Search results

  1. FREDRISH FELIX

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Highness mwenyewe akuwepo kwenye tukio analolisema amelithibitisha,na kwa taarifa zilizopo ingawa hazina uhakika ni kuwa mbunge alikua amelewa usiku huo..............
  2. FREDRISH FELIX

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Acha kupotosha umma wa waTanzania,Jack Masamaki hajakamatwa na mtu yoyote..hizo habari ni za uhongo na Mbunge wa ilemela ndo anaye eneza uo uhongo wakati kunatetesi kua jana usiku alikua amelewa sasa kama ni kweli ivi mtu aliyelewa anaweza kweli kuto habari za ukweli?...
  3. FREDRISH FELIX

    Hatuta endelea au kukua kisiasa kama tutaendeleza siasa za uhongo

    Hakuna mtu mwenye uhakika kua Jack Masamaki(mgombea wa udiwani kirumba,mwanza) alikamatwa usiku wa jana kwa kosa la kugawa pesa,na bado mbunge wa ilemela anathibitisha kua ni kweli kupitia mwandishi wa gazeti la mwananchi je mbunge huyo alikuwepo eneo la tukio au anasikia tu?na kwa habari...
  4. FREDRISH FELIX

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Hayo maneno ndo kwanza nayasikia kwako...Jack masamaki ajapigwa na mtu yoyote acheni kueneza habari za uhongo zisizo na uhakika,na hayo maneno unayosema wanakirumba wamesema mbona me mwanakirumba sijasema...ulikuwepo alivyokua anapigwa?
Back
Top Bottom