Search results

  1. T

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Mbona usishauri wakaanza kufuta uraia wa wale unaoona hawana dhamira njema na nchi na wapo hapa hapa nchini, au mkipungua huko ughaibuni kazi za kubeba maboksi huko zitakuwa bwelele
  2. T

    R.I.P HAMIS NYINZA

    R.I.P Brother
  3. T

    Mwanazuoni Benson Bana na ukimya wake juu ya suala la Makinikia

    Huyo unaemuulizia ndio miongoni mwa wale wasomi wengi aliowesema Mzee Butiku
  4. T

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Mheshimiwa, wakili msomi Tundu Lissu, vita kupigania rasilimali zetu ndio imeshaanza, kama mlivopigana tangu mwanzo na sasa unakili mliyoyapigania ndio haya yanagundulika sasa, kasubiri mikataba ya madini ije bungeni, na hiyo mingine kaiombee huko huko bungeni, watanzania wana akili ndio maana...
  5. T

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ni wazi sasa vilio vya watanzania kuhusu rasilimali zao sasa kimepata mtu wa kuvisikiliza, haijalishi ni njia ipi JPM anatumia, ingawa kwangu naona yuko sahihi kabisa, ni lazima sasa wote tuungane, hata kama kuna makosa katika utekelezaji wa hatua zake, tuungane pamoja kurekebisha kasoro hizo na...
  6. T

    Poll: Mikataba ya hovyo ya madini na hasara taifa limepata, je nani alaumiwe?

    Hakuna wa kulaumiwa wala hakuna haja ya kupiga ramli, baada ya ripoti mbili kusomwa, tumepata pa kuanzia na vyombo husika viwajibike kama mheshimiwa Raisi alivyotoa maagizo, hizi vote casting zingefaa wakati tulikuwa na viongozi wasioweza kutoa maamuzi magumu, ambao wakati mwingine walitegemea...
  7. T

    Ukifuatilia Ripoti ya pili ya Makinikia, wajue Wanasheria Wakuu wa Tanzania tangu Uhuru

    Tatizo lilianzia hapo namba 5 (mzee wa vijisent)
  8. T

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Hiyo Review ingeendelea kwa muda gani? tangu 2013 ilikuwa haijamalizika leo unasema watu wameogopa kuendelea nayo kwa kumuogopa magufuli, JPM amereact correctly as head of state kumaliza hilo tatizo, JK alikuwa analemba bila sababu, wapo watu wengi tu wanaweza kuongoza TIC kama mshahara...
  9. T

    Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Shikamoo Magufuli, napenda sana haki lakini kwa muda huu weka pembeni kidogo hizi habari za right to be heard, natural justice na dhana zingine zote za aina hiyo, rudisha nidhamu kwanza, halafu watu wakikaa kwenye mstari warudishie haki zao, watanzania walizoezwa kudai haki pasipo kuwajibika...
  10. T

    Power bank kwa ajili ya laptop!?

    Wasiliana na Perfect Infotech International Limited, wanazo power bank kwa ajili ya laptop na matumizi mengine, zina uwezo wa kujump-start gari iwapo ina matatizo ya betri. 0782906190
  11. T

    Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

    watu wakitoa leads za kufanyia uchunguzi tusiruke na majibu "chuki binafsi" au "walikuwa wapi kusema mapema", wote mnajua tulikotoka, ungesema kwa nani akusikilize, cha msingi viachwe vyombo husika vifanye uchunguzi, kama watu wako clean watakuwa cleared tu,
  12. T

    Kitanda kimoja mtu 5 mlibisha nini.Jpm ameweka wazi

    wa kujiongeza ni wale wanaobisha, si lazima hao kina mama wote walale kwenye kitanda kimoja kwa wakati mmoja, watoto watano kwenye kitanda kimoja, kila mama anahudumia mtoto wake kwa wakati wake kwenye hicho kitanda kimoja, hapo ni sawa na kusema kitanda kimoja kina mama watano
  13. T

    Natangaza rasmi kuendelea kupambana na Lowassa kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2020

    Mchumia LUMUMBA na hoja nyepesi nyepesi
  14. T

    Heche Manchare Saguta wa NEMC ni Mzalendo wa kweli

    Naona unajaribu kumsafisha, huyo bwana amepiga pesa sana katika utoaji wa vibali kwa wawekezaji, atafikiwa muda si mrefu, namfahamu vizuri sana
  15. T

    Dk. Hoseah, katimuliwa au muda wake umekwisha?

    Kutengua uongozi wa mtu ambaye amebakiza muda mfupi kustaafu ni njia ya kuonyesha kuwa hafai ili asiondoke na heshima asiyostahili
  16. T

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Kijana alianza kulewa madaraka, anajipima uwezo wake kwa promo za Clouds
  17. T

    Natafuta mume

    all the best
  18. T

    Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    Nahisi Dr Kigwa ana jambo jingine na Dr Mwaka maana wote masharo hao
  19. T

    Timu ya Bensouda (ICC), yaanza kazi rasmi, wafanya kikao na European Election Observers

    Zungumza direct na Bulembo, Nape anayetaka bao la mkono, Mkapa anayetumia lugha za kuchukiza na timu yao, utatusaidia kuepusha balaa mkuu, kauli mbaya zinajulikana zinatoka wapi, ila wapinzani hata wakisema mkae mita 200 kwa mujibu wa sheria wanaambia wanataka kuleta fujo, mmeshaambiwa matokeo...
Back
Top Bottom