Search results

  1. F

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Hakuna jambo jipya hapo.... hao ni waasi kama waasi wengine katika vyama vyao
  2. F

    Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    Hivi Zanzibar siyo Tanzania? Au alimanisha ukiongelea Znz anawasemea wazanzibari?
  3. F

    Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Jamaa anasema alipata taarifa za wasanii wengi sana wakipaza sauti zao kwa umma kuhusu kutekwa kwao. Je alisoma kwenye mitandao au nani alimwambia hayo? Je simu zao zilikuwa wapi wakati wote wakiwa mateka? Roma anasema hajui walikotupwa lkn baadae akijifungua then akawafungua wenzake wakaanza...
  4. F

    Hawakutania...when You become public enermy

    Hata kumpost huku JF ni makosa makubwa sana
  5. F

    VIPODOZI

    Duu kumbe binadamu tumetokana na nyani ee
  6. F

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Safi mkuu, tunaendelea kupata elimu mubashara kupitia forum yetu hii.. ila hii ngoma si ya kittoto ama za Tz au mwekezaji.
  7. F

    Saga la Makonda: My Take

    Labda shilawadu ni TBA who knows that[emoji124]
  8. F

    Hivi ina maana Rais huwa hawasiliani na Mawaziri wake?

    Umesahau kuhusu Simbachawene na wamachinga kule mwana mkuu
  9. F

    Kama TLS watachagua mwanasiasa itakuwa ndio mwisho wa uhusiano wa serikali na TLS

    Hivi kuna member wa TLS asiye na chama cha siasa? Au ukiwa nje ya ccm basi wewe ni mwanasiasa? Mungu ataamua tu, yetu macho
  10. F

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    TLS tuwaachie wahusika mkuu. Hakuna mwana TLS asiyekuwa na chama
  11. F

    Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Daah! Watanzania wameamua kutumia njia mbadala kufikisha ujumbe kwa mkuu. Naanza kuamini kwamba social media zina nguvu kweli kweli.... haya tusonge mbele tusikilize matamko toka juu....nitarudi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
  12. F

    Mtukufu Rais, chukua hatua za haraka, RC wako atakupaka tope lenye harufu mbaya ya ufisadi

    Naam umanena haswa.. wala hamna harufu ya uchochezi au uvyama.. umesema haswa.... haya ngoja uone mrejesho wake
  13. F

    Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Wanamwandama kwa nn? Ana vyeti au hana?? Kumaliza mzozo ni kuuthibitishia umma wa Watz kwamba hao wanamtuhumu hawana ushahidi kwa kuweka vyeti mezani
  14. F

    Wanaompinga DC Makonda: Baada ya kweka kambi kijijini : wakosa ushahidi warejea jijini kimya kimya

    Mimi ningemshauri Paul Makonda aoneshe vyeti, hii itaondoa utata na figisufigisu zote hizi. Kukaa kimua hivi wkt jamii yote imeamka inakuwa siyo jambo jema sana. Amefanya mengi Dar. Hili la vyeti ni ktu kidogo sana kwake kuudhurishia umma kwamba yeye ni mtu safi asiyependa siasa za sifa za...
  15. F

    Kilichomponza Mwenyekiti CCM Iringa ni kuzima jenereta wakati wa kampeni Magufuli akiwa jukwaani

    Wanatapatapa tu bafo hawajajua mizizi ya usaliti ilianzia kwa nani na itaishia wapi. Usaliti upo kila mahali hata wakifukuzwa bado siyo dawa ya usaliti,
Back
Top Bottom