Ni sahihi pia kutumia mtama mweupe na hata uwele, kwani jamii zote hizi kuwa zinauwezo wa kukusanya virutubisho vingi vinavyohitajika kwa wanyama katika hatua za awali za ukuaji wa mimea hii.
Licha tu ya kupunguza gharama ya ufugaji, sababu chakula kinagharimu sana katika ufugaji wa wanyama tunaofugia ndani. Ila faida kubwa zaidi ni katika upatikanaji wa viinilishe vyote muhimu, ambavyo vitawezesha mnyama kuwa na afya bora pamoja na kukua vizuri. Na zaidi, mazao yote yatokanayo na...
Watanzania tumekuwa tukisingizia sana vyama hata kwenye jambo lililo wazi katika kuvuruga taratibu. Kwanza vile vibanda havikuwepo kwenye plan, na vilikuwa kero sana hata kama walikuwa wanalipa kodi.
Kumbe huyu jamaa siyo wa kumbeza. Kama alishinda kwenye siasa za vyuo vikuu, basi atakuwa na hidden power in leadership in which can not be underestimated. Siasa za vyuoni huwa ni complex sana kutokana na uelewa mkubwa wa population yenyewe.
Germany wana barabara nzuri sana hasa zinazounganisha miji zinaitwa autobahn. Huwa hakuna speed limit. Many tourist comes with their speedy fancy car to drive on this road. Hivyo zipo barabara za kuendesha hiyo imaginary speed....
Hii itapelekea wasanii wengi kukurupuka na nyimbo kama hizi ili Rais akitoa maamuzi kama haya yawatafutie kiki. Nimegundua itachukua muda mrefu sana kwa watanzania kumuelewa Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania
Wewe Sikajiji na wenzio wa UDOM mnashangaza sana. Hapa namtafuta ushauri ama mnashitaki. Inaelekea mmwshalewa mshahara wa Harmonised Scheme ambao viongozi wenu walishiriki kwa Karibu sana kupigania. Mngejua walivyojitoa muda na gharama zaidi ya hizo mnazotaka kuamunisha watu wameiba. Kwakweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.