Search results

  1. SAPA

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Ni Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za usafiri Ardhini (LATRA CCC, ndo watetezi wa watumia huduma
  2. SAPA

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Mimi naona bora tuseme tu ukweli, hawa latra naona wanajitahidi sana ukilinganisha na kero zilizopo katika sekta, nimeshapiga simu mara kadhaa na kupokelewa na hatua zikachukuliwa, nimeona wameweka hadi namba zao za mikoani na za viongozi katika intagram story yao ya latra_tz na wanajibu hadi...
  3. SAPA

    LATRA hata hili na nyie ni mpaka Hayati Magufuli angekuepo??

    Uko sahihi, kifaa kinauwezo wa kutoa taarifa za mambo mengi ikiwemo taarifa za gari kupinduka, kugongana au kwenda nje ya njia iliyoruhusiwa. Taarifa hiyo inamfikia mmiliki wa gari husika, LATRA na Polisi
  4. SAPA

    LATRA hata hili na nyie ni mpaka Hayati Magufuli angekuepo??

    Kwa hali hii Latra tunawaonea bure. Kuna baadhi ya madereva wa mabasi pia wanafanya michakato ya kugomea wasisajiliwe wala kuthibitishwa na latra, ili waendelee na uharamia wa kuhatarisha maisha ya watanzania bila kuadhibiwa.
  5. SAPA

    Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Kwa uhalisia mfumo huu haujafeli, ila mifumo yote iwe ya serikali au binafsi hutokea kupata hitilafu za mara chache. Kwa sababu hizo ndomana wataalamu wa TEHAMA wapo kwa kila mfumo na wanatatua tatizo linapotokea. Kwa mfano huu mfumo wa LATRA kwa sasa tunautumia na unafanya kazi vzr tu. Lakini...
  6. SAPA

    Serikali isikwepe uwajibikaji kwenye ajali za majini; chanzo cha ajali hizi ni uzembe wa watendaji wake!!!

    Katika mjadala huu ni vzr pia kujua majukumu ya taasisi hizi: TEMESA, TASAC ambayo ni Shirika jipya la Wakala wa Meli na SUMATRA ambayo kwa sasa inadhibiti usafiri wa nchi kavu pekee
  7. SAPA

    July 2018 : Kwa mujibu wa SUMATRA, hizi ndo nauli mpya za mabasi yote kwenda Mikoani kutokea Dar es Salaam

    Taarifa hii ni ya Uongo, tembelea tovuti ya www.sumatra.go.tz au kurasa ya facebook au twitter ya SUMATRA, walishakanusha tangu April 2018. Kuhusu kutokuwa na nauli mpya tangu 2013 ni sahihi kabisa kuwa bei za ukomo zilizotolewa tangu mwaka huo hazijapanda. Hii ni kwa kuwa vigezo vilivyotumika...
  8. SAPA

    SUMATRA hawana majukumu ya kazi kwa wafanyakazi?

    Jibu la awali limejitosheleza kujibu hoja yako. Kwa sasa naona umehamia ktk kutopewa nafasi ya kujieleza baada ya kuona ulichodai awali ni uongo mtupu wenye lengo la kupotosha. Wataalam wa SUMATRA wanafanya kazi kwa utaratibu. Gari husimamishwa na Askari wa Usalama Barabarani mwenye SARE (Afisa...
  9. SAPA

    SUMATRA hawana majukumu ya kazi kwa wafanyakazi?

    SUMATRA hufanya kazi zake kwa kuzingatia uweledi. Miongoni mwa wafanyakazi wa SUMATRA ni wahandisi wa mitambo na ujenzi katika sekta ya reli, wahandisi wa mitambo na wataalamu wa udhibiti, usimamizi, ukaguzi na uendeshaji katika sekta ya usafiri wa Barabara. Aidha kuna wanasheria, wachumi na...
  10. SAPA

    Maeneo marufuku kupiga picha

    Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni, Bungeni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz. Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri
  11. SAPA

    Maeneo yanayo katazwa tusipige picha

    Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz
  12. SAPA

    Tangazo la big discount, 500 gb hard disc, sony sybershop kwa 310,000 tshs

    Wadau kwa ujumla nawashukuru sana kwa hint zenu muhimu. Nimepata pa kuanzia.
  13. SAPA

    Tangazo la big discount, 500 gb hard disc, sony sybershop kwa 310,000 tshs

    Wadau juzi nilisoma tangazo hili hapo juu yalipo matangazo ya dume na bank kwa sasa, naomba mnikumbushe hawa jamaa duka lao liko jengo gani? sikumbuki vzr kama ni kariakoo, au plaza gani posta. pls help
  14. SAPA

    Walimu wa Tanzania, hebu tazama hapa

    May be tofauti inatokana na ukweli kwamba kazi ya ualim haina risk ya ushindani ktk kutafuta kazi (almost direct employment), na fani ya ualim imewekwa as a lee way kwa waliofeli au wanao ogopa ushindani wa kutafuta kazi, unlike fani zingine nyingi.
  15. SAPA

    Mgogoro wa kidini wafukuta habari copraration

    Mimi naona kuvumiliana katika dini imekua tatizo kubwa kwetu, kwa mfano juzi nilikuwa nafuatilia thread iliyopewa jina la BAKWATA kutoa tamko la kugomea sensa kusipokuwa na identity ya dini, maelezo yalitoa hoja za waislam. Hata kama mtu aliziona ni dhaifu mimi nilishangazwa na lugha inayojeruhi...
  16. SAPA

    Ushamba: Simu za Gharama

    Mi naona mambo ya simu na product zingine za watu binafsi tuwaachie kila mtu ana maamuzi yake. Kipato kikiongezeka ndo utajua kwa nini jana ulimshangaa aliye nunua product ya bei juu zaidi. Ila tuangalieni na serikali ambayo kila mwaka wana badili model za magari kwa mamia ya mamilioni ya pesa...
  17. SAPA

    Lecture cbe-dom mr maniche auwawa kikatili

    Wadau mimi nimefuatilia kwa wanaofundisha cbe dom, ni kweli ameuwawa kwa kukatwa koo, ni part-time lecturer, mi ninafundisha cbe mwanza.
  18. SAPA

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Wadau nimepata habari hivi punde TBC wametangaza kifo cha kanumba
Back
Top Bottom