jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???
Hili nali limekuwa tatizo sugu siku hizi kwa akina dada. tena kuna wakati wenyewe ndio wanaotengeneza mazingira ya kuombwa rushwa ya ngono sijui tuwasadiaje?
Shida ya wadada wengi hawapendi kufanya mazoezi hasa pale anapoambiwa afanye diet na mazoezi. lakini wakati wa kula chips/mayai huwa hatukumbuki kuna kunenepa.
singaile sio kweli na havina uhusiano kabisa na ovulation. Mie Housegirl wangu huwa linamsumbua hivyo lakini anatumia painkillers linatulia. Ingawa nae ameambiwa mpaka atakapozaa litaacha kuuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.