Anaendelea kusema jambo hili limechngia kuwepo kwa matukio machache ya ujambazi wa kutumia silaha jambo ambalo linatoa faraja kwa visiwa hivyo
Hata hivyo alisema Serkli imepokea maoni ya mbunge juu ya kuangalia uwezekano wa kuruhusu raia wema kumiliki silaha za kujilinda wao na mali zao,ingawa...
"SILAHA ZANZIBAR HUTOKA BARA"
Silaha zinazotumika kwa ajili ya ujamabazi kwa upande wa Zanzibar zinatoka bara bunge limeelezwa jana
Kauli hiyo imetolewa na naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Pereira Ame Silima ambaye alisema licha ya kuwa zipo dalili tosha kuwa Wazanzibar kuonyesha...
Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo
KUFURU TUME YA KATIBA
o Kila mjumbe analipwa million Tsh 294
o Waziri Chikawe asema hizo ni "Vijisenti" wanazolipwa
o hofu yatwala kama posho nono hazito wapofusha
o Jaji Warioba na Profesa Baregu wapata kigugumizi
source jambo...
Mwisho nawambia ndugu zangu wa kasiskazin,kasikzin peke yake haiwezi kupanga na kumtoa Rais wa Tanzania bila ya kuwa na saport toka kanda nyingne au watanzania wote haito wezekana na haitowezekana na mwenye kijidangnya kwa hiili na asubili kuiona Chadema ikiiendelea kuitwa chama cha Upinzania...
Chadema mpka hapo ilipo ina michango ya watu wengi na kusimama kwake sio nguvu za mtu mmoja au kundi frani ni nguvu za pamoja kama taasisi kauli ya kiongozi mkubwa akama huyui ndani ya chama kutoa kauli kama hii na akijua mfukuto ulioko ndni ya chama ni dhahili kwanza anawavunja moyo wengn lakin...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa katibu Mkuu wake ,Dk.Slaa atapewa fulsa ya kuwania nafsi ya Urais mwaka 2015
Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe alitangaza hatua ya hiyo jana (29/12/2012) alipo kuwa akihutubia mkutano wa hadara katika uwanja wa mpira,Mjini...
Zamni watu waliheshim sana maiti na kuiogopa Eti watu mara hii mtu/watu wakipata ajari na kufa hatua ya kwanza ni searching mpka maiti wnakwiba mpka hata wanadiliki kukata vidole kama vimevaa Gold iliyogandana Jamni Utanzania gni huu,uhuru na amni imeenda wapi?
Hi!
Ndugu wana jamvi hili
Naomba nitoeni kwenye kashimo haka, hivi ni madini gani Duniani yenye gharama kubwa.
Ni madini gani yana bei kubwa yanayopatikana Tanzania
Madini aina ya Ruby ni madini ya aina gani na je gharama yake ikoje kwa gram moja?
Msisahu kuniambia wapi kwa Dar maduka ya...
Nyie watanzania mmeshindwa kuandamana kwa sababu ya matatizo yenu pesa za umma zinaibiwa mko kimya,maisha yanapanda yakisababishwa na usimamizi mbovu wa watu wachache mlio wachagua nyinyi na walio chini ya mamlaka ya wananchi kuwawajibisha mmekaa kimya loe waislm wanaandaman kwa sababu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.