Search results

  1. M

    ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Swala hili ni kama kiini macho mbele ya watanzania. How comes mwizi wa multitrilions asiyesajiliwa akaribishwe kwenye meza ya mazungumzo badala ya court of law! Two inakuwaje investor makini anayeingia hasara ya billions of money daily kwa kuzuiwa mchanga na kuporomoka kwa hisa ktk soko aombe...
  2. M

    Rais Magufuli ahutubia wana Kagera: Aitaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na CCM

    I like very much the zero tolerance disclosed by H.E. Dr. John Magufuli on what he believes important for country's destiny! Congrats!
  3. M

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Ina maana bei ya cement itafumka tena au[emoji102] [emoji102] Good God!
  4. M

    Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

    Looks like dissimilar to operation tumbua majipu! Doesn't it?
  5. M

    Makosa ya Mtandao: Aliyetaka Mwamunyange apindue nchi ashinda kesi

    Ungelikuwa mtafiti na mweye kutoa maandiko ya kitafiti ktk majarida mbalimbali ya kimataifa hata usingehangaika kukosoa lugha ktk hiyo hukumu. Ignorance
  6. M

    Kati ya Airbus, Boeing na Bomardier ni ndege zipi zinaongoza kwa ajali?

    Ukisikia kusadikika ndio huko. We owned Boeing sx! We are celebrating the arrival of bombardier! And we own no more Boeing neither airbus! Kaza buti ur excellence president to own airbus in near future. Yet be careful with whom you believe support and are behind your footsteps. They are there...
  7. M

    Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Huu ni uchochezi! Use take jukwaa letu liingie matatani
  8. M

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    Ukifuatilia Kwa jicho na ubongo wa pili, kuna watu/mtu wanadhani bado wapo kwenye kampeni aau wanafanya uanaharakati unknowingly!
  9. M

    Democratic party (DP)

    Wapo kwenye mchakato wa kutafuta viongozi!
  10. M

    Said Arfi (mbunge wa CHADEMA) aeleza sababu za kurejea Bungeni

    Alichokifanya Mh. Arfi ndiyo njia pekee watu walioaminiwa kutetea na kulinda maslahi ya nchi na raia wake wanaweza kuuza nchi yao. Kwa nchi zijitambuazo, Arfi na watu afananao hafai kuwa mwakilishi hata wa familia yake kwani akirubuniwa aweza uza watoto. Kwa kifupi yaliyojiri Kenya wakati wa...
  11. M

    Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

    Huyu rais mbona haelewiki, aliongeo hivyo kwenye kikao cha harusi au CC? Mbona siwaelewi! Habari ya bomu la Soweto, Arusha na shambulizi la Mwangosi, Iringa aliongelea? Yule kiongozi wa CDM aliyekatwa kichwa kule Arusha je? Mauaji ya wanaCUF Zanzibar chini ya mzee Mkapa je? Kwanini amekuja na...
  12. M

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Mchakato wa kutengeneza katiba mpya ungeanza ndani ya siku 100 baada ya kuingia magogoni. Akili ya kufikiri huna, hata kusikiliza ni shida! Magamba kweli ni shida, ni kama yale mamijusi makubwa yaliyo extinct, yalikuwa makubwa mno akili ndogo kama yako wewe Adharusi.
  13. M

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Asafishike kwa ccm?
  14. M

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Rudi ukasome tena darasa la kwanza hadi la tatu ili uweze kusaidika namna ya kuandika, wapi pana hitaji herufi kubwa, space, mshangao n. k. Nasikitika hili taifa kuwa la wajinga kwani hata katika level hii kuna mijitu haijui kupanga maneno! Terrible!
  15. M

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Stupid! Ili wakihujumu maendeleo ya nchi kwa manufaa ya kundi dogo la watawala wasihojiwe, ama wakose nidhamu kwa wadau wao wasiwajibike? Akili ya panzi!
  16. M

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    We vipi unaumwa magonjwa ya akili? Aliyekwambia uzuri wa mwanamke ni tabia kakudanganya. Wanaume wanataka kitu murua bwana! Utalalaje na jitu kama uso kama pilipili hoho? Huoni hata wasira kampenda shonza japo ni kikaragosi kidizini?
  17. M

    Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

    Shonza upo? Rudi chadema maana huko wanakuchezea tu kama kimpira cha makaratasi, kiperedosi. Eti wanasema wewe umekuwa kiblanketi mikutanoni!
Back
Top Bottom