Search results

  1. L

    Wabunge wanapaswa kumuondoa spika kabla ya waziri mkuu

    Huu ni ukweli usiopingika haka kamama hebu kaondolewe kwanza halfu ndo tuje kwa mtoto wa mkulima,maana kuendelea kukakumbatia bungeni ndo maana kanazidi kuvurunda mambo makini Bungeni tuanze nako kwanza wazee.
  2. L

    Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

    kamanda Lema hapo nimekupa zote sasa magamba full presure,na bado hata baba mwanaisha yuko mbioni kusepa
  3. L

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    KIasi fulani nimekubaliana na hiyo tume jinsi ilivyoundwa.
  4. L

    Ugomvi wa JK, Lowassa waiua CCM: Lusinde, Mwigulu wapigwa stop mikutano ya kampeni

    Kazi mbovu ya serikali kwa ujumla wala siyo makundi yenu ndo inasababissha tuchoke kwa kiwango kikubwa hiki na tumewachoka kwelikweli.
  5. L

    CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

    Ahsante sana mzee Sabodo Mungu akuongezee zaidi na zaidi.
  6. L

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Makamanda kiukweli hakuna kuyumba rudisheni jembe letu lile LEMA liwakate tena hakuna haja ya kukata rufaa hawa sasahivi ni wachache sana kwa pipooooooooooooooz.Arusha tunatinga kwa nguvu tena zaidi ya ile ya Arumeru.
  7. L

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,PEOPLE'S POWER. ndio wimbo watoto,vijana,wanawake,wazee,kona zote,Wacheni waje magamba tuwapige tena.
  8. L

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Napi umechanganyikiwa kijana,Ya Arumeru imekushinda,sembuse A Town, labda kama mnakuja kuuza Mashati yenu tu karibu Arusha uje utalii tena uweze na kuongeza mapato ya mji wetu.
  9. L

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Imeniuma sana nimetoka Arumeru juzi tu hii leo tena Arusha,sawa nitarudi kwa nguvu zote japo nipo Mwanza hapa,na kipindi hiki tutawafanya mbaya hawa magamba,kumbe ni wagumu wa kuelewa,na ni vipofu kwelikweli.People's power.
  10. L

    Nafasi za kazi TRA

    Yale maneno ya mwisho matatu huyu GEKA amenifurahisha sana maana amemanisha kweli,Uko wapi mzee tuwasiliane mi niko Mwanza
  11. L

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Kaka Mtatiro unataka watu wauane ovyo kuwahi urithi?
  12. L

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Nyamagana Ilemela,Ukerewe CDM inabaki,Pia jimbo la Magu na Busega liko waziwazi kwelikweli yaani ni nguvu kidogo tu Limbu chali.
  13. L

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Nyamagana Ilemela,Ukerewe CDM inabaki,Pia jimbo la Magu na Busega liko waziwazi kwelikweli yaani ni nguvu kidogo tu Limbu chali.
  14. L

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    Wajidanganye tena,tuwakanyage zaidi ya ile ya Arumeru mashariki kumbe naona hawajaridhika
  15. L

    Gwanda la CHADEMA ni UKOMBOZI...TUPIA MANENO HAPO......

    Nimeikubali hiyo,hata mie nimeshawishika sana,na nitafaanya hivyo soo. Nape akiona hiyo anatamani kutoroka inchi.
  16. L

    ADC na bendera kama ya CHADEMA

    Kiukweli hao magamba c hebu tafadhari wajitahidi kuonyesha hashima kwa CHADEMA vinginevyo kuendelea kutumia bendera hiyo ni kututaka,tutawaharibia mapema sana na wasijerogwa wakakatiza nayo mitaa ya Mwanza.Hawatasahau kilichowaleta hapa mjini,Rangi za magamba wenzao zipo nyingi mara kijani mara...
  17. L

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Kama ni kweli inchi itachomeka mapema muno kabura hata ya mwaka 2015
  18. L

    Nape Hujui hali Ngumu ya Vijana, Nyamaza Basi

    Nilitegemea Nepi angefika hata hapa Mwanza kirumba kumbe mavi kwenye chupi hayashikiki hana jipa aje ajionee tena hapa mjini peoples power wanavyoangamiza ili aamini kabisa.
  19. L

    CCM hoi Kirumba -Mgombea akataliwa kujitoa kwenye kinyang'anyiro.

    MWANZA MWAZA CHADEMA FULL mwacheni aisubiri yowe hadi kwa shemeji yetu,sijui atajificha wapi maana waliambiwa mapema hata lingewekwa jiwe na pipoz pawa lingeshinda mbele ya Kirumba.Wenje pale haines hapa naibu meya kule hivi atatokea wapi bora akavue tu hayo masaki yake hapo ziwani ziwa liko...
  20. L

    CHADEMA yachangiwa mamilioni

    Tutachanga mpaka Magamba wahame inchi hii.CHADEMA M4C Towards the next presidencial race 2015
Back
Top Bottom