Search results

  1. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    asante, hv hao TIRDO hawana ofisi zao hapa Morogoro?
  2. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Asante kwa ushauri wako
  3. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mahali wanapouza mbegu za uyoga Morogoro, naomba anisaidie!
  4. S

    Mashine ya kukamua Alizeti!!!!!

    Habari wanajf,mimi ni mkulima wa alizeti, sijawa na uwezo wa kununua mashine ya kukamua alizeti. Sasa ningependa kufahamu hizi mashine naweza kuzipata wapi ktk mikoa ya morogoro na Dar, na bei zake, wanakamua sh.ngapi kwa kilo?
  5. S

    Wale ambao hamjaripoti sua

    Dah nmejichanganya nko no12 block A mbele ya no4
  6. S

    Wale ambao hamjaripoti sua

    Karibuni room no 4 block A
  7. S

    USHAURI WA BURE:Swala Kuhusu Ufugaji wa Mifugo aina yoyote, Uliza hapa utapata Jibu bure

    Mtaalam nina mpango wa kuanza kufuga mbuzi! Hivi mbuzi wa kisasa au wa kienyeji huchukua muda gani mpaka kuzaa na huweza kuzaa vitoto vingapi kwa ujumla?. Pia naomba unipe ushauri namna ya kuwatunza ili waweze kuwa na afya bora pamoja na kuzaa kwa wingi!
  8. S

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    duh! Hata mi kuna jamaa yangu wa Sua ameshaondoka kisa kusup dah hapo nshawaza cjui nkienda, Jf ndo bac tena!
  9. S

    BVM na yatima lakini jina halionekani HESLB!

    Tumeangalia kwenye list ya waliochaguliwa SUA(kwenye web ya chuo),BVM yumo!
  10. S

    BVM na yatima lakini jina halionekani HESLB!

    Hyu alipata div 2 ya 11 na amesoma shule za gvt alevel na olevel.
  11. S

    BVM na yatima lakini jina halionekani HESLB!

    tumeangalia ktk web ya SUA, jina limo! ila kwenye list ya HESLB na ile orodha yote iliyotolewa na TCU hayumo!
  12. S

    BVM na yatima lakini jina halionekani HESLB!

    Wanajf nina ndugu yangu amechaguliwa Sua. BVM,Ni yatima hana wazazi wote. Cha kushangaza tumeangalia jina lake kwa waliopata mkopo hayumo. Sasa jaman naombeni ushauri tufanyeje ili naye aweze kupata mkopo. maana asipopata mkopo ndo chuo bac tena!
  13. S

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    Ze duduz nixaidie hv hyo accomodation ndo ile ya 7,500 per day au! alafu nisadie tena. Nmepata 3,635,000 ada ni 1,263,000 hii ni % ngapi?
  14. S

    Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

    nimeku PM kaka angalia kwenye messege italikuta alafu ukilipata njulishe!
  15. S

    Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

    Kaka nami naomba ukanichekie 'wildlife' nibip kwa namba 0755558837 tuwasiliane naomba unisaidie please maana cna amani kabisa!
  16. S

    Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

    kwa hyo mkuu ni agrobsnes tu au na wengine? Nitoe waswas maana nko mbali!
  17. S

    NIMECHOKA KUHUSU TCU vs CHUO..jamani!!

    nlim2ma mtu TCU siku ya alhamis wakamwambia eti watarekebisha j5.Khs chuo nko SUA 'wildlife'
  18. S

    NIMECHOKA KUHUSU TCU vs CHUO..jamani!!

    Namimi ni ivyo ivo ila 2lia wamesema eti j'5 ndo watalitatua!
  19. S

    TCU na CHUO hi ni nini tena!!!!!!!!!!!!!

    hapo inabid ukawaone maana mi nlim2ma mtu aende kuwaona wakasema mpaka trh tano ndo wataupdate majina ylyobaki. Lkn mi nliconfirm trh 29 confirmation zlikuwa active.
Back
Top Bottom