wa kufungia gazeti la Mawio unapaswa kulaaniwa na kila mwanademokrasia. Uhusika wa Marais wastaafu kwenye mikataba ya madini umesemwa na Rais Magufuli Mwenyewe sio Mawio. Hakuna mkataba ulioingiwa bila Baraza la Mawaziri kuidhinisha. Kitendo cha Kamati ya Rais kutuhumu...
HUMPHREY POLEPOLE NA WAPISHI WA PROPAGANDA
Mimi nimekulia kwenye makuzi mahususi ya kitaaluma yenye kuheshimu mijadala inayojikita kwenye masuala badala ya watu. Lakini leo nitalazimika kuvunja mwiko kidogo na kujadili personality ya mtu kwa sababu kuna upotoshaji unaendelea hapa. Nitalisema...
Someni na hii ya mwaka 2010
MJADALA WA KUTUNGA SHERIA YA MADINI 2010
Mkutanoni Bungeni!Aprili, 2010
Mheshimiwa Spika,
Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa kunipa nafasi ya kushiriki katika kuchangia Muswada huu kama jinsi mwenyewe ulivyoita kwamba ni Muswada wa kihistoria kwa sababu...
Hotuba ya KC Zitto Kabwe - Kijichi
HOTUBA YA ZITTO KABWE,KATIKA KATA YA KIJICHI JIJINI DAR
Ndugu Watanzania
Ndugu Wanatemeke
Ndugu Wanakijichi
HERI YA MWAKA MPYA 2017
Namwomba Mungu, muweza wa yote atupe baraka tele kwenye mwaka huu mpya na kutupunguzia mitihani ya mwaka uliomalizika...
MAJIBU KWA MTATIRO MCHAMBUZI ALIYEJAA MAHABA HADI ANASHINDWA KUTOA FACT NA KUTUTOLEA VITUKO HADI WATOTO WANAULIZA YUPO DARASA LA NGAPI?
Hoja hii hapa ya Kaka yangu Mtatiro ndio inayojibiwa, nimechukua kipande kidogo tu alichoishambulia ACT kuwa imekuwa kikwazo kwa ushindi wa UKAWA na...
Ukisoma hoja yangu ya vii. Imesema kuunda tume ambayo itatoa majibu elimu gani inatufaa kwenda nayo, ambayo hili naona litachukua muda kwa serikali hii ya CCM
Sikubaliani na wewe kusema kuvishusha tutakuwa tunarudi nyuma kwanini usifikiri kuviboresha ili hadhi yake ipande?? Hivi mnajua taifa letu watu wenye degree ya kwanza hawazidi 5% halafu leo mnawaza kuwa na watu tu wenye elimu ngazi ya kati halafu mnataka tuingie kwenye ushindani na soko la...
USHAURI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KAMA INA DHAMIRA YA KWELI KUTAKA KUBORESHA ELIMU NA HATUA ZA KUCHUKUA ZA UBORESHAJI WA ELIMU:
Ili kupanua fursa na kuboresha viwango vya elimu katika ngazi mbalimbali, Serikali inatakiwa kuchukua hatua zifuatazo:
i)Kuwahimiza wazazi na walezi katika...
i. Serikali imeamua kupandisha nakisi ya Bajeti mpaka 4.5% ya Pato la Taifa na kuziba nakisi hiyo kwa kukopa kutoka ndani na nje. Mwaka 2016/17 Serikali itakopa shilingi 7.5 trilioni ambapo kati ya hizo mikopo ya masharti ya kibiashara itakuwa shilingi 2.1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.