mie naona drs wana genuine demands,ila chonde chonde nawaomba drs muwasihi wafamasia waache kuzifisadi na kupeleka kwenye pharmacies zao dawa chache zinazotoka msd
hawa TUCTA hawako consistent kwenye madai yao,mbona kwenye mgomo ule walipoitwa wana akili za 'mbayuwayu' madai ya kima cha chini ilikuwa 315,000/= ,sasa hiyo minimum wage ya TZS 200,000/= inatoka wapi tena?
hata kwa bei hiyo ya juu bado hakuna fair distribution wanagawana wenye nchi,kwa mfano,viwanja vya gezaulole mgao wake mlalahoi kupata kiwanja ni next to impossible
tatizo pale mzumbe dsm campus kuna program za masters tu(hakuna undergraduate) na most of the students wanatoka makazini na wako off-campus hivyo wana muda mdogo wa kujishugulisha na issue za students association ,wengi wanakimbizana na kufukuzia pesa mtaani na baadae shule hivyo ultimately...
inaonekana mleta thread ume-base kwenye hisia na 'hearsay',tupe chanzo cha hizo allegations zako kama ni utafiti au vipi? Inaonekana uko frustrated na competition iliyopo kwenye labour market
Hivyo jina la chuo ulichosoma siyo issue bali unapaswa ku-prove competence yako ili upate opportunity...
ingependeza hiyo wizara ya uchukuzi ikaweka public hiyo report ya 'probe team' iliyotajwa na chizi make ndiyo ita-reveal facts zote,OTHERWISE,wachangiaji wa jf wataendelea kuchangia based on partial information na kuishia kuwa biasef
ndugu www,
Nakupongeza kwa kutupatia ufafanuzi kuhusu wafanyakazi waliokumbwa na hatua ya kusimamishwa na mwakyembe,hata hivyo,umeonyesha kuwa 'biased' kwa kuonyesha chuki ya waziwazi kwa
Wahaya kwa kuwawekea msisitizo wa kuwa wao ni 'enshomile',mbona eng.ringo hujamuita 'mangi'? au ni watani...
TRA hakuna fairness coz wata wanunua ajira hadi tsh. 4 million kwa post za kawaida kama account assistant.wanavunga ku outsource kwenye learning institutions lkn mwisho wanachakachua kila kitu
mleta mada naona umechemsha na thread yako haina mashiko, kufananisha matukio yanayotokea znz na mifano uliyoelezea bukoba ni vitu tofauti kabisa.sijawahi kusikia wenyeji wa bukoba(wahaya) wakipigania kujitenga ili wawe huru kutoka Tanzania ,khali inayojitokeza zanzibar.Ni kweli Tanzania bado...
Tatizo kama nchi na serikali, hakuna mipango na sera madhubuti, ila tuna sera za kuifanya kigoma wa dubai...........???????
Mie nakubalina na mchangiaji aliyesema tuna tatizo la kisera ambalo kwa kiwango kikubwa linaiathiri hata msd katika suala la upatikanaji wa dawa na vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.