Search results

  1. N

    Kafulila si mbunge wa mahakama tena

    Chezea mtu kuhongwa ubunge wewe! Mbatia oyeeeee
  2. N

    Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    Inapatikana wapi kwa Arusha mkuu, I need one.
  3. N

    Je, Waziri kutokuwa na nyumba nzuri ni uadilifu na uchapa kazi au ni uzembe?

    Niliwahi kusema kuwa kutuonyesha nyumbani kwao na mhe sio kipimo cha uadilifu kwani kuna watu wana majumba ya kifahali hadi nje ya nchi lakini kijijini kwao hajafanya kitu. Kwani wangapi humu jf tuna nyumba mijini lakini home hatujaweka kitu? Wengi tunajua vijijini kwetu maji shida, umeme ni...
  4. N

    Ushindi wa zitto una uhai wa miezi sita tu

    Mkuu 1800, you have a point. Ndicho ninachokiona pia, infact mimi nilikuwa naombea mahakama ifanye kama ilivyofanya ili jamaa abaki kifungoni (cdm) mpaka 2015, atakuwa ni wa kusikika bungeni tu na mbunge wa fb. Mwisho wake kisiasa ndio umewadia, bado nasema Dr Kitila ameonyesha ukomavu katika...
  5. N

    Ushindi wa zitto una uhai wa miezi sita tu

    Zito nae hatakuwa salama katika safari yake kisiasa, ndio anajimaliza pia.
  6. N

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Ndivyo ilivyo in other way around! kumbuka zzk anataka hatima ya uanachama wake isijadiliwe, na ubunge wake umedhaminiwa na uanachama wake! na kimsingi sio kama hataki kujadiliwa hataki kunyang'anywa uanachama na hivyo kulinda ubunge wake.
  7. N

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Hilo la msingi mkuu, watu wasije wakazipa emotions zao nafasi kuliko busara! kama mahakama itatetea ubunge wake wamuache awe mbunge wa kuteuliwa na mahakama!
  8. N

    Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

    Nasikia harufu ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu la kurusha kwa mkono!
  9. N

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Mkuu Kamugisha, unataka tuombe iwe nchi gani?
  10. N

    Upinzani umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo tuliyo nayo sasa nchini

    Mkuu Chris Lukosi leo biashara imekupenda sana naona umefikisha threads nyingi sana ukizidisha kwa 7000 sio haba watoto wataenda toilet!
  11. N

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Mkuu LIBRARY, tofauti ya tozo la kodi na hiyo caller tune ni kwamba caller tune ni optional wakati kodi sio optional. Sitaki kuamini kuwa kila mtumiaji wa simu nchini anatumia huduma ya caller tune (hata mimi mwenyewe situmii hiyo huduma japokuwa kipato changu zaidi ya dola 10,000 kwa mwaka). In...
  12. N

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Mbona unakatika kabla ya kukatwa sasa? Si usubiri isimame!
  13. N

    CHADEMA yaanzisha mgogoro na China - Yamshitaki balozi wake Umoja wa Mataifa!

    Namna hii ya uropokaji wa Nape ndiyo iliyomfanya mwenyekiti wake aonekana kuwa na hofu Nape, kuwa huwezi kujua Nape atasema nini katika kila jambo! Yani hukurupuka kama vile katoka usingizini. Ushauri wangu ni kuwa CCM wampatie mshauri ili awe anashauriwa kabla ya kuropoka
  14. N

    Download free JF application for Android

    Mkuu mbona kichwa cha habari kinajieleza? Ulitu-invite kudownload free JF app for android! But anyway, nimeisha fix hiyo problem. Iko bomba, big up
  15. N

    Download free JF application for Android

    Mkuu naomba msaada kidogo maana nikijaribu napokea error message inayosema "Error retrieving information from server. [RPC:S-5: AEC-0]"
  16. N

    Tecno n7 Msaada tafadhali!

    Wakuu salaam Naomba msaada, natumia tecno n7 smartphone lakini nikijaribu kudownload widgets zinagoma napokea error message inayosema "error retrieving information from server. [RPC: S-5: AED-0]" Asanteni
  17. N

    Nafasi ya Kazi Mkwawa

    Mkuu Maswi asante kwa taarifa, ngoja tushapukie hiyo! Siko used sana na Mkwawa vipi hamna urasimu? Mwenye taarifa please!
  18. N

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Tangu lini Marekani wakawa na rafiki wa kudumu, wao cha mno ni maslahi ya kudumu!
  19. N

    Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Hivi ule ni mwanya au mtoto wa pengo? maana du ulimi unaweza kutoka nje hata kama ameng'ata meno!
  20. N

    Chadema ina nguvu sana kisipuuzwe

    Hii inadhihirisha jinsi CCM na viongozi wake walivyo vilaza. sasa kama viongozi wa chadema ni form four F na watu wa divinity amboa pia ni wachache wasio na weledi lakini wanawatoa mapovu CCM na viongozi wao wasio form four F na divinity, wenye weledi na wengi. Unapata conclusion gani? 1. Je...
Back
Top Bottom