Makala kama ile iliyopelekea ukaitwa bungeni ni mbaya sana aisee. Unatuhumu wabunge kwamba wapo bungeni kutoa huduma za kibinadamu? That was too bad. Hata mimi ningekua Rais ningechelewa au kuacha kabisa kukuteua kwa nafasi yeyote ile serikalini. No wonder pamoja na kujikomba kote huko mpaka leo...
Mi ameniacha hoi kuwataka wananchi kujifukiza. Lol. Ndiyo maana nimeamua hiki kipindi cha Covid 19 sitoi maoni yangu, ni kusikiliza watu na kucheka tu.
Acha uongo na propaganda Mzee. Marekani kama nchi haijaamua ni lini wananchi watarudi makazini wakati maambukizi yakiendelea kuongezeka. Huo uliousema ni uongo. In fact Wamarekani wengi, kwa mujibu wa polls/surveys wanapinga kuruhusu watu kuchangamana sasahivi wakati maambukizi yakiendelea...
Hahahaa! Mimi nakuombea tu upate huo uteuzi unaoutafuta, brother. I know this thread is not about "Technically". Ni juhudi zako pekee na halali na za kisheria kabisa za kutafuta ugali wa kudumu serikalini, baada ya ile biashara yetu iliyokuwa inalipa kodi ya pango sawa na mshahara wa DC kwenda...
Ukweli upi umejulikana. Hakuna kilichojulikana. Kabendera anaweza kuwa ameingia "plea deal" ili mradi tu awe huru lakini ukweli ukabaki kuwa haujulikani kwa sisi watazamaji. Serikali kubadilishabadilisha mashtaka dhidi ya Kabendera mpaka wanakuja kumtoa inaibua maswali zaidi, haionyeshi ukweli...
Mzee ni lini utaanzisha uzi wenye kichwa mithili ya kama hiki: Kwani Ikulu ya Tanzania kuna tatizo gani ? Raia wa Tanzania na Raia Wengi wa Mataifa Mengine Wamelalamikia Uadilifu na Utendaji Kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam lakini bado Rais aliyemteua Hajachukua Hatua yeyote Stahiki...
Look here, kuna baadhi ya mambo serikali hii inafanya ni mazuri na hata wapinzani wanakiri. But call a spade a spade. Kinachoendelea nchini sasahivi siyo "mivutato" tu. Ni full-blown dictatorship. Marufuku inatangazwa na ukienda kinyume unakamatwa unawekwa ndani. Au unabambikiwa mashtaka yasiyo...
Inaonekana kama the only mpiga kura ambaye haki zake za utu na za kisiasa zinaheshimiwa angalau kidogo ktk utawala huu ni yule "anayeunga mkono juhudi". Kwa wengine waliobaki unaweza jikuta hata "unapotea" kwa kutokuunga mkono juhudi. Hiyo tu ikupe picha kama uchaguzi wa mwaka huu utakuwa...
Kaka Paskali vipi? Unasema unamfahamu vizuri mwandishi Kabendera kama mwadishi wa habari halafu unaongelea kwa kirefu wasifu wako mpaka kufikia kuwa mwandishi wa habari huku ukiacha kuelezea kiundani wasifu wa Kabendera kama mwandishi wa habari.
Ujamaa ndo tatizo. "Free rider" problem is common among people with a "ujamaa" mindset. Kwamba hata kama familia nzima hatujasoma, yule kaka mmoja aliyesoma atatunufaisha wote. Tena nyinyi mlio wengi ndo mnabweteka kabisaa kwasababu tu mna mmoja anayejiweza. Matokeo yake hata huyo mmoja naye...
Duh! What a joke. Eti Magufuli haogopi sura, wakati huohuo Magufuli amemuacha Makonda pamoja na kashfa zake zote, mojawapo ni hoja ileile ambayo Mwanakijiji wewe mwenyewe uliisemea: Makonda kuingiza kontena la samani za shule na ofisi nchini kinyume na maadili na sheria za nchi. Halafu eti...
That doesn't exculpate Magufuli though. He is as guilty as his predecessors. You don't point that out because you like him for other reasons. You only point out "technical errors" by Wapinzani, despite the fact that you are fully aware that the bigger issue is Magufuli's brazen crack down of...
Very well stated. Makosa madogomadogo ya upinzani yanamezwa na ukweli kwamba CCM tayari wanatumia nuclear option ya kukata majina mengi ya wapinzani yasiyo na kasoro yeyote.
Mzee yupo biased mpaka anaboa.
Mimi nilishawahi kufanya kazi kama election observer Tanzania huko nyuma. Mwanakijiji you know nothing about the dangers of fighting a ruling party at the grass-root level in a repressive regime such as Tanzania. Hizo stories unazosoma mitandaoni kwamba wapinzani eti walikuwa wanaongoza kwa...
First, please next time edit your commentary before you post it. You write inefficiently, with too many grammatical mistakes that could easily be captured by a computer grammar correction tool on a word application.
Second, throughout your commentary you deliberately gloss over the damaging...
Hahahaaa! Walimpa wao kichaa rungu. Sasa naona hawana mbinu madhubuti ya kumdhibiti kichaa zaidi ya kutumia mbinu ileile tunayoitumia Watanzania wengi ya kulialia tu kupitia keyboard. Bongo "raha sana".
Unawashwawashwa? Wewe mwenyewe hujaleta 'facts' zozote kuhusu afya ya Rais wetu Mh. Magufuli. Sasa hizi nyuzi zako zisizoisha kuhusu kutetea hali yake zinasimama kwenye msingi gani? Angalia, wanaume tupo; tutakukuna vizuri sana tu, eh.
Kiongozi yule hatakuelewa. Anaamini kabisa kutoka moyoni kwamba demokrasia inachelewesha maendeleo na kwamba yeye, so mwingine, ndo mtume aliyekuja kuleta maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.