Search results

  1. HEARTZ

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Nina 5M nahitaji Vitz new model
  2. HEARTZ

    Natafuta fundi wa kudesign shelves za pharmacy

    njoo inbox kiongozi tukusaidie
  3. HEARTZ

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya History na Kiingereza

    Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu. Naomba kutanguliza shukrani.
  4. HEARTZ

    Ushauri kuhusu Bachelor of Pharmacy na Master of Chemistry

    asante,naomba nikufuate inbox mkuu
  5. HEARTZ

    Ushauri kuhusu Bachelor of Pharmacy na Master of Chemistry

    Habarini wanajamii, Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye bachelor of pharmacy na master of chemistry specialized in environmental chemistry soko lake lipo vipi hapa nchin Tanzania.
  6. HEARTZ

    Hakuna atakayesalimika iwapo kutatokea vita kati ya Urusi na Marekani

    Urusi anazo kwaajili ya mapambo ila USA ni kwaajili ya maangamizi
  7. HEARTZ

    Jeshi la Iran laapa kufanya kila njia kuwasaidia Wapalestina

    wanaojiita wakubwa hawana ata habari
  8. HEARTZ

    Urusi yalipa Kisasi! Yafukuza Wanadiplomasia 60 wa Marekani baada ya Marekani kufukuza Wanadiplomasia wao 60

    Nchi za magharibi ndio chanzo kikubwa cha selikari nyingi kuanguka. ....wakikosa wanachokitaka wanaanza fitina zao.
  9. HEARTZ

    Ulinzi waimarishwa Beijing huku tetesi zikizagaa kuwa Kim jong un ameenda Beijing

    nilikuwa napita ghafla nimepata mzinga wa tairi maeneo ya china sea
  10. HEARTZ

    Waasi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen waushambulia Mji mkuu wa Saudia Riyadh kwa Maroketi

    WS Houthi rebels fire missiles from Yemen into Saudi Arabia More than 10,000 people have been killed by the Saudi-led war in Yemen, with another 2 million displaced. by Associated Press / Mar.26.2018 / 2:24 PM ET / Updated 2:30 PM ET
  11. HEARTZ

    Asante Rwanda kwa kuimarisha uhusiano na Tanzania

    Urafiki na Rwanda ni sawa na kujifunika shuka moja na chatu.......mjomba alikuwa sahihi kumuweka mbali
  12. HEARTZ

    RWANDA: Marais 27 wakubaliana kuanzisha soko huria barani Afrika

    Tuanze kutumia na ela ya aina moja basi kama kweli tumeungana na letu ni moja.
  13. HEARTZ

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    ngoja nipite wakichoka waniambie
  14. HEARTZ

    Kumekucha angalieni television ya aljazira, CNN, FOX NEWS.. Hali ni tete US na N. Korea

    izo media zote ni vibaraka wa mmarekani ...hawasemi ukweli zaid ya kuchochea tatizo
  15. HEARTZ

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    izo taarifa hazna ukweli ni propaganda tuu za USA na SK ...ebu jiulize ni mara ngapi wamefeli kwenye hayo majarbio .....
  16. HEARTZ

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    humu ndani watu wanafurahia vita utadhani wamekaa kusubiria bia......kuna taifa moja llishasema yaliyotokea iraq na libya kamwe hayatatokea tena na atasimama imara kuhakksha hamna mtu ataingilia mipaka ya mtu mwingine bila idhini ya UN, na tunavyozungumza ameshamkingia kifua mjomba assad .
Back
Top Bottom