Search results

  1. L

    Eneo Kwa ajili ya ufugaji wa Samaki linauzwa

    we jamaa vipi unuza ardhi oevu . kisheria hiki ni chanzo cha maji; na vyanzovya maji mali ya serikali ya JMT
  2. L

    Kikwete alivyoongopea watu wa Pwani

    Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa santakalawe kwelikweli mtu anaingia na majina anayotaka yeye halafu ili iweje. Mwisho figisufigisuufukunyungu ndo hapa
  3. L

    Tanzania na kizazi cha wasomi wezi na wavivu!

    utasikia mara shangazi kafa, mjomba mgonjwa, baba mdogo mara binamu kumbe anaenda kufuatilia madili yake. kazi inayomlipa mamilioni ndiyo inayompa jeuri ya mtaji wa kuwekeza lakini hana committment nayo. hawa watanzania ni wa kupiga kipeo cha pili naam cha tatu atoke kwelikweli halafu anunue...
  4. L

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    uyu igwite ibyata maanake ameshiba anabeua msamehe mwenye shibe hamjui mwenye njaa. mtu ukimkaribisha sebuleni anataka aingie chumbani kosa ukimkaribisha chumbani atataka hata stahiki yako iwe YAKE. MUACHENI AENDELEE KUBEUA WATANZANIA WANGAPI HAWANA FURSA KAMA YEYE AU YEYE ANA HAKI KULIKO...
  5. L

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    tutamuunga mono hatutaki wa kuja kutumbua na kula bata eti kwa kisingizio cha demokrasia.tumeshtuka lazima tuendelee na rais mwenye ubunifu kama huyu
  6. L

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    R1 ULE MPANGO WENU KUIFILISI NCHI HAPA NDO KIKOMO CHAKE. ULIZOEA KULA BATA BILA JASHO UTAKULA KWA JASHO. WEWE SI NDIYE CEO WA MAKAMPUNI YA FAMILIA YENU? TAKE CARE WATZ SIO MAJUHA WAKAAMINI MANENEO YAKO KWA VYOMBO VYA HABARI. MOYO WAKO UNMAJUA UKWEL;I. NI HERI UAKE KIMYA WATU WATakuona muungwana...
  7. L

    Ni aibu Prof. Sifuni Mchome kufanya kazi na Dr. Ndalichako Joyce!

    divisheni five kwa faida ya nani
  8. L

    Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

    kama kweli anafanya hayo ya kuumbua wake za watu basi haponi mpka ahame nchi ameyataka mwenyewe
  9. L

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    MBONA WAZENJI WAMETAMALAKI SANA KTK SERIKALI YAKE./INA MAANA WAO WAMEKUWA SHUJA LIWALO NA LIWE HAWANA CHA KUPOTEZa ? WOGA WA WABARA UMEWASAIDIA SANA SASA WIZARA YA UJENZI SI NI YA TANGANYIKA JAMANI>?
  10. L

    Samwel Sitta: Siasa basi! Aamua kuwa mwandishi wa vitabu na mshauri

    atakumbukwa kwa kuwa na tamaa ya madaraka hadi alivuka umri wa utumishi wa umma. Nafikiri ni sahihi kwake kuanza kuandika vitabu kwanza amechelewa sana kufanya hilo. Mungu tu kampa maisha marefu tanzania ya leo kufikisha miaka >70 ni bahati sana
  11. L

    Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

    mimi naona dr kigwangallah anakuwadriven na mihemko ya hisia binafsi kuliko manufaa yanayoweza kupatikana na motives zake, mara kufunga milango ya kuingia ofisini hii inasaidia nini zaidi ya unafiki. nafikiri angeenda mbele zaidi kwa kuangalia effective time management sio kwa kuwahi tu lakini...
  12. L

    Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

    mimi naona dr kigwangallah anakuwadriven na mihemko ya hisia binafsi kuliko manufaa yanayoweza kupatikana na motives zake, mara kufunga milango ya kuingia ofisini hii inasaidia nini zaidi ya unafiki. nafikiri angeenda mbele zaidi kwa kuangalia effective time management sio kwa kuwahi tu lakini...
  13. L

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    I admire Madam Joyce Ndalichako. she is an unshakable education guru
  14. L

    Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA

    Poa tu ndo mpango mzima. Elimui bure haiwezi patikana kwa watu kwenda likizo wakiacha majukumu bila wa kuyashughulikia
  15. L

    Waganda watunga wimbo wa kumsifu Dr. Magufuli

    Toka magufuli aingie madarakani hajaenda hata chato, kenya wala uganda; huu ubahiri kautoa wapi. Nahisi ana damu za kipare na kikinga huyu sio msukuma
  16. L

    Waziri Muhongo awataka wazawa kuwekeza kwenye Umeme

    mbona hadithi hii haieleweki jamani tunaenda wapi. hivi technology inatutendea haki sisi au sisi ndio hatuitendei haki technology
  17. L

    CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

    hii inatokana FIGISUFIGISU ZA UPATIKANAJI WAO MAJIMBONI INAKUWA NGUMU KWA MKUU WA NCHI KUWATEUWA WATU AMBAO UWAKILISHI NI KIFIGISUFIGISU HIVI. MM NAMUUNGA MKONO ATEUE TU PENGINE NA MIMI ATANITEUA KTK NAFASI ZILIZOBAKI
  18. L

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    NAUNGA MKONO HOJA 100% NI KIKWETE TU HAWEZI KUMKUBALI GENIUS 'COS AN ALLERGY YA WATU KAMA HAO AMBAO NI HAZINA YA TAIFA. NI WAKATI MUAFAKA SASA KWA RAIS JPM KUAMSHA ILE ARI YA WENYE VIPAJI KUAMKA NA KUVITUMIA KWA FAIDA YA TAIFA HILI.i
  19. L

    Dr. Slaa alitema big G kwa karanga za kuonjeshwa

    Dr slaa atakula jeuri yake. Amuulize josephine mushumbusi yako wapi ?
Back
Top Bottom