Search results

  1. Q

    kazi nchini south sudan

    Kama unattainable kazi za South Sudan search in this website www.reliefweb.com there is plenty of position. You are needed to be smart and specific and as you get it, it is end of poverty.
  2. Q

    Barua ya wazi kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikaeli Mbowe

    Muleta Uzi hapa amejidalisha mwenyewe, kwa kuwa hata Ibara ya katiba aliyoweka hapa haina uhusiano na hoja aliyowakilisha. Naomba niweke Ibara aliyotaja Kama inaendana na hoja yake, sehemu hii sehemu ya kazi ya MKUTANO mkuu wa Taifa, Kama ilivyoainishwa ktk katiba ya CHADEMA, 7.7.10: kazi za...
  3. Q

    HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

    Yes ni kweli Dr. Slaa alikimbia CCM kwasababu ya ushindani uliopo kati ya nani anafahamika baina ya wagombea wa CCM na nani mwenye hela ndefu siyo baina ya nani mwenye uwezo na kwa ajili ya wananchi.
  4. Q

    Ethiopian PM Meles Zenawi dies at 57 after illness

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Ndg Meles Zenawi amefariki dunia jana Jumanne baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni kansa ya ubongo. Mungu amweke mahala pema peponi.
  5. Q

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Tafakari yakuwa wamemchoka na tabia yake ya ombaomba bila kufanya majukumu ya kusimamia rasilimali nyingi tuliyonayo hata kuliko UK. Pia wenzake wana mengi ya kufanya kuliko kuzurura kwake kusiko na maana.
  6. Q

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Kabla hujamlaumu mkristu lazima Uwe na takwimu zinazotosheleza badala ya kuchukulia mambo juu juu tu. Serikali iliyoshindwa kuwachukulia mafisadi inaongozwa na nani? Na katika serikali yake kawaweka kina nani? Kwa ujumla hakuna Dini wa Dhehebu lolote like la dini linalopenda ufisadi Ndiyo maana...
  7. Q

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Kabla hujamlaumu mkristu lazima Uwe takwimu zinazotosheleza badala ya kuchukulia mambo juu
  8. Q

    Gazeti la habari leo linapotosha umma

    Hii inaonyesha kodi za wananchi kutumika kupotosha umma. Serikali na chama tawala wasitupotezee muda kwa kutumia propaganda ya kuandaa maandamano na kutmia magazeti yao kujisafisha. Haikuwa muda ndefu watu hao hao wakiiambia vyama vya upinzani waache siasa vyuoni wakati kwa chama tawala ni sawa...
  9. Q

    Makamanda wa CDM wavua magamba Babati Vijiji

    Picha Hizi hapa
  10. Q

    Makamanda wa CDM wavua magamba Babati Vijiji

    Samahani wana JF haikuwa nia yangu kuwachanaganya ni bahati mbaya. Ilikuwa safari ndefu ya kufanya mikutano ya hadhara katika Majimbo ya uchaguzi ya Mbulu na Bahati vijijini kuwavua makamba vigogo wa CCM. Makamanda Pauline P. Gekul na Rose Kamili, wabunge wa viti maalum kwa tiketi ya CDM...
  11. Q

    Makamanda wa CDM wavua magamba Babati Vijiji

    Kwa sasa tuko Bashnet kwa operation ya kuwavua magamba CCM. Picha hizi hapa
  12. Q

    Makamanda wa CDM wavua magamba Babati Vijiji

    Makamanda wa CDM Mh. Rose Kamili na Pauline P. Gekul wakiwavua magamba Babati Vijijini. Kwa ujumla hali inaonyesha dalili ya kutosha kuwa makamba wanakazi ya kuwatete nafasi yao kwa wananchi. Ukombozi umefika kwa wananchi.
  13. Q

    CHADEMA yafunika Babati

    Hizi hapa update za Babati hapa Kodi akimwaga sera
  14. Q

    CHADEMA yafunika Babati

    Picha hizo hapa
  15. Q

    Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

    Kwa ujumla Jimbo la Babati mjini liko wazi kwakuwa Boko lililowekwa na magamba kwa nguvu za fedha ameingia mtini na haonekani jimboni wala bungeni kuwakilisha waliomchagua Gekul anaongoza Jimbo kwa nguvu ya umma. Gekul ni mbunge wa Babati mjini ktk mioyo ya wanababati akisubiri uchaguzi ujao.
  16. Q

    Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

    Kwaraa ni uwanja wa mpira ulioko babati mjini
  17. Q

    Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

    Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na kujiunga rasmi CHADEMA. Pia watakuwepo makamanda wa chama wafuatao: Rose Kamili, Mch Natse wa Karatu.
  18. Q

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Sina hakika kama wabunge wa magamba wataunga mkono hoja Hii walikuwa wakali wakati wa kuchangia inapofika wakati wa kuchukua hatua waoga Njoo kwasababu wao Si wawakilishi wa wananchi waliowatuma ila wako kwa maslahi ya chama chap cha makamba.
  19. Q

    Nini kimempata Nassari?

    Kuna mambo ambayo mpaka sasa spika hajayaweka sawa. Kwa maritime ya mwasiliano yaliyokuwepo awali ratiba ya kuapishwa wabunge wapya ni Jumatano ila ofisi ya Bunge ikafanya mabadiliko over the night.
  20. Q

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Heri yako kura nyingi mjengoni ni ya magamba na magamba mengi yamepitia mikononi mwa babako angekuwa mtoto wa mlalahoi asingefika hatua uliofikia kwenye mchujo wa magamba, pamoja na ubaharia wako.umetumia kodi ya wtz sasa unatafuta mahali pa kustaafia.
Back
Top Bottom