Search results

  1. S

    Namba E tayari, mliokuwa mnasubiria kazi kwenu

    Wakuu namba imefikia ngapi?nliona DZH road majuzi
  2. S

    Biashara ya kukodisha Coaster ikoje?

    Mkuu hamna biashara isiyo na changamoto,kama unaogopa changamoto Fungua fixed deposit weka pesa yako,pia hata benk zinazotoa rate kubwa siku unataka hela yako,hawana hela wanakupiga kalenda !biashara ya coaster ni nzur sanaaa,cha muhimu upate dereva mwaminifu!unakuwa umemaliza,kwanza dereva...
  3. S

    Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

    Mkuu average hadi finishing approximate weka TZS 700,000 hadi 800,000 per square meter.
  4. S

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nataka kujiunga Masters MBA distance mwaka huu,joining form nazipataje?any help mkuu
  5. S

    TV4Sale Used Samsung LED 40 " Television For Sale

    Weka bei ya kuuza mkuu! nipo Pm last price
  6. S

    TCL smart tv inch 32 inauzwa

    Mkuu bado ipo?
  7. S

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Mwaka 1989 ma bus yalikua yanasafiri usiku mkuu,kuondoka dar ilikua ni kuanzia saa 10 jioni.
  8. S

    Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Mkuu namba uliyoweka hapo haipo hewani.ni Pm tuwasiliana nataka kuona chombo kaka
  9. S

    Matofali ya Interlocking,bei zake kwa sq meter

    Wakuu heri ya sikukuu ya Noeli,nlikua naulizia bei ya tifali za interlocking kwa sq meter ni kiasi gani?pia ukilinganisha na hizi tofali za kawaida kuna unafuu kwa kiasi gani??nipo dar wakuu.
  10. S

    Walichokosea Balton na Watengezaji wengine wa Green house kwa maeneo ya pwani/Dsm

    Mkuu lete info za kutosha!mm nlikua nahitaji!eneo ni 35x70meters,ina cost kias gan?ikiwa full kila kitu,eneo ni Bagamoyo
  11. S

    A day in the Buddhist college

    Mkuu mshana jr hongera sana,hii kitu nimeisoma leo yote mwanzo mwisho,imenifundisha mengi sana,ila ibada ya kuchoma hela hukuimalizia mkuu.Hebu malizia basi kaka mkubwa.
  12. S

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Dawasco huku mbezi juu hiyo huduma imefika??
  13. S

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hongereni sana Dawasco kwa huu uzi,mimi nlikua na maswali kadhaa ambayo kama tukipata majibu yake itasaidia sana. 1.Maeneo ya mbezi juu tuliwekewa mabomba kwenye mradi al maarufu kama mabomba ya wachina,ila tangu wayaweke hayo mabomba hayajawahi kutoa hata upepo,ila ni hapa jirani tuu maeneo ya...
  14. S

    Scania tipper mende.

    Ingia www.autotrader.co.uk yapo mengi sana mkuu
  15. S

    Msaada kwa anayefahamu mwalimu wa Kinanda

    Wakuu heshima kwenu,nilikua nahitaji kujifunza kupiga kinanda(just for fun) kwa anayefahamu pls anijulishe hapa jamvini na gharama zake.Nipo Dar.Asanteni
  16. S

    Nyumba Inauzwa Mbezi Beach 150mil

    Mkuu naomba kupata location exactly ni sehemu gani?mbezi ya Chini au mbezi afrcana au Salasala?
  17. S

    Plot for sale at Dege Kigamboni

    mkuu ni km ngapi kutoka ferry?
  18. S

    NAUZA KIWANJA CHANGU MADALE KWA KAWAWA

    mkuu hebu weka picha za nyumba za majirani tuzione kwanza.pia mwisho wa bei ngapi?
  19. S

    Plot for sale Goba

    price please
  20. S

    Nyumba inauzwa ipo Tabata

    mkuu ingekua vizur ungeweka details za kutosha kama eneo ni sqm ngapi na pia kiwanja kimepimwa au hakijapimwa ili wateja wafahamu.
Back
Top Bottom