Search results

  1. Y

    HUWAWEI yarudi kwa kishindo, jarida maarufu la Bloomberg la Marekani lakiri

    Kabla ya kubisha tafuta data,amekuambia ya tatu mpaka tano.
  2. Y

    Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Zoezi la uhakika ni burpees.
  3. Y

    Natafuta mwenza anayeishi na VVU

    Mola akutangulie utapata inshalaah
  4. Y

    Baada ya kugundua kuwa Kiini Kikuu cha Machafuko Kenya ni Ukabila, niseme tu Asante kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

    Sidhani Kama muungano utakuja kuleta machafuko,naona machafuko yanaweza kuja kuletwa na udini na siasa chafu.
  5. Y

    Tetesi: Mabasi ya Abood kuanza safari za Kampala na Karagwe

    Abood mwenye mabus pia ni mbunge wa Jimbo la morogoro mjini.
  6. Y

    Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Balozi Saleh Tambwe

    Habari mzee,huyu Saleh tambwe ndio yule balozi aliye kosa nafasi kwenye ndege iliyokua inatoka dar es salaam kwenda Rwanda mwaka 1994 ambayo ilipata ajali na kuua Marais wawili wa Rwanda na Burundi? Kuna sehemu nilikua nasoma historian nimekutana na hili jina la Saleh tambwe.
  7. Y

    Natafuta mwanamke mwenye VVU

    Kwa Nini useme wa kutoa kafara huoni kwamba amefanya kitendo Cha uungwana Sana kuliko angetaka kusambaza kwa wasio na VVU.
  8. Y

    Taja Barabara kali zinazovutia Kudrive, Sikonge - Mpanda haina wa kulinganisha

    Ni Nani aliyejenga barabara ya tunduma-sumbawanga Yale matuta alikua anataka kupanda viazi au maana kaharibu Sana Ile barabara.
  9. Y

    Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Songesha wapo ubia na finca microfinance bank
  10. Y

    Dark days 17/03/20...

    Kiongozi wa kata aisee kimya
  11. Y

    Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

    Hii sijawahi kupita Ina lami kweli hii?ipi mbali Kati ya hiyo na hii ya kawaida ya kupitia lwanjiro/chalangwa?
  12. Y

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Hivi mpaka Leo Elon musk wamembania na internet yake Nina amini angepewa fursa huyu jamaa hapa nchini Hawa wakina voda na mwenzake akili ingewakaa sawa. Tuna urasimu wa hivyo Sana hii nchi.
  13. Y

    Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

    Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tu
  14. Y

    Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?

    Kuna mstendi wa igumbilo ukitoka mbeya kwenda Dom lazima upite kule ndio upandishe iringa mjini samora
  15. Y

    Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Pwani wanarogana tu kwenye Mambo ya Mali/mirathi
  16. Y

    Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

    Ruaha inaingiza maji mtera pale Ila ipo mbali kidogo sehemu kubwa linaonekana bwawa la mtera labda pale darajani upande wa pili ni mto ruaha.
  17. Y

    Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

    Ni muda amekaa mbinguni miaka 2000 atakuwa kasahau lugha
  18. Y

    Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Yuda escalioti sijui alifeli wapi angeanzisha kanisa nae
  19. Y

    Kwanini ng'ombe anaficha maziwa wakati wa kukamua?

    Hivi ikitumika mashine ya kukamulia bado ataweza kuyabana?
  20. Y

    Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

    Aliishakua RAS mwanza huyu lazima tu atakua wa huko
Back
Top Bottom